Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Dar ni moja kati ya miji michafu duniani!
Tiba ya usafi wa miji sio kufagia kila ya mwisho wa mwezi! Tiba yake ni kuwa na predictable and controlled sources za uchafu! Lkn pia kuwa na mifumo mizuri ya ukusanyaji na utupaji taka!
Kwa sasa Dar source za uchafu ni kila kona!
Ujenzi ambao haujazingatia mipango miji ndio shida namba moja!
Tuanze na haya:-
  1. Wanaojenga wote wafuate miongozo ya masterplans!
    • Ujenzi uendane na matumizi sahihi ya eneo,haiwezakani kila nyumba iwe na duka lake, bar yake na saloon yake! Kila kituo cha bus kuwe kuna wauza njugu, wauza nguo, wauza mazao!
    • Unawezaje kucontrol taka zinazozalishwa kila kichochoro! Hii haina maana watu wasifanye biashara, yatengwe maeneo maalum ambapo watu wataenda kununua bidhaa!
    • Huu mji kuna kauzembe Fulani tumejiwekea, mfano daladala zina vituo vya msaada, just kutembea 20m kutoa ktk kituo halali mtu hataki analazimisha kupakia au kushuka katikati ya barabara! Tabia hizihizi ndizo zikizozua bar kila nyumba au duka kila kichochoro!
    • Simamisha ujenzi wote wa Bar, Maduka na vibanda vyovyote vya biashara maeneo yasiyokuwa maalum!
    • Kwa wafanyabiashara wadogo turuhusu Gulio "Sunday Markets" ambapo kuanzia Friday afternoon tufunge hata Samora avenue na Congo, Tandika, Mwenge, etc watu wakeshe wakifanya biashara hadi jumapili jioni barabara zisafishwe!
    • Hawa walalahoi watakuwa na gulio lao, wainvest huko hii inakuwa win win! Vinginevyo hatuwezi kuwa na jiji safi ambalo bidhaa zake tu zatosha kuleta picha ya uchafu!
  2. Makampuni ya usafi yammilikiwe na jiji na wakazi wake, kupitia vikundi maalum! Ile milioni 50 unayotaka kuwapa wananchi usiwaambie wakauze vitumbua, watachafua tena! Mil 50 kwa mwaka mmoja ni mil 600 kwa kila serikali ya mtaa, unammaanisha mitaa 5 ikiungana inaweza kuwa na bil 3 ambapo wanaweza kuanzisha makampuni ya usafi ktk maeneo yao na watalipisha wakazi wa maeneo husika kama sehemu ya ajira kwao na kutatua tatizo la uchafu na wao shida yao ya ajira!
    • Investment ktk mamilioni ya Magufuli kwa jiji lako naomba iwe ni ktk shughuli za pamoja za usafi tu! Mabilioni ya Kikwete hayakummsaidia mtanzania wala serikali! Hizi 50 kila mtaa kwa mwezi zilenge ktk kumkomboa mkazi na makazi yake!
  3. Ktk makazi mapya tujenge municipal sewage na water treatment systems, ili wananchi waache kuchimba vyoo na badala yake wawe wanalipia maji taka kama sehemu ya kuboresha mazingira! Ilivyo sasa wengi wana control kinyesi tu, uchafu mwingine wa ktk maji unaingia ktk vyanzo vyetu vya maji na kuathiri afya!
  4. Tuwe na dampo na vifaa bora vya kutenganisha taka, kusindika na kuteketeza taka mjini! Zipo taka zinazoweza kurejeshwa ktk matumizi, lkn hili lazima lisimamiwe isiwe ilivyo sasa! Watu wanaenda dampo kuokota taka wanazirudisha tena mtaani kama malighafi hasa chuma na plastics! Wale wanaotaka hiyo kazi wafanye na makampuni maalum ili taka zitengwe mapema na ziwe na usimamizi! Kwa sasa Hawa wanaouza taka nao wanachafua mji!
 
