Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Umenena mambo safi sana. Mtanzamo wako unauiana na wangu. Tatizo ni wakuu walio pita baada ya Nyerere. Asante sana Mungu akubariki! Magufuli na Msaidizi wake Paul Makonda ndiyo wenye kazi ya kusafisha uchafu walio uacha Marais hao. [emoji120] Mungu awalaani huko waliko. Hasa Kikwete.

Kumbe umeona, Enheee? Kikwete chama kilikuwa kinamfia, jamaa alikuwa very useless kwa kweli.
 
Kama wewe si mjinga ni nini sasa, hapa unahisi tu kwa habari za kuambiwa kijiweni. Kama Lowassa HANA mtoto nje ya ndoa ya nini aogope? Na kama ni wake kwani ni kosa kumpa matunzo, si ni damu yake?
bado unazidi kujionyesha n jinsi gan ulivyo fala,huyo Dada MBNA alikanusha na kusema alilazmishwa kusema hivyo ili kumchafua mzee lowasa na kwamba yeye sii mtoto wake hivi ukishakuwa ccm akili zako huwa zinahamia kalioni jumla?
 
Afadhali anasaidia kuhamasisha wanaume kupiga tezi dume, sasa tatizo liko wapi jamani!
 
Tumeona nyota ya kijana mwenzetu RC Makonda ilivyokua inangaa mpaka kutoka nafasi ya ukuu wa wilaya mpaka ukuu wa mkoa, ki utawala mkoa wa Dsm ni mkubwa ukilinganisha na mikoa mingine, tumeona juhudi nyingi za huyu kijana ambaye ilifikia hata viongozi wengine kama mawazir na wakuu wa mikoa kumwogopa kwa namna ambavyo ana chapa kazi na ukaribu wake na rais wetu JPM, hata pale ambapo wananchi walimkosoa na kumkataa rais wetu amekua akimpigania kama kijana mchapa kazi, vita dhidi ya madawa ya kulevya, vita ya wanaume walio tekeleza watoto wao na mengine mengi yalimfanya RC makonda kuonekana mchapa kazi, pamoja na kwamba kuna wengine hawakubaliani na style ya utendaji wake, style hii ya utendaji kazi imemjengea maadui wengi ambao kwa sasa wanelekea kumshinda na kujenga hoja ambazo nina amani hata rais wetu ameanza kuzielewA, ki umri Makonda ni mdogo sana na atapitia kipindi kigumu sana kwenye siasa za nchi yetu, pengine hili litakua funzo kubwa sana kwake kwamba ukiwa juu ujue kuna siku pia utashuka chini, kwa mfano akumbuke njia ngumu walizopitia wana siasa kama kina EL, Kitwanga, Simba chawene, Nape Nnauye! Njia aliyotokea Nape Nnauye inawezekana kbs Makonda akipitia njia hiyo!..
Itaendelea part 2
 
Kulikuwa kuna nguzo yake moja ambayo ilikuwa inampa nguvu ya ulinzi, (rejea siku ya uvamizi wa kijasus wa radio clouds) sasa mhimili wake mmoja ulokuwa unampa ujinga na kumpelekea malaika mkuu sifa za uongo juu yake, ambayo kwa sasa imeng'oka. Amebaki Pharaoh ambae hakumjua Joseph.
 
Tumeona nyota ya kijana mwenzetu RC Makonda ilivyokua inangaa mpaka kutoka nafasi ya ukuu wa wilaya mpaka ukuu wa mkoa, ki utawala mkoa wa Dsm ni mkubwa ukilinganisha na mikoa mingine, tumeona juhudi nyingi za huyu kijana ambaye ilifikia hata viongozi wengine kama mawazir na wakuu wa mikoa kumwogopa kwa namna ambavyo ana chapa kazi na ukaribu wake na rais wetu JPM, hata pale ambapo wananchi walimkosoa na kumkataa rais wetu amekua akimpigania kama kijana mchapa kazi, vita dhidi ya madawa ya kulevya, vita ya wanaume walio tekeleza watoto wao na mengine mengi yalimfanya RC makonda kuonekana mchapa kazi, pamoja na kwamba kuna wengine hawakubaliani na style ya utendaji wake, style hii ya utendaji kazi imemjengea maadui wengi ambao kwa sasa wanelekea kumshinda na kujenga hoja ambazo nina amani hata rais wetu ameanza kuzielewA, ki umri Makonda ni mdogo sana na atapitia kipindi kigumu sana kwenye siasa za nchi yetu, pengine hili litakua funzo kubwa sana kwake kwamba ukiwa juu ujue kuna siku pia utashuka chini, kwa mfano akumbuke njia ngumu walizopitia wana siasa kama kina EL, Kitwanga, Simba chawene, Nape Nnauye! Njia aliyotokea Nape Nnauye inawezekana kbs Makonda akipitia njia hiyo!..
Itaendelea part 2

DUA LA SHETANI HALIMPATI MALAIKA
.
 
Issue ya watoto walio telekezwa ime ishia wapi?
 
Back
Top Bottom