Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Nchi yetu imeharibika kabisa ,kila likianzishwa Jambo Kuna watu wanajitokeza kulalamika kwamba huo sio utaratibu , Sasa wao wanaojua utaratibu mbona hawafanyi ??

Kuna faida gani mtu anajua taratibu zote lakini hamna anachofanya ??

Kama unajua taratibu zote si ufanye Sasa ?

Hao wabunge wanaomkosoa Makonda nao ni viongozi je wanafanya nini kupunguza watoto wa mitaani majimboni mwao?

Au kushangaa shangaa na kuwapa Mia Mia wale watoto mabarabarani ndiyo solution?

Hata swala la madawa ya kulevya walilalamika hivihivi lakini mwisho wa siku Makonda akaibuka kidedea baada ya madawa kupungua mtaani na mateja kuanza kulilia dawa za alosto.

Kampeni ya Makonda imegeuzwa kuwa kampeni ya kupima DNA na kulazimisha ndoa wakati siyo kweli.

Kama kwenye eneo unalotoka Kuna mama amekimbiwa na kuachiwa watoto awalee ndio utaelewa Makonda anamanisha nini.

Piga kazi Makonda na Mungu akubariki Sana ipo siku watakukumbuka tu ,hata Lowasa walimponda Sana na kumtukana lakini Leo ndio boss wao.
Ni lipi alilofanya???

1.5 trillion

Vyeti vikowapi
 
Wasalaa wana jamvi.

Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza sana Mh Makonda kwakuwa mbunifu na kutafuta kila njia kutatua kero za wananchi wako wa jiji la Dares-salaam kwani umekuwa ukifanikiwa sana na kila mwenye macho hujionea mwenyewe.

Kumeibuka tabia kubwa sana hasa kwa wabunge wawili hasa Mlinga na Msukuma kumvizia Mh Makonda kukokosoa kila jambo na huwa hawana wanalo liona jema kwa kila kinachofanywa na Mh Makonda...
Kwanza lazima watu wajue hakuna anayekataa Makonda kukosolewa lakini tulitarajia ukosoaji uwe wa kuboresha na kujenga na sio kukatisha tamaa kwa kila kinacho fanywa na Makonda....kana kwamba huwa hawaoni jema.

Lakini kinacho shangaza kwa wabunge wetu wao husubiri wenzao waanzishe jambo na wao wakosoe tuu huwa najiuliza siku zote wanakuwa wapi? Hivi kwanini tunasubiri watu waanzishe jambo ndio tuone makosa?

Mh Makonda usiache kuwapa dawa wanapo ingia anga zako kama wao kazi zimewashinda acha waache wewe ufanye na kama wanaona kuna makosa wanajua jinsi na utaratibu mzuri wa kurekebisha au wao waanzishe vya kwao kwa njia nzuri.

Hongera sana Makonda.
Makonda ni Julius Malema wetu, wabunge wetu watamuelewa tu...''Mamaa they are here today'' , Mamaa Nomuzamo,they are here mama.
 
mtoa post we n kilaza kama DAB tu hiyo kampeni yake uchwara ya kudhalilisha kina lowasa ndio kampen gan? yule Dada c alimuumbua?
lengo kuu n kudhalilisha viongoz hana lolote huyo zero Brian mwenzio
 
vilaza dunian hawataisha
huyo zero Brian bashite igizo lake LA kuchafua viongoz limebuma baada ya dada yule kumuumbua,kumbe lengo n kuchafua watu na kututoa ktk mjadala wa wizi wa tr 1.5
vilaza kama we mtoa post n wa kupuuzwa tu
 
Makonda ni Julius Malema wetu, wabunge wetu watamuelewa tu...''Mamaa they are here today'' , Mamaa Nomuzamo,they are here mama.
hebu acha kumfananisha malema na kilaza bashite
malema alipata zero?
malema anaanzshaga kampeni za kuchagua viongoz wa upinzan?
malema alipandkiza mayai kwa mkewe yakabuma?
 
