tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,894
- 19,779
Anafanana nae kila kitu hata watoto hana,jamaa ni njaa kali sana bushlawyer wa vibarazani lumumbaKwa hiyo unataka kusema mleta uzi huu anafanana na makonda teh teh
Ova
Anafanana nae kila kitu hata watoto hana,jamaa ni njaa kali sana bushlawyer wa vibarazani lumumbaKwa hiyo unataka kusema mleta uzi huu anafanana na makonda teh teh
Ova
Sawa ndio hajafuata utaratiba kama unavyotaka ,je nyinyi mnaojuwa utaratibu kuna juhudi zozote ambazo mmezifanya kuonesha mnataka kuondoa tatizo la wanawake waliotelekezwa?.Kuna msemo watu huongea "sheria haina macho" hii ina maana huwezi kufanya jambo kinyume hata kama lina msaada kwa mhanga sheria ikatambua jambo lile linafanywa kwa nia njema. Kifupi nia njema haipo mbele ya sheria. Mfano inaweza kutokea mtu akaenda mahakamani kuomba tafsiri ya kinachofanywa na Bashite na mahakama ikatoa zuio. Maana yangu hapa kinachofanyika si kibaya ila taratibu zinakiukwa sababu kuna sheria inayosimamia faragha kwa mama na mtoto jiulizeni huko mlipo kwa nini kesi za udhalilishaji na ubakaji wa mama na watoto zinasikilizwa ndani ya chumba cha mahakama na si eneo la wazi kama inavyozoeleka? ukipata jibu utarejea anachofanya bashite
Akikujibu niambieSawa ndio hajafuata utaratiba kama unavyotaka ,je nyinyi mnaojuwa utaratibu kuna juhudi zozote ambazo mmezifanya kuonesha mnataka kuondoa tatizo la wanawake waliotelekezwa?.
Wewe inaonekana mama yako anafanya kazi huko. Watumishi wa ustawi wa jamii kazi yao ni- ku enforce law, na kushauri serikali kama sheria zilizopo zinaendana na muda, ili serikali ione umuhimu wa kufanya amendments. Tunategemea basi hata kuona hata hilo linafanyika kabla hawajaenda kwenye broad programs ambazo zinahitaji fedha nyingiAcheni uongo.... ustawi wa jamii hawawezeshwi ndo maana haionekani kama ipo..... ipeni budget ya kutosha. Tatizo la mambo ya makonda hayafanyiki kisheria na akiondoka nayo yanakufa......atumie taasisi zilizopo ndo mambo yake anayoyafanya hata akiondoka yatakuwa na kumbukumbu vinginevyo ni bure
Bashite atakua na mayai ya kware ndio mana hana mtotiWanasema eti Makonda anaingilia uhuru/anavunja faragha, nadhani kila kiongozi anayempinga Makonda ajitafakari sana.
Kwa sababu suala la kuwa na mtoto siyo faragha tena. Kama mimba haikuweza kufichwa na kuwa faragha sembuse mtoto ambaye ni kiumbe hai anatembea???
Usitawi wa jamii kupitia Waziri Ummy hawafanyi kazi yao!
Mod One nisaidie kudelete hii postWanasema eti Makonda anaingilia uhuru/anavunja faragha, nadhani kila kiongozi anayempinga Makonda ajitafakari sana.
Kwa sababu suala la kuwa na mtoto siyo faragha tena. Kama mimba haikuweza kufichwa na kuwa faragha sembuse mtoto ambaye ni kiumbe hai anatembea???
Usitawi wa jamii kupitia Waziri Ummy hawafanyi kazi yao!
Kumbe makonda ana mayai? Means ana Ovary...eti!Nasikia mayai yake na ya mkewe yanafanana!
Ninalo lipi? Siku hizi option ya kufuta thread haipoUnataka wafute?
Unalo hilo dada.