yeah right.Nchi yetu imeharibika kabisa ,kila likianzishwa Jambo Kuna watu wanajitokeza kulalamika kwamba huo sio utaratibu , Sasa wao wanaojua utaratibu mbona hawafanyi ??
Kuna faida gani mtu anajua taratibu zote lakini hamna anachofanya ??
Kama unajua taratibu zote si ufanye Sasa ?
Hao wabunge wanaomkosoa Makonda nao ni viongozi je wanafanya nini kupunguza watoto wa mitaani majimboni mwao?
Au kushangaa shangaa na kuwapa Mia Mia wale watoto mabarabarani ndiyo solution?
Hata swala la madawa ya kulevya walilalamika hivihivi lakini mwisho wa siku Makonda akaibuka kidedea baada ya madawa kupungua mtaani na mateja kuanza kulilia dawa za alosto.
Kampeni ya Makonda imegeuzwa kuwa kampeni ya kupima DNA na kulazimisha ndoa wakati siyo kweli.
Kama kwenye eneo unalotoka Kuna mama amekimbiwa na kuachiwa watoto awalee ndio utaelewa Makonda anamanisha nini.
Piga kazi Makonda na Mungu akubariki Sana ipo siku watakukumbuka tu ,hata Lowasa walimponda Sana na kumtukana lakini Leo ndio boss wao.
CDM inaingiaje hapa? Professa Kabudi, Musukuma, Dr Ndungulie etc., wamehamia lini CDM?Chadema wameiba billion 7 unatarajia Nini ?
Hizo taratibu tukajifunze kwa hao wezi ?
Very good mungu akubarikiNyie waswahili nyie hamna mnachojua zaid ya kubishia tu. Makonda anawasaidia wanyonge, akina mama waliotelekezwa na waume zao pamoja na serikali. Makonda amejitoa mhanga kuwasaidia free of charge. Ukiangalia majority wamepata msaada. Asilimia kubwa sana. Wengine wamekumbushwa tu majukumu yao kama wazazi na wameitika.
Kama ww unadhan ni kinyume na sheria peleka mahakaman, omba mahakama ibatilishe hilo zoez. Ndan ya siku kumi tu makonda atakuwa ameokoa mamia kama sio maelfu ya watoto ambao wangekufa kwa utapia mlo au kukosa matunzo au wangeingia mtaan kuwa ombaomba au watoto wa mtaan ambao baadae wangekuja kuwa vibaka.
Kazi kubwa hiyo inafanyika kwa siku kumi tu.
Nawaza kuwa kama kila mkuu wa wilaya angetenga siku kumi tu kwa mwaka, tatizo la watoto wa mitaan lingepungua kwa asilimia 90%.
Halafu wapuuz, wajinga, washamba wanakuja kupiga kelele et amevunja sheria. Hata Yesu alivunja sheria alipookoa uhai siku ya sabato lakin lilikuwa jambo jema la kukumbukwa vizazi na vizazi.
Wabunge pamoja na haiba yao wanaacha kujadili budget et wanaanza kumtukana Makonda. Upuunzi tu. Yeye anawasaidia masikin wasio kuwa na mbele wala nyuma. Wewe piga kelele kama ilivo kawaida ya mswahili lakin masikin anapata msaada kutoka kwa watu wenye maono..
Mmmh vijana wa Lumumba bhana kabudi ,msukuma,ndugulile kumbe wote boss wao ni lowasa ? Au hujui unachoandka ,hiv Mara nying ukivaa nguo za rangi flan kuna uwezekano uwezo wa akili unapungua?Nchi yetu imeharibika kabisa ,kila likianzishwa Jambo Kuna watu wanajitokeza kulalamika kwamba huo sio utaratibu , Sasa wao wanaojua utaratibu mbona hawafanyi ??
Kuna faida gani mtu anajua taratibu zote lakini hamna anachofanya ??
Kama unajua taratibu zote si ufanye Sasa ?
Hao wabunge wanaomkosoa Makonda nao ni viongozi je wanafanya nini kupunguza watoto wa mitaani majimboni mwao?
Au kushangaa shangaa na kuwapa Mia Mia wale watoto mabarabarani ndiyo solution?
Hata swala la madawa ya kulevya walilalamika hivihivi lakini mwisho wa siku Makonda akaibuka kidedea baada ya madawa kupungua mtaani na mateja kuanza kulilia dawa za alosto.
Kampeni ya Makonda imegeuzwa kuwa kampeni ya kupima DNA na kulazimisha ndoa wakati siyo kweli.
Kama kwenye eneo unalotoka Kuna mama amekimbiwa na kuachiwa watoto awalee ndio utaelewa Makonda anamanisha nini.
