johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hayo yamebainika leo wakati mkuu wa mkoa wa Dsm alipokuwa anawasalimia wanajeshi katika kambi ya Mgulani. Makonda alisema yeye ni mwenzao kwani alikulia kambini kwa kuwa baba yake alikuwa ni mwanajeshi. Makonda alisema baba yake alipigana vita mbalimbali ikiwemo ile ya kumfurusha Nduli Idd Amin mwaka 1978 na alipata ulemavu akiwa analitumikia jeshi. Paul amesisitiza kuwa hali hiyo ndio inampa ujasiri na uzalendo uliotukuka unaomfanya aweze kulimudu Jiji hili gumu la Dsm. Source TBC!