Suala la Mashoga kama kweli ulidhamiria kulimaliza au hata kulipunguza ni lazima Moto wake uwe mkali kabisa na usizimike kirahisi.
Ili Mwanaume Shoga awe amekamilisha zoezi hilo ni lazima pawe na Mwanaume Mwingine maarufu kwa jina la Basha anayeshiriki kukamilisha kitendo kiovu cha Ulawiti kinyume na sheria za nchi yetu.
Nini Cha kufanya ;
Ni lazima sasa utumie kanuni ya Sukuma ndani:-
Kamata Shoga Sukuma ndani,
Kamata Basha wake Sukuma ndani,
Kamata Mhudumu wa Gesti walikofanyia Sukuma ndani ,
Kamata na mmiliki wa Gesti Sukuma ndani mana hakuweka taratibu za kuzuia wavunja sheria hao kutumia Gest yake.
Kamata Majirani wa eneo lilipotokea hilo tukio la ulawiti Sukuma ndani.
Kamata wazazi wa Kijana Shoga kama hawakufuatilia mwenyendo wa Kijana wao sukuma ndani.
Kamata Marafiki wa karibu wa mashoga na mabasha Sukuma ndani.
Kamata mwenye duka la pampas anayemuuzia Shoga Sukuma ndani.
Kamata Fundi Cherehani anayemshonea nguo Shoga sukuma ndani,
Kamata dereva wa Bodaboda au Taxi anayembeba Shoga au Basha kumpeleka wanakoenda kufanyia hilo tendo Sukuma ndani.
Zoezi hilo likifanyika vizuri kwa kanuni ya sukuma ndani baada ya Muda tutasikia tu kuwa hivyo vitendo viliwahi kufanyika na vinafanyika kwenye nchi nyingine lakini sio Tanzania hasa Dar es salaam.
Ni lazima hili zoezi liwe siriazi na endelevu mana ni jambo baya na ni kinyume na sheria za nchi yetu na mila zetu na dini zetu.
Lakini pia nasema hivyo kwa sababu mwanzoni hayo matendo tulisikia tu kama tetesi mana yalifanyika kwa kujificha lakini siku hizi yanafanyika kama fasheni bila kujali kuwa ni kinyume cha sheria za nchi na watu wanajirekodi na kurusha kwenye mitandao kama vile ni jambo la jema la kuigwa wakati ni jambo la kijinai kinyume na sheria zetu.
Waache kulalamika mana Wao ndio wamaejitangazia vita kwa kuanza kutangaza uhalifu wao kwenye mitandao, kwa hiyo Mh. Mkuu wa Mkoa mtu asikulaumu na wala usitishike kwa hili .
Nakuunga mkono kwa asilimia 100.