Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Heri ya pasaka wana w jamvi,

Huwa najiuliza kila siku sipati majibu.

Huyu bwana Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar anapata wapi pesa za kulipia haya matangazo mubashara kwenye TV?

Nasema hivyo kwa sababu ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa ni miongoni mwa ofisi za Serikali ambazo hazina bajeti au zina mafungu madogo mno.Pesa nyingi zinapelekwa kwenye halmashauri.

Sasa huyu Mkuu wa mkoa bwana Makonda anapata wapi pesa hizi za kulipia kwenye matamasha yake haya yasiyoisha?

Mdau mmoja wa TV aliniambia kituo kinachorusha matangazo kwa bei nafuu na hii ilikuwa 2015 ni 160,000,000 (16 milioni kwa saa) .

Huyu bwana anaenda hewani kwa masaa yanayozidi manne mpaka matano.Kituo zaidi ya kimoja Radio na TV. Pesa anapata wapi? Kutoka kwenye bajeti ipi sasa ?

Wakati bajeti ya maendeleo ni 46% (2017/2018)tu imetekelezwa? mwaka huu pekee amefanya matamasha zaidi ya mawili.

Maswali ni mengi itoshe tu kusema inawezekana kuna watu wanakamuliwa kwa matamasha haya.

OFISI YAKE IKO WAZI , NAMBA YAKE YA SIMU INAJULIKANA, NA YEYE ANATOA NAFASI KWA WENYE DHATI YA KUJUA MAMBO YANAYOHUSU MAENDELEO YA MKOA WAKE KUTUMIA NJIA HIZO KUPATA TAARIFA HIZO, SASA NDUGU YETU SISI HATUNA JIBU MTAFUTE !! NA HIZO TARAKIMU ULIZOANDIKA NI MILIONI 16 ? AU MACHO YANGU MABOVU?
 
Sasa kama hujui siukaushe waje kujibu wanaojua mzee
 
Wafanyabiashara, wakiwamo wenye vitu vya luninga, wote wanabanwa na kutolewa upepo, halafu bosi wake namuuliza mbele ya kadamnasi, 'unakusanya kiasi gani' kwa mbwembwe anajibu milioni .....
Utumiaji mbaya wa madaraka, sasa hizo zatumika kwa hayo yanayoonekana, nyingine zinaenda wapi? Hata shetani hajui!
 
humu hutopata jibu maana hakuna anayejua

lamsingi nenda ofisini kwake jamaa mkarimu sana nina imani ukimuuliza haya maswali ana kwa ana pale ofisini kwake utapata majibu

lakini hapa kila mtu atakujibu analohisi yy ni sahihi wakati ukweli ungeweza kuupata kwa muhusika
 
Kapewa ufungua wa hazina na mfalme sizonje. Kwakifupi hauwezi kuingia kwenye ufalme wa Sizonje bila kupia kwa Bashite. Na liwe somo kwa watanzania, mkome kushadadia upumbavu... "oooh tunataka raisi dikteta"!!! Pumbavu kabisa
 
Wakuu.huyu jamaa na mapunguf yake yoote,ila kaz ya ukuu wa mkoa anaiweza,..nafuatiliaga mikutano yake ma mahojiano yake,...anauwezo mkubwa wa kujieleza na kueleza maswala hususan ya mkoa huu...plus jitihada zake mbalmbal etc...namskiliza kwenye kipima joto hapa ITV,..yuko vzur

Bila chuk wala vijiba,wala roho mbaya wala wivu

.jamaa yuko vzur.

Narudia tena,sina chama,wala,sina shobo na mtu kutafta namna fulan ya wadhifa.
Hapana...ni jus mtazamo tuu
 
Vyeti mkuu hatutaki double standard
 
Toa kinyesi chako hapa...... Shubamitt
 
Kawaida ya mtu muovu Lazima atafute jinsi ya kuficha unafiki wake.Mpaka leo ameshindwa kuthibitisha elimu yake sasa ana credibility gani huyo katika jamii?
 
Hongera sana kwake. Kumbe Bashite naye ana mkoa wake!
 
Kawaida ya mtu muovu Lazima atafute jinsi ya kuficha unafiki wake.Mpaka leo ameshindwa kuthibitisha elimu yake sasa ana credibility gani huyo katika jamii?
Na kuna maelfu ya watanzania wametimuliwa kazi kisa elimu, why yeye
 
Wakuu wa mikoa wote wapo deep na mikoa yao, sema wao hawajipendekezi kutumia media kama huyu anavyofanya kwa malengo yake binafsi. Sio kila unachofanya mpaka media iwepo, unafikiri hao wa mikoa mingine huwa wanaenda kukaa tu maofisini?
 
Ukiwapa interview (usaili) wakuu wa mikoa wote, huyu anayedaiwa kuwa hana vyeti atawapita wenzake kwa mbali sana!!! Yuko vizuri mno, na uelewa wake ni wa kiwango cha PhD!!!!6
 
Back
Top Bottom