Piga kazi Makonda na Mungu akubariki Sana ipo siku watakukumbuka tu ,hata Lowasa walimponda Sana na kumtukana lakini Leo ndio boss wao.
Makonda hakuna aliyekataa kaz anayofanya ni mbaya ila inafanywa kinyume na sheria za nchi yetu.. Mbona kabudi kaongea vizur sana wenye akili wameelewa anachokisema tatzo wazee wa kununua majina humuwez muelewa ana maanisha nn!!Biblia inasema ukijua kutenda mema kisha usitende hayo mema kwako ni dhambi, Prof kabudi ulijifanya mcha Mungu sana lakini kwa tukio la Jana nimekudharau sana.
Ingia mtaani kawasikilize akina mama wanaolea Watoto peke yao huku wababa wazima wanakula raha na videnti ndo utaijua sheria ipo kazini au kapuni.
Makonda songa mbele watanzania tunakuona lakini zaidi umemkopesha Mungu kwa msaada wako kwa Watoto wa Taifa letu
Akija untag npo hapa nakunywa kahawa hapa kwa bab AllyKuna msemo watu huongea "sheria haina macho" hii ina maana huwezi kufanya jambo kinyume hata kama lina msaada kwa mhanga sheria ikatambua jambo lile linafanywa kwa nia njema. Kifupi nia njema haipo mbele ya sheria. Mfano inaweza kutokea mtu akaenda mahakamani kuomba tafsiri ya kinachofanywa na Bashite na mahakama ikatoa zuio. Maana yangu hapa kinachofanyika si kibaya ila taratibu zinakiukwa sababu kuna sheria inayosimamia faragha kwa mama na mtoto jiulizeni huko mlipo kwa nini kesi za udhalilishaji na ubakaji wa mama na watoto zinasikilizwa ndani ya chumba cha mahakama na si eneo la wazi kama inavyozoeleka? ukipata jibu utarejea anachofanya bashite
Huo ni udhalilishaji mpak sheria za kimataifa hazruhusu mtot kuonyeshwa hadharan kwa vtu kama hivyo..kwanza kweny TV na magazet atakua mfano anaweza kuwa victims wa kuzomewa na wenzie kua hana babaTatizo siyo sheria hizo zipo lakini hajawahi kupatikana wa kuzitekeleza kwa vitendo na kwa kumaanisha kama makonda!
Sheria ya Mtoto haiwezi kuwa faraga peke yake,Mbona haki ya kumlinda, kumlea na haki ya kupata elimu yenyewe haisomi?
Huyu Makonda ameonyesha kwa vitendo kumlinda huyu Mtoto na kumpatia matibabu ikiwemo Mtoto kumtambua mzazi wake nk.
Waliotelekezwa ni wengi angewasaidiaje bila kuwapeleka eneo la wazi na jamii ikaona shida inayowakumba wanawake Leo?
Ebu muulize bashite haya yamefanikiwa kwa kiwango gani:Nchi yetu imeharibika kabisa ,kila likianzishwa Jambo Kuna watu wanajitokeza kulalamika kwamba huo sio utaratibu , Sasa wao wanaojua utaratibu mbona hawafanyi ??
Kuna faida gani mtu anajua taratibu zote lakini hamna anachofanya ??
Kama unajua taratibu zote si ufanye Sasa ?
Hao wabunge wanaomkosoa Makonda nao ni viongozi je wanafanya nini kupunguza watoto wa mitaani majimboni mwao?
Au kushangaa shangaa na kuwapa Mia Mia wale watoto mabarabarani ndiyo solution?
Hata swala la madawa ya kulevya walilalamika hivihivi lakini mwisho wa siku Makonda akaibuka kidedea baada ya madawa kupungua mtaani na mateja kuanza kulilia dawa za alosto.
Kampeni ya Makonda imegeuzwa kuwa kampeni ya kupima DNA na kulazimisha ndoa wakati siyo kweli.
Kama kwenye eneo unalotoka Kuna mama amekimbiwa na kuachiwa watoto awalee ndio utaelewa Makonda anamanisha nini.
Piga kazi Makonda na Mungu akubariki Sana ipo siku watakukumbuka tu ,hata Lowasa walimponda Sana na kumtukana lakini Leo ndio boss wao.
Kweli kabisa mkuuNimeshagundua wabunge nao wanakuwa na wivu ukaangalia kwenye majimbo akuna wanakifanya kazi ni kuropoka baadhi yao jitu lina mke na watoto linaongea ovyo
Wewe unayejua sheria za nchi mbona hufanyi?Makonda hakuna aliyekataa kaz anayofanya ni mbaya ila inafanywa kinyume na sheria za nchi yetu.. Mbona kabudi kaongea vizur sana wenye akili wameelewa anachokisema tatzo wazee wa kununua majina humuwez muelewa ana maanisha nn!!
