Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Inst-image-6.jpg
 
aaaaaaaaahaaaa wanawke wauni tu nikifikilia kisa cha waziri flan kuzaa na Mtu flan ...sipati majibu.
 
JAMAA KWENYE HIYO PICHA JUU ANA MAKALIO KAMA YALE YA WEMA SEPETU ALIYOKUA ANAYABINUA BINUA KWENYE SWIMMING POOL
 
Chonde Chonde Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Ukimalizana na wanawake waliozalishwa na kutelekezwa tunakuomba uje kwa wababa waliobambikizwa mimba zisizo zao. Nin hayo tuu kwa leo.
Yeye makonda ana mtoto???
 
Wako watu hawajui kua Bashite na JPM ni watumishi wa Mungu alie Hai. Kama hamjui kasomeni Bibilia.

Wamewekwa na Mungu mwenyewe kupitia watanzania.

Mamlaka yao inatambuliwa na Mungu wa Mbinguni.

Madhabahu yao ni Taifa wanalolihudumu lenye mipaka yake ambalo kwayo waliapa kulijenga na kuliendeleza.

kila MTU anayo haki ya kushauri na kushauriwa. Na haki ya kuukubali ushauri na kuukataa vilevile.

Pia kwa mujibu wa KATIBA; Katika kuongoza, Raisi hawajibiki kupokea ushauri wa Mtu yeyote yule. Period. Na Raisi ameapa kulinda Katiba.

JPM na Bashite ni watumishi wa Mungu hivyo Viongozi Wa dini ni waumini wao.

Kila mmoja anawajibika na madhabahu yake. Hivyo ziko madhabahu mbili tofauti ambazo hazitakiwi kuingiliana.

KUHUSU KUOMBA NA KUOMBEWA.

In fact kila MTU ana Haki ya kuomba aombewe BILA kujali Cheo wala Umri wake, wakiwemo:-

Viongozi wa nchi ,
Watumishi wa Dini.
Waumini.

So do JPM na Bashite wanaweza Kuomba waombewe pia. Kanuni za mchezo zinawapa Haki hiyo ya msingi bila maswali.

Lakini Nina imani Kama JPM anaweza kuomba aombewe, pia anaweza kupokea ushauri kutoka kwa waombezi wake, kwa kadri ataona inafaa.

Inaaminika, Ushauri wa Viongozi wa dini unaweza kusindikizwa na baraka za maombi.

Kanisa(RC) lina Mamlaka ya kumnyima MTU yeyote bila kujali cheo chake ama umaarufu wake, kukomunika na kumtimua katika Kanisa.(Excommunication).

Viongozi wa Dini hawatakiwi kabisa kujihusisha na siasa. Hii ni kwa mujibu wa Bibilia.Huwezi tumikia Mabwana wawili. Na kwa mujibu wa Sheria za Nchi vilevile hairuhusiwi.

Ndio maana nawashangaa Sana wale viongozi wa Dini wanaojifanya kugombea Ubunge. Naona wamesahau WITO walioitiwa na mwenyezi Mungu. Wakachagua maslahi ya kidunia. Utii ni Bora kuliko Zaka na Dhabihu. In short Wamekiuka utii wao.

Neno LA Viongozi wa Dini( neno LA Mungu) halitakiwi kua kuwekewa Mjadala linatakiwa kua ni Agizo. Halitakiwi kupambwa kwa maneno ya kuvutia.

Mfn. WARAKA wa Kanisa hautakiwi usifie ndio uonye.LA hasha!. Neno LA Mungu linatakiwa lifike vile lilivyokuja, ili liweze kuzaa Matunda yaliokusudiwa na toba.

Sijui Kama JPM aliungama kipindi hiki cha Easter. Na Kama aliungama, aliagizwa vipi kuhusu kutimiza Malipizi. Na je alitii?. Mambo haya, hubaki kua siri Kati yake na Padre wake aliyemuungamisha. Lakini huwezi mdanganya Mwenyezi Mungu.

Jpm akiwa Kama Mtumishi wa Mungu anapaswa kutenda kwa haki ili kuakisi Uwepo wa Mwenyezi Mungu kwa Taifa analoliongoza.
Ref. Mfalme Nebukadneza.

Waumini pamoja na viongozi wa Dini, Jukumu lao ni kumuombea Raisi wao ili aongoze nchi kwa Hekima na Amani.

Iko mifano ya Viongozi madikteta kama Stalin, Hitler, Idd Amin nk.
Ni kweli hawa walikua watumishi WA Mungu.kama wemgine, lakini hawakusimamia kusudi LA Mungu.
Kama ambavyo imewatokea wakina Kibwetere, EGW etc.
 
Wajinga kama nyie ndio mnafanya bara la Afrika kudharaulika kwa watu weupe na kufananishwa na viumbe nyani!
 
Jana, wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa pale Kinyerezi, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ulivuka mipaka na hata kumletea dhihaka Rais Dr. John Pombe Magufuli. Ulipopewa nafasi utoe salamu za mkoa wako, ukamtambulisha kwa Rais mwanamuziki Diamond Platnumz na Mameneja wake.

Kama hiyo haitoshi, nilikuona ukitembea na Diamond kwenda kwenye magari yenu huku nikikusikia ukimsisitiza 'muwahi king'ora'. Yaani, wewe na Diamond mjiunge kwenye msafara uliokuwa ukitoka Kinyerezi. Ndiyo kusema, ulimwalika Diamond kwenye protokali kinyume na protokali. Na gari yake ikawa kwenye msafara.

Ilikuwa ikisemwa kuwa Diamond anajazwa kiburi nawe Paul Makonda. Anapata hata kujiamini na kujibizana na Naibu Waziri Juliana Shonza. Tena mtandaoni. Jana imejidhihiri anapata wapi 'kiburi' chake. Anaamini kuwa kwakuwa wewe 'unapendwa' na Rais, basi una nguvu kubwa. Kwakuwa 'unapendwa' na Rais, unaweza kumfanyia na kufanya utakavyo.

Amini nakwambia, Rais Magufuli hatabiriki. Kama alimtumbua Kitwanga, hashindwi kwa yeyote mwingine awaye. Rais aheshimiwe. Rais asitaniwe. Anapokuwa kwenye shughuli za kitaifa, yuko serious. Si vyema kumletea mzaha unaoweza kutumbua usaha. There are times, Serikali huwa serious on issues; kama jana. Kama humjui Rais vyema, rudia tena 'utoto' wako.

Nyaraka za TEC na KKKT zijibiwe badala ya kukejeliwa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom