ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
Itakuwa wew umeogelea kdogo maji ya chumviUsituponde wa bara mkuu[emoji19] [emoji19]. Nasi tumeelewa

Mkuu Genta umegonga mule mule...Ama hakika Wewe ndiye Mkuu wa Mkoa ambaye yawezekana tokea wawepo Adam na Hawa hapajawahi kuwa na Mkuu wa Mkoa anayejituma kama Wewe hasa Kiutendaji / Kiuwajibikaji ( hasa kwa kuja na matamko ) na nahisi pengine hata huko Mbinguni tukienda na kukuta kuna Mikoa unaweza pia ukaukwaa huu huu Ukuu wako wa Mkoa.
Mimi nawashangaa sana Waswahili jinsi ambavyo hawakuelewi hasa katika mambo yako mengi ambayo huwa unayafanya hasa kwa Mkoa huu wa Dar es Salaam ila bahati nzuri Mimi GENTAMYCINE huwa nakuelewa vyema halafu haraka mno.
Yafuatayo ndiyo mema na maono ambayo mara kwa mara humtokea Binadamu mmoja tu aitwae Paul C. Makonda:
Makonda Wewe piga Kazi tu ' Baba ' kwani uko vizuri sana na tunakukubali hasa Mimi kwani nakumbuka tokea ' Uteuliwe ' kuwa Mkuu wetu wa Mkoa ulishatutolea zaidi ya ' matamko ' kama 20 hivi na kuonyesha kuwa uko vizuri Kiutendaji na aliyekuteua hakukosea kabisa mpaka muda huu umeshaikamilisha 2 huku hiyo 18 iliyobaki ikikungojea Kwanza umalizane na hawa Wanawake waliozalishwa na kuachika na Waume zao.
- Kati ya tatizo la Usafiri kwa Wanafunzi na Wanawake kuachika na Kuzalishwa na Waume zao Kwa Makonda suala la Wanawake hao ndilo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo la Uchafu katika Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo la Vibaka katika Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo la Mfumko wa Bei katika Bidhaa hasa kwa Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo la Maji kukatika hovyo katika Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo kubwa la Foleni katika Jiji la Dar es Salaam ambalo ' Kiuchumi ' linaigharimu sana nchi na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo kubwa la Wafanyabishara ndogondogo ' Wamachinga ' kunyanyasika na kusumbuliwa na Askari wa Jiji la Dar es Salaam hadi na Watu wa TRA huku na Wao wakiwa wanasaidia Kukuza Uchumi wa nchi na pato lake na Wanawake kuzalishwa na kuachika na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
Mimi nakuelewa mno ila nashangaa sijui kwanini Waswahili hawakuelewi au sijui wana Wivu tu nawe!
Nawasilisha.
Stupid.Nisamehe sana, nilikuwa sijakuelewa. I quoted you out of the context. You're right.
Ila hili tamko sasa kiboko...kaitisha hadi mtambo wa DNA uwe standby.Huwa nawapenda sana Werevu / Vipanga kama Wewe Mkuu. Safi na heko pia.
Kama siku hizi unakula kwa mama lishe mpya basi asiache kula hapo unatema sana madiniAma hakika Wewe ndiye Mkuu wa Mkoa ambaye yawezekana tokea wawepo Adam na Hawa hapajawahi kuwa na Mkuu wa Mkoa anayejituma kama Wewe hasa Kiutendaji / Kiuwajibikaji ( hasa kwa kuja na matamko ) na nahisi pengine hata huko Mbinguni tukienda na kukuta kuna Mikoa unaweza pia ukaukwaa huu huu Ukuu wako wa Mkoa.
Mimi nawashangaa sana Waswahili jinsi ambavyo hawakuelewi hasa katika mambo yako mengi ambayo huwa unayafanya hasa kwa Mkoa huu wa Dar es Salaam ila bahati nzuri Mimi GENTAMYCINE huwa nakuelewa vyema halafu haraka mno.
Yafuatayo ndiyo mema na maono ambayo mara kwa mara humtokea Binadamu mmoja tu aitwae Paul C. Makonda:
Makonda Wewe piga Kazi tu ' Baba ' kwani uko vizuri sana na tunakukubali hasa Mimi kwani nakumbuka tokea ' Uteuliwe ' kuwa Mkuu wetu wa Mkoa ulishatutolea zaidi ya ' matamko ' kama 20 hivi na kuonyesha kuwa uko vizuri Kiutendaji na aliyekuteua hakukosea kabisa mpaka muda huu umeshaikamilisha 2 huku hiyo 18 iliyobaki ikikungojea Kwanza umalizane na hawa Wanawake waliozalishwa na kuachika na Waume zao.
