idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,308
- 38,526
Hampokei mshahara mkubwa lakini mnauwezo wa kuagiza kontena 20 zisizopungua bilioni 2.....[emoji851][emoji851][emoji851]Bado anakusanya pesa ya kulipia. Nadhan unajua kwamba watumishi wa serikali kuu hatupokei mshahara mkubwaaaaa.