Asilimia kubwa ya viongozi wa Tanzania ni useless, wakiona mwenzao anafanya jambo la maana wao watataka kukosoa tu ili wapate kusikika mitaani na kusifiwa kwani jamii kubwa ya watanzania wanapenda sana kusilikiliza ujinga na kufanya kuwa habari mpya ya mjini. Bado tuna kazi sana ya kuelekea 2020, wacha tu Mh. rais atunyooshe ili ujinga ufutike kabisa. Nyerere alijitahidi kutufuta ujinga na ukatoweka kiasi fulani hivi.....kina Mwinyi, Mkapa, Kikwete wakaturudishia kwa kutuaminisha ujinga usio na kichwa wala miguu na mpaka leo hii unaona vijana wetu wanavaa milegezo, wanasuka nywele, kuvaa hereni na kupaka liptick eti ndiyo wanaona ujanja.
we pia n kilaza,hiyo kampeni ya bashite lengo kuu n kuchafua kina lowasa na kututoa ktk mjadala wa wizi wenu,ndio maana yule Dada
aliwaumbua,mnaomuunga mkono muigizaji bashit akili zenu zitakuwa zipo kwenye utumbo mpana
 
Wasalaa wana jamvi.

Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza sana Mh Makonda kwakuwa mbunifu na kutafuta kila njia kutatua kero za wananchi wako wa jiji la Dares-salaam kwani umekuwa ukifanikiwa sana na kila mwenye macho hujionea mwenyewe.

Kumeibuka tabia kubwa sana hasa kwa wabunge wawili hasa Mlinga na Msukuma kumvizia Mh Makonda kukokosoa kila jambo na huwa hawana wanalo liona jema kwa kila kinachofanywa na Mh Makonda...
Kwanza lazima watu wajue hakuna anayekataa Makonda kukosolewa lakini tulitarajia ukosoaji uwe wa kuboresha na kujenga na sio kukatisha tamaa kwa kila kinacho fanywa na Makonda....kana kwamba huwa hawaoni jema.

Lakini kinacho shangaza kwa wabunge wetu wao husubiri wenzao waanzishe jambo na wao wakosoe tuu huwa najiuliza siku zote wanakuwa wapi? Hivi kwanini tunasubiri watu waanzishe jambo ndio tuone makosa?

Mh Makonda usiache kuwapa dawa wanapo ingia anga zako kama wao kazi zimewashinda acha waache wewe ufanye na kama wanaona kuna makosa wanajua jinsi na utaratibu mzuri wa kurekebisha au wao waanzishe vya kwao kwa njia nzuri.

Hongera sana Makonda.
kuchafua kina lowasa kwa kampen ya kikuda ndio ushujaa? nyie fisi wa Lumumba akili zenu zipo makalion ?
 
Wasalaa wana jamvi.

Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza sana Mh Makonda kwakuwa mbunifu na kutafuta kila njia kutatua kero za wananchi wako wa jiji la Dares-salaam kwani umekuwa ukifanikiwa sana na kila mwenye macho hujionea mwenyewe.

Kumeibuka tabia kubwa sana hasa kwa wabunge wawili hasa Mlinga na Msukuma kumvizia Mh Makonda kukokosoa kila jambo na huwa hawana wanalo liona jema kwa kila kinachofanywa na Mh Makonda...
Kwanza lazima watu wajue hakuna anayekataa Makonda kukosolewa lakini tulitarajia ukosoaji uwe wa kuboresha na kujenga na sio kukatisha tamaa kwa kila kinacho fanywa na Makonda....kana kwamba huwa hawaoni jema.

Lakini kinacho shangaza kwa wabunge wetu wao husubiri wenzao waanzishe jambo na wao wakosoe tuu huwa najiuliza siku zote wanakuwa wapi? Hivi kwanini tunasubiri watu waanzishe jambo ndio tuone makosa?

Mh Makonda usiache kuwapa dawa wanapo ingia anga zako kama wao kazi zimewashinda acha waache wewe ufanye na kama wanaona kuna makosa wanajua jinsi na utaratibu mzuri wa kurekebisha au wao waanzishe vya kwao kwa njia nzuri.

Hongera sana Makonda.
kuchafua kina lowasa kwa kampen ya kikuda ndio ushujaa? nyie fisi wa Lumumba akili zenu zipo makalion ?
 
Nchi yetu imeharibika kabisa ,kila likianzishwa Jambo Kuna watu wanajitokeza kulalamika kwamba huo sio utaratibu , Sasa wao wanaojua utaratibu mbona hawafanyi ??

Kuna faida gani mtu anajua taratibu zote lakini hamna anachofanya ??

Kama unajua taratibu zote si ufanye Sasa ?

Hao wabunge wanaomkosoa Makonda nao ni viongozi je wanafanya nini kupunguza watoto wa mitaani majimboni mwao?

