Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Tuliambiwa ukiona elimu ni ghali jaribu ujinga. MB zinateketezwa kwa ujinga wa mtu mmoja.
 
Amekuwa akianza mambo na Kuwa mjadala nchi nzima pia hutumika kuamisha wananchi kwenye mijadala muhimu. Nadhani awamu hii Hali ilivo ngumu Ili kutoa wananchi kwenye ya msingi wanamtumia ndo mana jiwe hatamtumbua kamwe.
 
Maarufu kwa ukurupukaji na uropokaji wake. Hujagundua kama kila sehemu akienda akiianza kuongea anawa-bore watu? Hasa CCM wenyewe ndiyo anakera zaidi.Sasa alikuwa analia jana kanisani eti kwa ajili anasema '' Mashoga wananafanya wakati wanajua sheria hairuhusu'' Sasa huo ni unafiki mkubwa kwani yeye alivyoghushi cheti si alijua sheria hairuhusu? Sasa anashangaa nini mashoga. Yeye mwenyewe ana hatia ya makosa kadhaa na alitakiwa awe jela.
 
Sasa mbona umemsahau Konki konki konki master?
Kwa mujibu wako ni kwamba Makonda na Konki ni magenius!Au mimi ndio sijaelewa!!!!
 
Hahaha! Eti Genius Sababu Ni Maarufu!
Yaani Mtu Akiwa Maarufu Basi Anakuwa Genius!
Aisee Umekula Maharaghe Ya Wapi!
Makonda siyo maarufu bali ni mpambanaji ingawa mambo mengi siyo ya maana lakini kwa hili la ushoga namuunga mkono
 
Hey you SIMPLETON!! Tuanzie hapa!! "TANZANIA MTU AKIWA MAARUFU AKAONGELEWA NA KILA MTU KWAKO UNAM - REGARD kuwa GENIUS??" nani kakwambia mashoga una-deal nao kwa kutumia nguvu na vitisho??
Kwa maana hiyo yule jamaa aliyemkula wema denda ni genius,amber rutty ni genius,konki master ni genius na makonda ni genius!
Kama tafsiri ya genius ndiyo hiyo,naomba mimi wala ukoo wangu tusiwe na genius hata mmoja!
 
Hana u-genious wowote. Anapenda kutafuta Kik kwa vitu ambavyo anatambua kabisa hana ubavu wa kutatua.
 
Makonda ni Genius kweli, ila kwa kuwa anagusa maslahi ya watu lazima wahusika wampinge tu.
Serikali imempinga!!!Tuelezee hapa timu ya JPM wameguswaje maslahi yao!
 
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa hili tusiteteleke kabisa we must say No.wacha wampinge ila mimi nampa support 100%.
Umemtumia majina ya mashoga?Anzia hapo kumpa support
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…