Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ndege wafananao kwa kweli

Hana lolote la maana alilofanya zaidi ya kuingilia majukumu yasiyomuhusu

Kuongea sana kusikuogopeshe hizo ni silaha za mazwazwa kuongea kusiko na maana

Job description ya ukuu wa mkoa haijui wala hana sasa anafanya kazi nzuri zipi au kwa mwongozo gani

Usiyoyajua ni usiku wa giza
Kweliii
 
Wakuu wa mikoa wote wapo deep na mikoa yao, sema wao hawajipendekezi kutumia media kama huyu anavyofanya kwa malengo yake binafsi. Sio kila unachofanya mpaka media iwepo, unafikiri hao wa mikoa mingine huwa wanaenda kukaa tu maofisini?
Labda kwel mkuu.
 
Kama ni kupima utendaji wangejaribu kumpeleka Katavi huko miezi sita tu tuone atafanya nn

Kinachomsaidia dsm ni MEDIA pekee
Labda anachowazidi wenzie ni mzpefu wa Utekaji na mauaji.
 
Wakuu.huyu jamaa na mapunguf yake yoote,ila kaz ya ukuu wa mkoa anaiweza,..nafuatiliaga mikutano yake ma mahojiano yake,...anauwezo mkubwa wa kujieleza na kueleza maswala hususan ya mkoa huu...plus jitihada zake mbalmbal etc...namskiliza kwenye kipima joto hapa ITV,..yuko vzur

Bila chuk wala vijiba,wala roho mbaya wala wivu

.jamaa yuko vzur.

Narudia tena,sina chama,wala,sina shobo na mtu kutafta namna fulan ya wadhifa.
Hapana...ni jus mtazamo tuu
Kweli
20180329_130203.jpg
 
Siyo huna chama ata AKILI huna nyau wewe..! Makondakta eti awe deep tumbafu utakuwa na utapiamlo wa akili..
 
Wakuu.huyu jamaa na mapunguf yake yoote,ila kaz ya ukuu wa mkoa anaiweza,..nafuatiliaga mikutano yake ma mahojiano yake,...anauwezo mkubwa wa kujieleza na kueleza maswala hususan ya mkoa huu...plus jitihada zake mbalmbal etc...namskiliza kwenye kipima joto hapa ITV,..yuko vzur

Bila chuk wala vijiba,wala roho mbaya wala wivu

.jamaa yuko vzur.

Narudia tena,sina chama,wala,sina shobo na mtu kutafta namna fulan ya wadhifa.
Hapana...ni jus mtazamo tuu
Nakutakia pasaka njema mkuu.
 
nakuhakikishia makonda ni miongoni mwa wakuu wa mikoa wapumbavu kuwahi kutokea hapa nchini. huyu wala huhitaji kukagua vyeti vyake ili ujue kwamba ni vya kubumbabumba. nitajie alofanikisha na sisi tukuoneshe anaposhindwa kisha tupime. mfano ni kweli dar hakuna ombaomba? ni kweli usafi unaofanyika kilaleo uaifanya jiji liwe safi? unaamrishaje watu wafanye usafi bila kuwambia zile taka wanaenda kuzitup wapiiii
 
Mleta mada Vijana hatupendani kama Ke.
Wala usiwalazimishe kukubali anachofanya Mhe. MAKONDA. Pia hatuchangii mada kwa weledi bali tunachangia kwa mahaba ya Uccm na Uchadema. So kwakuwa uliyemsifia anatokea Upande hasimu tegemea kashfa. Ndipo tulipofikia.
Kama unataka likes Msifie Lissu, Mbowe nk nk nk
 
Chonde Chonde Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Ukimalizana na wanawake waliozalishwa na kutelekezwa tunakuomba uje kwa wababa waliobambikizwa mimba zisizo zao. Nin hayo tuu kwa leo.
 
Back
Top Bottom