Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Tupatupa wa Machame
Ulipojibizana na Diamond mtandaoni hukukasirika mwanangu? Nawe wamgwaya Makonda?Tupatupa wa Machame
.
Amini nakwambia, Rais Magufuli hatabiriki. Kama alimtumbua Kitwanga, hashindwi kwa yeyote mwingine awaye. Rais aheshimiwe. Rais asitaniwe. Anapokuwa kwenye shughuli za kitaifa, yuko serious. Si vyema kumletea mzaha unaoweza kutumbua usaha. There are times, Serikali huwa serious on issues; kama jana. Kama humjui Rais vyema, rudia tena 'utoto' wako.
Nyaraka za TEC na KKKT zijibiwe badala ya kukejeliwa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Zimwi likujualo halikuli likakwisha.Oyaaaaaa
Kwani hukuona lile gari waliloingia nae
Mheshimiwa alikaa mbele.. sema umekuja kuyaandika eti ili Rais asome humu.
Hata Kiongozi mpendwa wa wananchi anasikika akinwambia DAS nae awahi.. ot maneno hayo hukuyasikia..hujui hapa kazi tu.. ulitaka akae kwa foleni huku ana majukumu mengine!!!
Naona wivu juu yake ulikausha kwa muda umerudi tena.. Basi siku ingine muombe akutambulishe wewe kama ndicho unachotaka
Punguza ujinga Mwanamke.Oyaaaaaa

SijaelewaMakonda yeye ameshawazalisha wanawake wangapi mpaka anajitwisha jukumu la kuingilia maisha ya wanaume wenzake?
Jana, wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa pale Kinyerezi, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ulivuka mipaka na hata kumletea dhihaka Rais Dr. John Pombe Magufuli. Ulipopewa nafasi utoe salamu za mkoa wako, ukamtambulisha kwa Rais mwanamuziki Diamond Platnumz na Mameneja wake.
Kama hiyo haitoshi, nilikuona ukitembea na Diamond kwenda kwenye magari yenu huku nikikusikia ukimsisitiza 'muwahi king'ora'. Yaani, wewe na Diamond mjiunge kwenye msafara uliokuwa ukitoka Kinyerezi. Ndiyo kusema, ulimwalika Diamond kwenye protokali kinyume na protokali. Na gari yake ikawa kwenye msafara.
Ilikuwa ikisemwa kuwa Diamond anajazwa kiburi nawe Paul Makonda. Anapata hata kujiamini na kujibizana na Naibu Waziri Juliana Shonza. Tena mtandaoni. Jana imejidhihiri anapata wapi 'kiburi' chake. Anaamini kuwa kwakuwa wewe 'unapendwa' na Rais, basi una nguvu kubwa. Kwakuwa 'unapendwa' na Rais, unaweza kumfanyia na kufanya utakavyo.
Unajua ni kwa kiasi gani JPM anamkubali huyu dogo RC wa Dar?. Wewe unaweza kuona kuwa bwana mkubwa anataniwa lakini yeye akachukulia suala lile kivingine.
Amini nakwambia, Rais Magufuli hatabiriki. Kama alimtumbua Kitwanga, hashindwi kwa yeyote mwingine awaye. Rais aheshimiwe. Rais asitaniwe. Anapokuwa kwenye shughuli za kitaifa, yuko serious. Si vyema kumletea mzaha unaoweza kutumbua usaha. There are times, Serikali huwa serious on issues; kama jana. Kama humjui Rais vyema, rudia tena 'utoto' wako.
Nyaraka za TEC na KKKT zijibiwe badala ya kukejeliwa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
KWELI VILAZA MKO WENGI. NAKUONA KTK UBORA WAKO. watu wanazngmza haya ww unakuja na yko kutoka kusikojulikana.Chadema watatetea kila aina ya uozo mwaka huu.
Majizi, mafisadi, mashoga, vibaka, wakwepa kodi, wavuta shisha wote mtetezi wao ni chadema!!!
Hii ndio maana ya chama kubadili gia angani.
Haya sasaMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ametangaza siku ya tarehe 09/4 itakuwa ni siku ya kuwasikiliza wanawake waliotelekezwa na wanaume zao Lengo ni kuangalia jinsi gani anaweza kuwasaidia kupata haki zao.
Napenda kumshauri Makonda kuwa siku hiyo ya tarehe 09/04 aitumie kuwasikiliza wanawake wasio chini ya miaka 40.
Wamama wenye miaka 40 na zaidi hao ndio wenye tija ya kusikilizwa matatizo yao.
Maombi yangu
Hawa wadada wenye miaka 30 mpaka 20 hadi 18 wasisikilizwe hata kama watakuwa Wa watoto 5 ,hawana tija ya kusikilizwa. Mimba wanategesha wenyewe,,ukiwaoa wanakuwa hawana adabu na nidhamu licha ya yote hawatakuwa na pointi za kujitosheleza.
Tarehe 09/04 isitumike kama siku ya kutukandamiza wanaume
Yale tunalipaIvi si kuna yale ya mwendo kasi wanapanda bure au