Huna ndugu aliyetelekeza Makonda aliwaambia waliotelekeza ataenda ubalozi mwenyewe na mawakili kupresent case wakashtukaWe ni punguani kabisa, yani Diaspora afunge safari kwa huo upuuzi? Wacha uzuzu wewe.
Hahaha yani wewe ni kituko, kwa mtu mwenye akili hata kukujibu inatia uvivu. Kwa mpango huu wacha tuburuzwe tu, Yani bado kunawatanzani wa sampuli kama yako? We unadhani nchi za wenzetu unaweza kujiamulia tu kumshtaki mtu kama hapa kwetu? Mfano, Balozi Holland ashughulike na upuuzi kama huo kisa Makonda kaenda kuripoti mtu? We kweli Mshamba.Huna ndugu aliyetelekeza Makonda aliwaambia waliotelekeza ataenda ubalozi mwenyewe na mawakili kupresent case wakashtuka
Leo vibaraka wa Makonda mmejazana JF mnakata viunoWasalaa wana jamvi.
Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza sana Mh Makonda kwakuwa mbunifu na kutafuta kila njia kutatua kero za wananchi wako wa jiji la Dares-salaam kwani umekuwa ukifanikiwa sana na kila mwenye macho hujionea mwenyewe.
Kumeibuka tabia kubwa sana hasa kwa wabunge wawili hasa Mlinga na Msukuma kumvizia Mh Makonda kukokosoa kila jambo na huwa hawana wanalo liona jema kwa kila kinachofanywa na Mh Makonda...
Kwanza lazima watu wajue hakuna anayekataa Makonda kukosolewa lakini tulitarajia ukosoaji uwe wa kuboresha na kujenga na sio kukatisha tamaa kwa kila kinacho fanywa na Makonda....kana kwamba huwa hawaoni jema.
Lakini kinacho shangaza kwa wabunge wetu wao husubiri wenzao waanzishe jambo na wao wakosoe tuu huwa najiuliza siku zote wanakuwa wapi? Hivi kwanini tunasubiri watu waanzishe jambo ndio tuone makosa?
Mh Makonda usiache kuwapa dawa wanapo ingia anga zako kama wao kazi zimewashinda acha waache wewe ufanye na kama wanaona kuna makosa wanajua jinsi na utaratibu mzuri wa kurekebisha au wao waanzishe vya kwao kwa njia nzuri.
Hongera sana Makonda.
Nimewatolea mfano wao na kuhusu Palamanga Kabudi yeye alijibu maswali ya wabunge tuuuMkuu umewaona wawili tu msukuma na mlinga? Mbona wengine hujawasema? Au una ubaya na hao wawili? Kwani palamagamba kamuunga mkono?
Jamaa anapenda misifa kama babake.Leo umeamua kujiandalia mabango alafu ukajifanya hujui.shame on youWasalaa wana jamvi.
Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza sana Mh Makonda kwakuwa mbunifu na kutafuta kila njia kutatua kero za wananchi wako wa jiji la Dares-salaam kwani umekuwa ukifanikiwa sana na kila mwenye macho hujionea mwenyewe.
Kumeibuka tabia kubwa sana hasa kwa wabunge wawili hasa Mlinga na Msukuma kumvizia Mh Makonda kukokosoa kila jambo na huwa hawana wanalo liona jema kwa kila kinachofanywa na Mh Makonda...
Kwanza lazima watu wajue hakuna anayekataa Makonda kukosolewa lakini tulitarajia ukosoaji uwe wa kuboresha na kujenga na sio kukatisha tamaa kwa kila kinacho fanywa na Makonda....kana kwamba huwa hawaoni jema.
Lakini kinacho shangaza kwa wabunge wetu wao husubiri wenzao waanzishe jambo na wao wakosoe tuu huwa najiuliza siku zote wanakuwa wapi? Hivi kwanini tunasubiri watu waanzishe jambo ndio tuone makosa?
Mh Makonda usiache kuwapa dawa wanapo ingia anga zako kama wao kazi zimewashinda acha waache wewe ufanye na kama wanaona kuna makosa wanajua jinsi na utaratibu mzuri wa kurekebisha au wao waanzishe vya kwao kwa njia nzuri.
Hongera sana Makonda.
Unashangaa nini,mwanaume anasifiwa kua na familia yke,au mayai yke yanafaa kupikia chips tuaiseeeeeee
Ruttabosholwa bwana, sijui unataka kumsaidia DAB kujibu swali la uelewa la msukumaNimewatolea mfano wao na kuhusu Palamanga Kabudi yeye alijibu maswali ya wabunge tuuu
kiujumla hakuna aliemuunga mkono, wachache sana kama sio mmoja tu ummy, msukuma alimwambia amekosa kazi ya kufanya!Nimewatolea mfano wao na kuhusu Palamanga Kabudi yeye alijibu maswali ya wabunge tuuu
Kwa hiyo bora CCM mliyoiba triliion 1.5Huko chadema watu wanaojua taratibu wanaishia kuiba billion 7
Kama kuna wabunge waliotelekeza watoto,unafikiri watamsema Makonda vizuri?.Wasalaa wana jamvi.