mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,277
Yupo busy na sakata la mtoto wa kufikia wa lowassa
Halafu hao anawahangaikia ,kipindi hiki wanatoa maji kwenye NYUMBA zaoTupo bussy kupima watu dna na kutafuta watoto wa wanaume wenzake
Proportion ya udongo tulioumbiwa ilikuwa ile ile, ila mgawanyo wake ulitofautiana. Wengine tulipata flat screen makalio lakini tulipewa big milk.Mungu huwa hakupi kila kitu, anaweza akakupa nguvu lakini akakunyima Akili
Hana huo uwezo huo Mkuu..Habari za humu wanajamii.
Ule usemi usemao Mungu si athumani ama Mungu hadhihakiwi sasa unaenda kujidhihirisha baada ya Baba Mungu kumwaga majanga ndani ya mkoa wa Rc Makonda Dar es salaam anaejinasibu kama kiongozi mwenye huruma na kusaidia wanyonge.
Sasa tuuone ule moyo au kama ni mnafiki na kutafuta kiki sasa amefika mahali penyewe.
Tunamtaka Rc Makonda atumie nguvu na pesa kama ambavyo anafanya kuokoa, kutoa msaada kwa majanga haya.
Leo imeripotiwa kwa mujibu wa DW 17 aprili 2018., kuwa mpaka saaa vifo vya watu saba vilivyotokana na majanga ya mvua vimetokea.
Onyesha moyo, nguvu na upendo wako RC makonda, achana na vichekesho na maigizo, sasa swala tete ni hili la mafuriko. Tutakuona unafiki wako kwa hili. Mungu amekutia mtihani mwingine tena.