Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ma arasiii na madisiii njooni mumsaidie mwenzenu anasulubika huku!!!
Au nyie siyo memba huku jeiefu!!!

Ma-K, mimina mshiko lumumba vc (vila.za club) wakupe sapoti.
 
Nahisi Jiji la Dar ni juu uwezo wa wa huyu kijana wetu...kwa mfano zoezi la kufunga biashara siku ya jumamosi kwa ajili ya kufanya usafi ni Martial Law na linapingana na Tanzania ya Viwanda...Pia nilishangaa kuona Tangazo Clouds Tv eti atatoa Toyota Hilux kwa kiongozi wa Serikali ya Mtaa atakaye simamia zoezi la usafi...nadhani kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya hapa Dar kama Mkuu wa Mkuu
1.Uhalifu
2.Mipango Jiji
3.Ajira kwa Vijana
4.Mazingira mazuri kwa wawekezaji
 
Mara nyingi utafiti unasaidia katika kufanya maamuzi fulani. Sina hakika kama utafiti huu una lengo la kusaidia maamuzi juu ya ukuu wa mkoa wa Dar.
 
Huyu arasii kuna Sehemu kuna kunamfaa! Bongo movie!
sheria ya mwaka 1997 ya sekretarieti za mikoa inaainisha kuwa kazi ya mkuu wa mkoa ni kuhakikisha ulinzi na usalama kwenye mkoa ili wananchi wajiletee maendeleo...sasa huyu mara machinga complex,mara barabara,mara mashoga,mara walimu wasafiri bure...si angechagua ubunge au udiwani tukajua moja!!!!
Ni roporopo, hana adabu. Nasema hana adabu kwa kua alimpiga mzee mwenye heshima na utumishi uliotukuka, mzee Jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba.

Pia anapenda kulamba viatu vya walio juu ili apate vyeo, mfano namna alivyoupata udc awamu iliyopita. Mengi ayafanyayo ni kama kujitafutia masifa yasiyo na tija kwa cheo chake. Aungane na mzee wa kunywa maji mengi ili awe mweupe zaidi.
 
Nahisi Jiji la Dar ni juu uwezo wa wa huyu kijana wetu...kwa mfano zoezi la kufunga biashara siku ya jumamosi kwa ajili ya kufanya usafi ni Martial Law na linapingana na Tanzania ya Viwanda...Pia nilishangaa kuona Tangazo Clouds Tv eti atatoa Toyota Hilux kwa kiongozi wa Serikali ya Mtaa atakaye simamia zoezi la usafi...nadhani kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya hapa Dar kama Mkuu wa Mkuu
1.Uhalifu
2.Mipango Jiji
3.Ajira kwa Vijana
4.Mazingira mazuri kwa wawekezaji
Hapa ndipo na conclude UONGOZI sio jambo dogo. Mara zote uleupande unaojiona kujua namna ya kuongoza ila umekosa hiyo nafasi huikosoa mamlaka iliyo madarakani kwa kundelea kuuaminisha umma kuwa watawala wamekosea. Ni kweli wanakosea. Lakini sio kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom