Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Nchi yetu imeharibika kabisa ,kila likianzishwa Jambo Kuna watu wanajitokeza kulalamika kwamba huo sio utaratibu , Sasa wao wanaojua utaratibu mbona hawafanyi ??

Kuna faida gani mtu anajua taratibu zote lakini hamna anachofanya ??

Kama unajua taratibu zote si ufanye Sasa ?

Hao wabunge wanaomkosoa Makonda nao ni viongozi je wanafanya nini kupunguza watoto wa mitaani majimboni mwao?

Au kushangaa shangaa na kuwapa Mia Mia wale watoto mabarabarani ndiyo solution?

Hata swala la madawa ya kulevya walilalamika hivihivi lakini mwisho wa siku Makonda akaibuka kidedea baada ya madawa kupungua mtaani na mateja kuanza kulilia dawa za alosto.

Kampeni ya Makonda imegeuzwa kuwa kampeni ya kupima DNA na kulazimisha ndoa wakati siyo kweli.

Kama kwenye eneo unalotoka Kuna mama amekimbiwa na kuachiwa watoto awalee ndio utaelewa Makonda anamanisha nini.

Piga kazi Makonda na Mungu akubariki Sana ipo siku watakukumbuka tu ,hata Lowasa walimponda Sana na kumtukana lakini Leo ndio boss wao.
 
Biblia inasema ukijua kutenda mema kisha usitende hayo mema kwako ni dhambi, Prof kabudi ulijifanya mcha Mungu sana lakini kwa tukio la Jana nimekudharau sana.
Ingia mtaani kawasikilize akina mama wanaolea Watoto peke yao huku wababa wazima wanakula raha na videnti ndo utaijua sheria ipo kazini au kapuni.
Makonda songa mbele watanzania tunakuona lakini zaidi umemkopesha Mungu kwa msaada wako kwa Watoto wa Taifa letu
 
Bila kufuata kanuni na sheria? No thank you

Shida haina nidhamu Ndiyo maana ombaomba hachagui aombe nani atapitapita akipata pesa ee walah akipata matusi ee walah
 
Biblia inasema ukijua kutenda mema kisha usitende hayo mema kwako ni dhambi, Prof kabudi ulijifanya mcha Mungu sana lakini kwa tukio la Jana nimekudharau sana.
Ingia mtaani kawasikilize akina mama wanaolea Watoto peke yao huku wababa wazima wanakula raha na videnti ndo utaijua sheria ipo kazini au kapuni.
Makonda songa mbele watanzania tunakuona lakini zaidi umemkopesha Mungu kwa msaada wako kwa Watoto wa Taifa letu
Hebu nenda mbele zaidi upendekeze mabadiliko ya sheria vinginevyo sioni sababu ya kumlaumu Kabudi iwapo alifanya vile kwa mujibu wa sheria zilizopo.
 
Aliopiga 1.5 Trillion ndio anaesababisha mpaka baadhi ya kina baba kushindwa kutoa matumizi, watu wanalalamika maisha magumu, Ajira hakuna halafu Wapuuzi wachache wanaenda kupiga mzigo wa kutosha kama hivi.
20180419_144203.jpg
 
Nchi yetu imeharibika kabisa ,kila likianzishwa Jambo Kuna watu wanajitokeza kulalamika kwamba huo sio utaratibu , Sasa wao wanaojua utaratibu mbona hawafanyi ??

Kuna faida gani mtu anajua taratibu zote lakini hamna anachofanya ??

Kama unajua taratibu zote si ufanye Sasa ?

Hao wabunge wanaomkosoa Makonda nao ni viongozi je wanafanya nini kupunguza watoto wa mitaani majimboni mwao?

Au kushangaa shangaa na kuwapa Mia Mia wale watoto mabarabarani ndiyo solution?

Hata swala la madawa ya kulevya walilalamika hivihivi lakini mwisho wa siku Makonda akaibuka kidedea baada ya madawa kupungua mtaani na mateja kuanza kulilia dawa za alosto.

Kampeni ya Makonda imegeuzwa kuwa kampeni ya kupima DNA na kulazimisha ndoa wakati siyo kweli.

Kama kwenye eneo unalotoka Kuna mama amekimbiwa na kuachiwa watoto awalee ndio utaelewa Makonda anamanisha nini.