Wazo zuri sana ila na hawa wannye maduka wangeambiwa wawe wanafanya usafi kwenye mitaro iliyopo mbele ya maduka yao maana wao ndio wanaongoza kwa uchafu na kufungulia maji machafu kwenye hii mitaro,matakataka na michanga wanafagilia kwenye mitaro mitaro iliyo mbele ya maduka yao(mfano barabara ya shekilango )
Poa wafanya usafi wengi (wafanyakazi was hayo makampuni)huwa wanafagilia michanga na uchafu ndani ya hii mitaro kwa wing I sana
 
Dar ni moja kati ya miji michafu duniani!
Tiba ya usafi wa miji sio kufagia kila ya mwisho wa mwezi! Tiba yake ni kuwa na predictable and controlled sources za uchafu! Lkn pia kuwa na mifumo mizuri ya ukusanyaji na utupaji taka!
Kwa sasa Dar source za uchafu ni kila kona!
Ujenzi ambao haujazingatia mipango miji ndio shida namba moja!
Tuanze na haya:-
  1. Wanaojenga wote wafuate miongozo ya masterplans!
    • Ujenzi uendane na matumizi sahihi ya eneo,haiwezakani kila nyumba iwe na duka lake, bar yake na saloon yake! Kila kituo cha bus kuwe kuna wauza njugu, wauza nguo, wauza mazao!
    • Unawezaje kucontrol taka zinazozalishwa kila kichochoro! Hii haina maana watu wasifanye biashara, yatengwe maeneo maalum ambapo watu wataenda kununua bidhaa!
    • Huu mji kuna kauzembe Fulani tumejiwekea, mfano daladala zina vituo vya msaada, just kutembea 20m kutoa ktk kituo halali mtu hataki analazimisha kupakia au kushuka katikati ya barabara! Tabia hizihizi ndizo zikizozua bar kila nyumba au duka kila kichochoro!
    • Simamisha ujenzi wote wa Bar, Maduka na vibanda vyovyote vya biashara maeneo yasiyokuwa maalum!
    • Kwa wafanyabiashara wadogo turuhusu Gulio "Sunday Markets" ambapo kuanzia Friday afternoon tufunge hata Samora avenue na Congo, Tandika, Mwenge, etc watu wakeshe wakifanya biashara hadi jumapili jioni barabara zisafishwe!
    • Hawa walalahoi watakuwa na gulio lao, wainvest huko hii inakuwa win win! Vinginevyo hatuwezi kuwa na jiji safi ambalo bidhaa zake tu zatosha kuleta picha ya uchafu!
  2. Makampuni ya usafi yammilikiwe na jiji na wakazi wake, kupitia vikundi maalum! Ile milioni 50 unayotaka kuwapa wananchi usiwaambie wakauze vitumbua, watachafua tena! Mil 50 kwa mwaka mmoja ni mil 600 kwa kila serikali ya mtaa, unammaanisha mitaa 5 ikiungana inaweza kuwa na bil 3 ambapo wanaweza kuanzisha makampuni ya usafi ktk maeneo yao na watalipisha wakazi wa maeneo husika kama sehemu ya ajira kwao na kutatua tatizo la uchafu na wao shida yao ya ajira!
    • Investment ktk mamilioni ya Magufuli kwa jiji lako naomba iwe ni ktk shughuli za pamoja za usafi tu! Mabilioni ya Kikwete hayakummsaidia mtanzania wala serikali! Hizi 50 kila mtaa kwa mwezi zilenge ktk kumkomboa mkazi na makazi yake!
  3. Ktk makazi mapya tujenge municipal sewage na water treatment systems, ili wananchi waache kuchimba vyoo na badala yake wawe wanalipia maji taka kama sehemu ya kuboresha mazingira! Ilivyo sasa wengi wana control kinyesi tu, uchafu mwingine wa ktk maji unaingia ktk vyanzo vyetu vya maji na kuathiri afya!
  4. Tuwe na dampo na vifaa bora vya kutenganisha taka, kusindika na kuteketeza taka mjini! Zipo taka zinazoweza kurejeshwa ktk matumizi, lkn hili lazima lisimamiwe isiwe ilivyo sasa! Watu wanaenda dampo kuokota taka wanazirudisha tena mtaani kama malighafi hasa chuma na plastics! Wale wanaotaka hiyo kazi wafanye na makampuni maalum ili taka zitengwe mapema na ziwe na usimamizi! Kwa sasa Hawa wanaouza taka nao wanachafua mji!
Mawazo mazuri sana. RC Makonda ajaribu kuyafanyia kazi.

