Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

katika uzi huu hakuna sehem umeng’ata na kupuliza nashangaa kumpongeza mmoja kwamba ana IQ kubwa kwa kusema unang’ta na kupuliza . kimsing hapa umeng’ata moja kwa moja. na tena kwa dhihaka kubwa mnooo. hakika huyu ndio wa kwanza tangu adam na eva. kama kuna mtu anaye mzid huyu makonda kwa kwa utendaji wake hakustahili kuzaliwa. tunashukuru japo kwa bahat mbaya alizaliwa huyu mkuu wetu wa mkoa aliye jaa maajabu makubwa
 
Kuna watu humu ndani ni wanafiki wakubwa sijawahi kuwaona wala kuwasikia. Bashite ana muda mfupi wa ku survive iwe ...... au ....... ila uzuri atauona unafiki wa watu kabla ya kupoteza kimojawapo.
 
Ama hakika Wewe ndiye Mkuu wa Mkoa ambaye yawezekana tokea wawepo Adam na Hawa hapajawahi kuwa na Mkuu wa Mkoa anayejituma kama Wewe hasa Kiutendaji / Kiuwajibikaji ( hasa kwa kuja na matamko ) na nahisi pengine hata huko Mbinguni tukienda na kukuta kuna Mikoa unaweza pia ukaukwaa huu huu Ukuu wako wa Mkoa.

Mimi nawashangaa sana Waswahili jinsi ambavyo hawakuelewi hasa katika mambo yako mengi ambayo huwa unayafanya hasa kwa Mkoa huu wa Dar es Salaam ila bahati nzuri Mimi GENTAMYCINE huwa nakuelewa vyema halafu haraka mno.

Yafuatayo ndiyo mema na maono ambayo mara kwa mara humtokea Binadamu mmoja tu aitwae Paul C. Makonda:

  1. Kati ya tatizo la Usafiri kwa Wanafunzi na Wanawake kuachika na Kuzalishwa na Waume zao Kwa Makonda suala la Wanawake hao ndilo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  2. Kati ya tatizo la Uchafu katika Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  3. Kati ya tatizo la Vibaka katika Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  4. Kati ya tatizo la Mfumko wa Bei katika Bidhaa hasa kwa Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  5. Kati ya tatizo la Maji kukatika hovyo katika Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  6. Kati ya tatizo kubwa la Foleni katika Jiji la Dar es Salaam ambalo ' Kiuchumi ' linaigharimu sana nchi na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  7. Kati ya tatizo kubwa la Wafanyabishara ndogondogo ' Wamachinga ' kunyanyasika na kusumbuliwa na Askari wa Jiji la Dar es Salaam hadi na Watu wa TRA huku na Wao wakiwa wanasaidia Kukuza Uchumi wa nchi na pato lake na Wanawake kuzalishwa na kuachika na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
Makonda Wewe piga Kazi tu ' Baba ' kwani uko vizuri sana na tunakukubali hasa Mimi kwani nakumbuka tokea ' Uteuliwe ' kuwa Mkuu wetu wa Mkoa ulishatutolea zaidi ya ' matamko ' kama 20 hivi na kuonyesha kuwa uko vizuri Kiutendaji na aliyekuteua hakukosea kabisa mpaka muda huu umeshaikamilisha 2 huku hiyo 18 iliyobaki ikikungojea Kwanza umalizane na hawa Wanawake waliozalishwa na kuachika na Waume zao.

Mimi nakuelewa mno ila nashangaa sijui kwanini Waswahili hawakuelewi au sijui wana Wivu tu nawe!

Nawasilisha.
Jinsi ulivyoandika kinafki inaelekea kakucheleweshea malipo. Cha kufanya sasa chukua chako mapema siku zake zinahesabika
 
tatizo la bashite ni ***** yaani ukiambiwa vijana wanaomkaza bashitre utasikitika aisee halafu mmoja kampangia mpaka apartiment upanga mpaka picha za huyo anayemkunjaga ninazo ac yake ya fb, mpaka alipopangiwa siku navurugwa napost zote humu tatizo naogopa kuchezea ban
 
tatizo la bashite ni ***** yaani ukiambiwa vijana wanaomkaza bashitre utasikitika aisee halafu mmoja kampangia mpaka apartiment upanga mpaka picha za huyo anayemkunjaga ninazo ac yake ya fb, mpaka alipopangiwa siku navurugwa napost zote humu tatizo naogopa kuchezea ban

Mmmmm.....makubwa na Kazi ipo! Shikamoo Mkuu.
 
Heri ya pasaka wana w jamvi,

Huwa najiuliza kila siku sipati majibu.

Huyu bwana Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar anapata wapi pesa za kulipia haya matangazo mubashara kwenye TV?

Nasema hivyo kwa sababu ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa ni miongoni mwa ofisi za Serikali ambazo hazina bajeti au zina mafungu madogo mno.Pesa nyingi zinapelekwa kwenye halmashauri.

Sasa huyu Mkuu wa mkoa bwana Makonda anapata wapi pesa hizi za kulipia kwenye matamasha yake haya yasiyoisha?

Mdau mmoja wa TV aliniambia kituo kinachorusha matangazo kwa bei nafuu na hii ilikuwa 2015 ni 160,000,000 (16 milioni kwa saa) .

Huyu bwana anaenda hewani kwa masaa yanayozidi manne mpaka matano.Kituo zaidi ya kimoja Radio na TV. Pesa anapata wapi? Kutoka kwenye bajeti ipi sasa ?

Wakati bajeti ya maendeleo ni 46% (2017/2018)tu imetekelezwa? mwaka huu pekee amefanya matamasha zaidi ya mawili.

Maswali ni mengi itoshe tu kusema inawezekana kuna watu wanakamuliwa kwa matamasha haya.
 
kodi zetu hizo hata Lemutuz anaishi kwa modi zetu yeye kazi yake nikumpamba bashite
 
Issue ndogo sana kwa Rc Huyu
Anajua mianja ya Pesa wa kupata

Ova
 
Nakushauri uandike barua ya wazi kwake, kwa kuwa hapa hautapata jibu la moja kwa moja.Maana hata sakata lileeee halijapata majibu hadi leo.
 
Back
Top Bottom