Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Na mpaka muda huu ' nimewadaka ' wengi sana Mkuu.
Mkuu hili bandiko lako linastahili litumike kupima ubora wa elimu yetu.
Maana nasikia malalamiko mengi sana ya udhaifu au uduni wa elimu yetu.

Haiwezekani watu wakashindwa(fail) somo la ufahamu(comprehension) kwa kiwango hiki kama wamepata elimu bora shuleni na vyuoni.
 
  1. Kati ya tatizo la bustani za kupumzikia kwenye mkoa wako na Wanawake kuachika na Kuzalishwa na Waume zao Kwa Makonda suala la Wanawake hao ndilo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  2. Kati ya tatizo la usafiri wa umma kwa raia wako na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  3. Kati ya tatizo la makelele kwenye makanisa uchwara na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  4. Kati ya tatizo la mafuriko kila mvua ikinyesha kwa Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  5. Kati ya tatizo la biashara pembezoni ya barabara badala ya masoko (BunjuB) katika Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  6. Kati ya tatizo kubwa la Foleni katika Jiji la Dar es Salaam ambalo ' Kiuchumi ' linaigharimu sana nchi na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  7. Kati ya tatizo kubwa usafiri kwa watoto wako shule ya msingi na sekondari na Wanawake kuzalishwa na kuachika na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  8. Kati ya tatizo kubwa mifugo kuzurura mitaani hovyo na Wanawake kuzalishwa na kuachika na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  9. Kati ya tatizo kubwa la mahandaki barabarani na Wanawake kuzalishwa na kuachika na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  10. Kati ya tatizo kubwa la umeme usiokuwa wa uhakika na Wanawake kuzalishwa na kuachika na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  11. Kati ya tatizo kubwa huduma mbaya kwa raia wako kutoka kwenye taasisi, mashirika, vitengo na wizara mkoani mwako na Wanawake kuzalishwa na kuachika na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  12. Kati ya tatizo kubwa la MALORI MABOVU yanayosababisha ajali kukicha na Wanawake kuzalishwa na kuachika na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Usituponde wa bara mkuu[emoji19] [emoji19]. Nasi tumeelewa
Hakyanani hili lijamaa linapenda sifaa balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Akhsante sana Mkuu na hujakosea nipo vizuri na nimebobea mno katika Uandishi wa ' Kifasihi ' na ' Fikirishi ' kwa 100%.
 
Ni kwanini watu hawasomi mada na kuzielewa?

Unaweza ukaandika ujumbe wa kumkejeli mtu halafu ukashangaa yule mtu uliyemkejeli ana "like" na kukupongeza huku akishangilia.

WanaJF pendeni kusoma andiko zima kabla ya kujibu.
 
Ni kwanini watu hawasomi mada na kuzielewa?

Unaweza ukaandika ujumbe wa kumkejeli mtu halafu ukashangaa yule mtu uliyemkejeli ana "like" na kukupongeza huku akishangilia.

WanaJF pendeni kusoma andiko zima kabla ya kujibu.
Hili nimewahi kuliona ktk maisha halisi
 
Ungeongezea na

8.Kufoji vyeti (Zero brain)
9. Kuvamia Clouds TV
10. Kumpiga mzee Warioba
11. Kuratibu utakaji na mauaji

Ningekuunga mkono 100%
 
wewe na makonda lenu moja
mnaficha maovu kwa kujifanya mnasaidia watu..kumbe ni chatu
 
Kumwelewa GENTAMYCINE hasa kwa ' maandiko ' yake yakupasa uwe na IQ kubwa ila ukija kichwa kichwa unaweza ukatoka patupu. Pole sana Mkuu kwa kutonielewa ila naelewa wale ' Great Thinkers ' wa kweli wa JamiiForums watasafiri vyema tu na Mimi ' Kimaudhui '.

Cc: amos eglan, New Nytemare
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1] kwa wenye uelewa tuu!hapa tumekuelewa maana si kwa tafsida hii
 
Back
Top Bottom