Pale Sinza kuna kituo cha daladala cha Kwa Remmy uchafu uliopo kwenye mtaro na eneo la maduka unaudhi. Mtu unajiuliza wenye maduka na biashara zao eneo lile hawana habari na kampeni ya usafi jijini? Au wanangojea jumamosi ya mwisho wa mwezi ndio wafanye usafi? Maafisa Afya na viongozi wa mitaa wanafanya kazi gani?
 
Ushauri kuntu.
Kuna wa kuutekeleza?
Makonda ana kazi nyingi sana na mambo mengi ya kufanyia. Huu ushauri kuntu unahitaji mpango mkakati wa muda mrefu ili ile kazi ya usafi ya "mara moja kwa mwezi" iwe na tija na uendelevu. Ifike mahali pasiwe na haja ya kampeni ya usafi wa "mara moja kwa mwezi" kwa sababu usafi umekuwa ni tabia ya mtanzania.
Tanzania bila uchafu inawezekana!
 
Makonda angefanya jambo la msingi sana kama angepambana na WAPIGA DEBE katika vituo..

Hawa ni wezi,wanaibia watu sana..
 
Hivi Makonda ametoa mrejesho wa michango ya madawati kwa Kinondoni na Dar au anajikausha ili watu wasahau? Watoto wetu bado wanateseka kwa kukaa chini na kwenye vitofali. Tumeona akipokea misaada kibao ya madawati hadi kutoka kwa Balozi wa Japan na wa China.
 
Amekua anaishi kimachale kwani amebaini mashoga 150 wanamsaka wamuangamize.
 
hili suala la kutulazimisha kufungua ofice na shughuli za biashara saa nne ni kuirudisha nyuma nchi kwanza watanzania tunafanya kazi si zaidi ya massa sita tu .halafu eti tunataka maendeleo yavharaku hukuvtukipunguza muda wa kufanya kazi !!.alafu kila jumammosi niafadhali angalau iwe mpaka saa 2nasu
 
Mheshiwa Makonda hakuna shaka wewe ni kijana mchapakazi

Inaniwia vigumu kuelewa ni kwa nini kero kama ya soko linaloziba barabara tena sio barabara ya kawaida tu bali ni barabara kubwa namba moja Tanzania-Barabara ya Morogoro.

Soko la Manzese husanyika barabarani kila siku kuanzia saa 2;00-4;00 usiku huku likizuia lane yote ya kushoto na hata nusu ya lane ya kulia kwa magari yote yanayotoka mjini kuelekea Ubungo. Magari yote yanayotoka mjini hulazimika kupita kwenye hio nusu ya lane ya kulia.

Soko linapofanyika barabarani, mbali na na kusababisha foleni isiyo ya lazima, ni hatari kwa watu wenyewe, mali zao na zaidi ya hayo ni matumizi mabaya ya raslimali za nchi. Gharama ya kutengeneza barabara na kubadilishwa kuwa soko ni kubwa na ni hasara kubwa.

Pia hasara ya sh. bilioni nne kwa siku kwa wastani kutokana na foleni za barabari Dar hilo nalo linajulikana na Manzese ni eneo korofi zaidi.

Mheshimiwa Makonda hili liko ndani ya uwezo wako kabisaaa hebu lifanyie kazi. Utaokoa pesa nyingi ya nchi na wananchi. Halafu utaendelea na yale mengine nayo si haba. Lakini maliza hii kero, once and for all!
 
Serikali inakusanya kodi pale kuondoshwa wafanyabiashara sio rahisi kama unavotegemea. hio kodi ndio itakayoanzishwa Tanzania ya viwanda.
 
Mkuu hakuna kodi inayokusanywa kwa machinga wa barabarani labda tu ujaribu kuwatetea kwa namna nyingine vinginevyo ndio umeongeza kuwachongea kwa hizi mamlaka za halimashauli
 
Serikali inakusanya kodi pale kuondoshwa wafanyabiashara sio rahisi kama unavotegemea. hio kodi ndio itakayoanzishwa Tanzania ya viwanda.

Mkuu bado naaini Makonda amesikia!
Na ukweli ni kuwa hamna cha kodi wala ushuru.

