Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Hata katika kundi la wajinga huwa kunakuwa na genius
 
Kama serikali liyomuweka madarakani haimuungi mkono wewe ni nani???
 
Hahah eti genius. Unashindwa kutofautisha genius na attention seekers. Makonda si genius sababu eti ameanzisha ishu ya kukataza mashoga, kama idea yake ilikuwa ni kutafuta umaarufu hata ww mwenyewe waweza kutengeneza tukio.

True genius si watu wa public sana a.k.a watu wa kujionyesha. Mara nyingi huwa hawataki kujulikana kama wao ni extra ordinary minds.. wanapenda kazi zao ziongee.
 
Sijuwi ni posho au kuna teuzi zinataka kufanywa Mr Albati Daudi Bashite
 
Kweli wewe dish lako limeyumba kabisa
 
Neno Genius litakuwa limebadilishwa maana.
 
mtoa mada unachanganya wali na uji, unapopost tulia..
Ni kweli tunamuunga mkono bashite kwenye hili ila umeharibu kwa kupima u genius kwa kigezo cha kuongelewa na watu wengi..
huku usomini utachekwa
Hata AMBA RUTTI mama tigo sasahivi ni gumzo !
 
Una uhakika kuwa Makonda anapinga USHOGA? ukija gundua kuwa sio utaiweka wapi sura yako?
 
Je alivyomzaba vibao Mzee wetu Jaji Warioba ni laana inamtesa huyo Bashite. Hana lolote lingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…