Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

sheria ya mwaka 1997 ya sekretarieti za mikoa inaainisha kuwa kazi ya mkuu wa mkoa ni kuhakikisha ulinzi na usalama kwenye mkoa ili wananchi wajiletee maendeleo...sasa huyu mara machinga complex,mara barabara,mara mashoga,mara walimu wasafiri bure...si angechagua ubunge au udiwani tukajua moja!!!!
 
Kasema hakuna nchi inayoendelea kwa sababu ya maandamano.. Anazidiwa akili na mashoga.. Hajui maendeleo ni akili mbili zikinzane na hajui maana ya wapinzani ni kupinga..
 
Viongozi wapigwe msasa kila mmoja atambue job description yake. Maana kwa sasa sielewi nani anapaswa kuhamasisha picha ya Rais iwe kila ofisi kati ya Waziri wa habari na Mkuu wa mkoa.
 
sheria ya mwaka 1997 ya sekretarieti za mikoa inaainisha kuwa kazi ya mkuu wa mkoa ni kuhakikisha ulinzi na usalama kwenye mkoa ili wananchi wajiletee maendeleo...sasa huyu mara machinga complex,mara barabara,mara mashoga,mara walimu wasafiri bure...si angechagua ubunge au udiwani tukajua moja!!!!
Hajajielewa bado..
 
Ni mtu wa kulipa fadhila kwa waliomukota huko alikokua hivyo hayuko huru katika maamuzi yake!
 
Back
Top Bottom