Hebu mamlaka husika fanyieni kazi kero hii
 
Wakati mwingine najua mafuriko wakuu wa mkoa mnapata shida sana nimeona nikujua mapema kabla hawajaja kwako kuna huu mto Kawe ulikuja hi njia ya kupandia Rainbow kama unaenda Tankbovu hapa kati ukapiga kelele na marufuku malori kuja. Hivi sasa wamebuni mbinu nyingine kunakuwa nawatu wawili wa serikali za mtaa Kawe wanawalinda hawa vijana mtoni.

Wanapomaliza wanaenda darajani hakakadaraja kako hapa karibu na supermarket kama unaenda keepeleft ya Kawe. Hapo Lori inachukuliwa na mtu wa serikali za mtaa wanaingia ndani nakuchota wanapojaza wanamalizana jamaa wanaenda tena kukamata malori barabarani.

Mh nahisi swala ni kuweka namba zenu wazi badala ya kusubiri malori yatoke na mchanga tunaanza kuwakamata hawaa wanaochimba huu mto. Sihilo tu nahawa serikali zamitaa wapigwe marufuku na wahusika watajwe wanaohujumu huu mto hawa ni wauaji kabisa.

Pia nashauri hawa vijana mkiwatoa humumchangani muangalie mnawapeleka wapi maana wako wanaiba mchanga bado wanatupiga ngeta saa kumi na mbili.
Wakifungiwa nahisi muwàngalie pia wanasaidikaje.

USIKUMWEMA
 
Bora umeliona hilo, kiukweli ni kero sana mto unazid kualibiwa
 
Shidamoja hatamkifukua kitu mtuambie mmeishia wapi Basi

Kuna utapeli kadhaa unaendelea pale magetini sijui kama mmiliki wa tenda anajua AMA ndio yaleyale

Baadaa ya mkurug kusaini mikataba miwili tofauti vipi mkataba ulirudiwa upya AMA

Pale getini yanapoingilia mabasi utakuta jamaa.wanaokusanya pesa WATU wakiingia wanatoa resit za max malipo well n gud

Pamoja NA hawa nao n wapigaji wskubwa..wanapompa tkt MTU aingie akiwa anatoka wanaulizia..ukiwapa awachan wanakaa Nazi wengine wanapoingia wanapewa bila tkt kutoka KWENYE mashine tens..MNS watu sita + wanaweza tumia tkt moja....akija mwingine anatoka nje wanazikusanya zile tkt tena wanasubiri wanaoingia wanagawa..tena....

HAWA WENGINE N MAJAMBAZI MH RC..NILIHISI NI KAMPUNI TOFAUTI..WAKATI NATOKA NILITOKEA KULE KWENYE GETI LENYE OFISI ZAO WAKATI NATOKA NIKAONA WANA TKT ZA ZAMANI SIO ZA MAX MALIPO ..YALE YALIOCHAPISHWA WAKAPIGA MHURI..NILIKUWA TAYARI NA TKT YA MAX MALIPO ..lakini nilishawishila kulipatena wanipe hiO tkt yao .. Nilipopewa nkauliza vipi HII kampuni n moja nakule mbele ndio..nilishtuka sana

Nkawaonyesha HII maxmalipo n tkt zenu ndio mmoja akajifanya anamuuliza mwenzie hivi kwanini amtumii tkt za machine gafla akaja MTU ameshika ile mashine akaanzakuwakatia WATU tkt zamashine

ONYO
Ukiingiaa hakikisha unaonaa tkt inatolewa KWENYE shina AMA KWENYE machine else usikubali MTU kashika tkt anakupa n wizi Hawa dk anawaitaji NA Kesho tutawafanyia kazi mchana....

Ulinzi umekuwa n mbovu sana ndan mh WATU wamekuwa wakiibiwa sana ovyo bila maana walinzi wamgambo badala yakulinda wameamua kuchukua Alf 2000 kilasiku kwa WATU wanaoouza machungwa NA big g mule ndani NA kuacha kufanya waliopelekwa pale...

UKITOKA HAKIKISHA UNACHANA ILE RESIT YAKO.AMA TKT YAKO...WIZI HUU NDIO ULISHTUKIWA KULE UDART KUISHA N NGUMU ILA NAAMINI WAMEPUNGUZA

Mh RC kila la kheri NA majukumu yako naaminihuu mzigo mwingine utusaidie
 
Back
Top Bottom