- Kati ya tatizo la Usafiri kwa Wanafunzi na Wanawake kuachika na Kuzalishwa na Waume zao Kwa Makonda suala la Wanawake hao ndilo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo la Uchafu katika Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo la Vibaka katika Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo la Mfumko wa Bei katika Bidhaa hasa kwa Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo la Maji kukatika hovyo katika Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo kubwa la Foleni katika Jiji la Dar es Salaam ambalo ' Kiuchumi ' linaigharimu sana nchi na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo kubwa la Wafanyabishara ndogondogo ' Wamachinga ' kunyanyasika na kusumbuliwa na Askari wa Jiji la Dar es Salaam hadi na Watu wa TRA huku na Wao wakiwa wanasaidia Kukuza Uchumi wa nchi na pato lake na Wanawake kuzalishwa na kuachika na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
Mimi nakuelewa mno ila nashangaa sijui kwanini Waswahili hawakuelewi au sijui wana Wivu tu nawe!
Nawasilisha.
Nisamehe sana, nilikuwa sijakuelewa. I quoted you out of the context. You're right.
Nimekuelewe mkuu [emoji120][emoji120]ndio maana wanasema kuusaka ukweli ni sawa na kumenya kitunguu kila ganda litakutoa machozi ni sawa ma faili yaliyorundikana je utaghairi kuyafunua?je,ukifika kwenye kiini nini utagundua? GentamycineAma hakika Wewe ndiye Mkuu wa Mkoa ambaye yawezekana tokea wawepo Adam na Hawa hapajawahi kuwa na Mkuu wa Mkoa anayejituma kama Wewe hasa Kiutendaji / Kiuwajibikaji ( hasa kwa kuja na matamko ) na nahisi pengine hata huko Mbinguni tukienda na kukuta kuna Mikoa unaweza pia ukaukwaa huu huu Ukuu wako wa Mkoa.
Mimi nawashangaa sana Waswahili jinsi ambavyo hawakuelewi hasa katika mambo yako mengi ambayo huwa unayafanya hasa kwa Mkoa huu wa Dar es Salaam ila bahati nzuri Mimi GENTAMYCINE huwa nakuelewa vyema halafu haraka mno.
Yafuatayo ndiyo mema na maono ambayo mara kwa mara humtokea Binadamu mmoja tu aitwae Paul C. Makonda:
Makonda Wewe piga Kazi tu ' Baba ' kwani uko vizuri sana na tunakukubali hasa Mimi kwani nakumbuka tokea ' Uteuliwe ' kuwa Mkuu wetu wa Mkoa ulishatutolea zaidi ya ' matamko ' kama 20 hivi na kuonyesha kuwa uko vizuri Kiutendaji na aliyekuteua hakukosea kabisa mpaka muda huu umeshaikamilisha 2 huku hiyo 18 iliyobaki ikikungojea Kwanza umalizane na hawa Wanawake waliozalishwa na kuachika na Waume zao.
- Kati ya tatizo la Usafiri kwa Wanafunzi na Wanawake kuachika na Kuzalishwa na Waume zao Kwa Makonda suala la Wanawake hao ndilo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo la Uchafu katika Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo la Vibaka katika Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo la Mfumko wa Bei katika Bidhaa hasa kwa Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo la Maji kukatika hovyo katika Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo kubwa la Foleni katika Jiji la Dar es Salaam ambalo ' Kiuchumi ' linaigharimu sana nchi na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
- Kati ya tatizo kubwa la Wafanyabishara ndogondogo ' Wamachinga ' kunyanyasika na kusumbuliwa na Askari wa Jiji la Dar es Salaam hadi na Watu wa TRA huku na Wao wakiwa wanasaidia Kukuza Uchumi wa nchi na pato lake na Wanawake kuzalishwa na kuachika na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
Mimi nakuelewa mno ila nashangaa sijui kwanini Waswahili hawakuelewi au sijui wana Wivu tu nawe!
Nawasilisha.
Mm mwenywe nmekuunga mkonoMkuu kwani na Wewe kwa hayo ' maudhui ' niliyoyaorodhesha hapo huungani nami katika kumwelewa na kumkubali?
KweliGENTAMYCINE
Ni ngumu kuwatambua maana watasoma baadhi ya comments hapo juu then watashtuka.....
Ili kuwatambua hawa wafuasi wa Kimambi ulitakiwa unyamaze tu bila kuwashtua...ungewapata wengi sana
Mtani pumbavu,Huwa napenda sana kukutana na ' Geniuses ' kama Wewe humu Jamvini JamiiForums Mkuu. Safi sana kwa Kunielewa.
Mtani pumbavu,
Mtani shikamoo.....
Sio kwa kumtukana mtoto wa mukulu hivi
Mtani hiyo avatar imekuambukiza kitu atiiHa ha ha ha ha ha ha ha.....Mtani bhana! Marahaba.
Mtani hiyo avatar imekuambukiza kitu atii