Msukuma alinikomeshea kweli!Acha kumfagilia mtu anaepondwa na kila mtu, hivi unadhani wabunge na watu wote hawana akili? Unasapoti ushetani, sisi waafrika mtoto yeyote ni mtoto wako, au hujamskia palamagamba? Huku kwetu mwanaume ambae hawezi kuzaa huwa anapewa safari nyingi ili asaidiwe kuzaa... Umeinyaka hiyo!? Sio mnakaa na kutaka kupakazia watu watoto! Mi simuungi mkono.... Nauliza Tr 1.5 zimeshapatiwa maelezo ni wapi zimetumika!?
We ni punguani kabisa, yani Diaspora afunge safari kwa huo upuuzi? Wacha uzuzu wewe.Kachemka? Diaspora wameruka na ndege kuja kumalizana na waliowatelekeza wakiogopa kupelekwa kwa Makonda wakiogopa kufutiwa Visa nchi waliko wewe unasema Kachemka? Ndege zimeshusha diaspora kibao wamewanunulia majumba waliowatelekeza na kutoa hela Za matunzo wakati kabla ya zoezi walikuwa hawajali
haha haa.. Kawastukia wasio na uwezo wa kuzaa.. Na huwa wanatafuta mbegu kama bar-shite!Msukuma alinikomeshea kweli!
Wewe msukule CCM wameiba kiasi gani???Chadema wameiba billion 7 unatarajia Nini ?
Hizo taratibu tukajifunze kwa hao wezi ?
Biblia inasema ukijua kutenda mema kisha usitende hayo mema kwako ni dhambi, Prof kabudi ulijifanya mcha Mungu sana lakini kwa tukio la Jana nimekudharau sana.
Ingia mtaani kawasikilize akina mama wanaolea Watoto peke yao huku wababa wazima wanakula raha na videnti ndo utaijua sheria ipo kazini au kapuni.
Makonda songa mbele watanzania tunakuona lakini zaidi umemkopesha Mungu kwa msaada wako kwa Watoto wa Taifa letu
Aliopiga 1.5 Trillion ndio anaesababisha mpaka baadhi ya kina baba kushindwa kutoa matumizi, watu wanalalamika maisha magumu, Ajira hakuna halafu Wapuuzi wachache wanaenda kupiga mzigo wa kutosha kama hivi.View attachment 750071
Ina maana ndani ya CCM hamna watu wenye sifa za kuongoza ambao wanajua sheria na taratibu na wanatenda???Nchi yetu imeharibika kabisa ,kila likianzishwa Jambo Kuna watu wanajitokeza kulalamika kwamba huo sio utaratibu , Sasa wao wanaojua utaratibu mbona hawafanyi ??
Kuna faida gani mtu anajua taratibu zote lakini hamna anachofanya ??
Kama unajua taratibu zote si ufanye Sasa ?
Hao wabunge wanaomkosoa Makonda nao ni viongozi je wanafanya nini kupunguza watoto wa mitaani majimboni mwao?
Au kushangaa shangaa na kuwapa Mia Mia wale watoto mabarabarani ndiyo solution?
Hata swala la madawa ya kulevya walilalamika hivihivi lakini mwisho wa siku Makonda akaibuka kidedea baada ya madawa kupungua mtaani na mateja kuanza kulilia dawa za alosto.
Kampeni ya Makonda imegeuzwa kuwa kampeni ya kupima DNA na kulazimisha ndoa wakati siyo kweli.
Kama kwenye eneo unalotoka Kuna mama amekimbiwa na kuachiwa watoto awalee ndio utaelewa Makonda anamanisha nini.
Piga kazi Makonda na Mungu akubariki Sana ipo siku watakukumbuka tu ,hata Lowasa walimponda Sana na kumtukana lakini Leo ndio boss wao.
Walee na pia waache kupanua lBiblia inasema ukijua kutenda mema kisha usitende hayo mema kwako ni dhambi, Prof kabudi ulijifanya mcha Mungu sana lakini kwa tukio la Jana nimekudharau sana.
Ingia mtaani kawasikilize akina mama wanaolea Watoto peke yao huku wababa wazima wanakula raha na videnti ndo utaijua sheria ipo kazini au kapuni.
Makonda songa mbele watanzania tunakuona lakini zaidi umemkopesha Mungu kwa msaada wako kwa Watoto wa Taifa letu
Huko chadema watu wanaojua taratibu wanaishia kuiba billion 7Ina maana ndani ya CCM hamna watu wenye sifa za kuongoza ambao wanajua sheria na taratibu na wanatenda???