Piga kazi Makonda na Mungu akubariki Sana ipo siku watakukumbuka tu ,hata Lowasa walimponda Sana na kumtukana lakini Leo ndio boss wao.
Kuna msemo watu huongea "sheria haina macho" hii ina maana huwezi kufanya jambo kinyume hata kama lina msaada kwa mhanga sheria ikatambua jambo lile linafanywa kwa nia njema. Kifupi nia njema haipo mbele ya sheria. Mfano inaweza kutokea mtu akaenda mahakamani kuomba tafsiri ya kinachofanywa na Bashite na mahakama ikatoa zuio. Maana yangu hapa kinachofanyika si kibaya ila taratibu zinakiukwa sababu kuna sheria inayosimamia faragha kwa mama na mtoto jiulizeni huko mlipo kwa nini kesi za udhalilishaji na ubakaji wa mama na watoto zinasikilizwa ndani ya chumba cha mahakama na si eneo la wazi kama inavyozoeleka? ukipata jibu utarejea anachofanya bashite
 
Tatizo siyo sheria hizo zipo lakini hajawahi kupatikana wa kuzitekeleza kwa vitendo na kwa kumaanisha kama makonda!

Sheria ya Mtoto haiwezi kuwa faraga peke yake,Mbona haki ya kumlinda, kumlea na haki ya kupata elimu yenyewe haisomi?

Huyu Makonda ameonyesha kwa vitendo kumlinda huyu Mtoto na kumpatia matibabu ikiwemo Mtoto kumtambua mzazi wake nk.

Waliotelekezwa ni wengi angewasaidiaje bila kuwapeleka eneo la wazi na jamii ikaona shida inayowakumba wanawake Leo?
 
Kweli kabisa, tatizo nchini kwetu ukifanya kazi kwa bidii na ku show initiative lazima upate maadui tu..
Bidii ya kazi ipi au kwa kutangaza waliotelekezewa watoto?

Kama kweli anabidii alete mawazo chanya ya kujenga viwanda sio ya vijembe vya siasa. Viwanda vingi vimekufa na walio viua wapo na watu ni walewale.
 
Ni kweli kabisa kinachompa Makonda credits kwenye initiatives zake ni laxity ya vyombo vya serikali kushughulikia kero za wananchi. Sote tunafahamu kitengocha ustawi wa jamii ilivyo na uzembe, corrupt, na walivyo outdated
Acheni uongo.... ustawi wa jamii hawawezeshwi ndo maana haionekani kama ipo..... ipeni budget ya kutosha. Tatizo la mambo ya makonda hayafanyiki kisheria na akiondoka nayo yanakufa......atumie taasisi zilizopo ndo mambo yake anayoyafanya hata akiondoka yatakuwa na kumbukumbu vinginevyo ni bure
 
Nchi yetu imeharibika kabisa ,kila likianzishwa Jambo Kuna watu wanajitokeza kulalamika kwamba huo sio utaratibu , Sasa wao wanaojua utaratibu mbona hawafanyi ??

Kuna faida gani mtu anajua taratibu zote lakini hamna anachofanya ??

Kama unajua taratibu zote si ufanye Sasa ?

Hao wabunge wanaomkosoa Makonda nao ni viongozi je wanafanya nini kupunguza watoto wa mitaani majimboni mwao?

Au kushangaa shangaa na kuwapa Mia Mia wale watoto mabarabarani ndiyo solution?

Hata swala la madawa ya kulevya walilalamika hivihivi lakini mwisho wa siku Makonda akaibuka kidedea baada ya madawa kupungua mtaani na mateja kuanza kulilia dawa za alosto.

Kampeni ya Makonda imegeuzwa kuwa kampeni ya kupima DNA na kulazimisha ndoa wakati siyo kweli.

Kama kwenye eneo unalotoka Kuna mama amekimbiwa na kuachiwa watoto awalee ndio utaelewa Makonda anamanisha nini.

Piga kazi Makonda na Mungu akubariki Sana ipo siku watakukumbuka tu ,hata Lowasa walimponda Sana na kumtukana lakini Leo ndio boss wao.
Umeuliza swali zuri sana. Kati ya watanzania wenye akili sana wewe ni mmojawapo.
 
Back
Top Bottom