Au kushangaa shangaa na kuwapa Mia Mia wale watoto mabarabarani ndiyo solution?

Hata swala la madawa ya kulevya walilalamika hivihivi lakini mwisho wa siku Makonda akaibuka kidedea baada ya madawa kupungua mtaani na mateja kuanza kulilia dawa za alosto.

Kampeni ya Makonda imegeuzwa kuwa kampeni ya kupima DNA na kulazimisha ndoa wakati siyo kweli.

Kama kwenye eneo unalotoka Kuna mama amekimbiwa na kuachiwa watoto awalee ndio utaelewa Makonda anamanisha nini.

Piga kazi Makonda na Mungu akubariki Sana ipo siku watakukumbuka tu ,hata Lowasa walimponda Sana na kumtukana lakini Leo ndio boss wao.
Ndugu yangu umeandika kwahisia sn ili kutetea upuuzi! mfumo pekee wa kuwakomboa kina mama na jamii nzima ni uislam pekee hivyo mfumo wowote utakaotumika ni batili na ni dhuluma kwa wanadamu,sasa unasema mke mmoja mme mmoja kwa mifumo ya kikafir hlf yasitokee madhara ya watoto wa mtaan tunaishi ktk kipindi wanawake na mabint wanatembea uchi na wanadhurula hovyo ambapo uhuru ndo sera ya mfumo ,sasa kwann uzinifu usiendelee na hatmaye madhara tunayaona kwenye matelevisheni kwahy sifu utakavyosifu hakuna suluhisho mpaka tutakaporejea kwa ALLAH!
 
MFUMO WA UBEPAR NDO CHIMBUKO LA YOTE AYA KWAHY NAN MWENYE MAMLAKA YA KUTUDISHA KWENYE NJIA ILIYONYOOKA ISIPOKUWA YEYE ALLAH!
 
Hivi unawezaje kuandika maujinga marefu hivi??? Somebody here help me!!!
 
Nchi yetu imeharibika kabisa ,kila likianzishwa Jambo Kuna watu wanajitokeza kulalamika kwamba huo sio utaratibu , Sasa wao wanaojua utaratibu mbona hawafanyi ??

Kuna faida gani mtu anajua taratibu zote lakini hamna anachofanya ??

Kama unajua taratibu zote si ufanye Sasa ?

Hao wabunge wanaomkosoa Makonda nao ni viongozi je wanafanya nini kupunguza watoto wa mitaani majimboni mwao?

Au kushangaa shangaa na kuwapa Mia Mia wale watoto mabarabarani ndiyo solution?

Hata swala la madawa ya kulevya walilalamika hivihivi lakini mwisho wa siku Makonda akaibuka kidedea baada ya madawa kupungua mtaani na mateja kuanza kulilia dawa za alosto.

Kampeni ya Makonda imegeuzwa kuwa kampeni ya kupima DNA na kulazimisha ndoa wakati siyo kweli.

Kama kwenye eneo unalotoka Kuna mama amekimbiwa na kuachiwa watoto awalee ndio utaelewa Makonda anamanisha nini.

Piga kazi Makonda na Mungu akubariki Sana ipo siku watakukumbuka tu ,hata Lowasa walimponda Sana na kumtukana lakini Leo ndio boss wao.
unaelimu gani mkuu? fikiria kama wanafunzi wangeruhusiwa kufanya mitihani bila taratibu dunia ingekuwaje?
 
Ndugu yangu umeandika kwahisia sn ili kutetea upuuzi! mfumo pekee wa kuwakomboa kina mama na jamii nzima ni uislam pekee hivyo mfumo wowote utakaotumika ni batili na ni dhuluma kwa wanadamu,sasa unasema mke mmoja mme mmoja kwa mifumo ya kikafir hlf yasitokee madhara ya watoto wa mtaan tunaishi ktk kipindi wanawake na mabint wanatembea uchi na wanadhurula hovyo ambapo uhuru ndo sera ya mfumo ,sasa kwann uzinifu usiendelee na hatmaye madhara tunayaona kwenye matelevisheni kwahy sifu utakavyosifu hakuna suluhisho mpaka tutakaporejea kwa ALLAH!
Hata huko Zanzibar, Saud Arabia , Jordan Kuna watoto wamekimbiwa na baba zao
 
Kama una amini mungu... Nenda kamuombe sana akusaidie(akupe hekima).. Ndo naloweza kukuambia.... Pole Bro/Sis
 
Back
Top Bottom