Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Kwa nini unaona hausaidii mkuu..Mara nyingi utafiti unasaidia katika kufanya maamuzi fulani. Sina hakika kama utafiti huu una lengo la kusaidia maamuzi juu ya ukuu wa mkoa wa Dar.
Kwa nini unaona hausaidii mkuu..Mara nyingi utafiti unasaidia katika kufanya maamuzi fulani. Sina hakika kama utafiti huu una lengo la kusaidia maamuzi juu ya ukuu wa mkoa wa Dar.
Well said mkuu..Hana vision kabisa,anagusa hili anaacha anahamia kwa jingine yani ni full vuruguNilishawahi kuandika humu kuwa Kiongozi akikosa vision ni rahisi kuwa sawa na mtalii mbugani.Mtalii anaweza kuwa yuko interested na kuona Simba Mbugani lakini si ajabu akimwona Kenge atatoa Kamera yake ampige picha.
Sijaona Vision ya Makonda mpaka sasa ni nini katika Mkoa wake! Visheni iliyofafanuliwa kwa Misheni,Mikakati na Mbinu(I stand to be corrected kama anayo).
Yeye yuko busy kutaka watu ofisini watundike picha za Magufuli badala ya vijitabu vinavyoeleza Mikakati yake ya Muda mfupi,Kati na Mrefu wa kuendeleza Mkoa wake.
Na Kibaya zaidi ameamua roho ya chuki ndiyo iwe dira.UKAWA ndio wameshika mfuko wa Pesa kwa Halmashauri nyingi na Jiji kwa ujumla.Utekelezaji wa Mpango wowote ule unahitaji Pesa.Sasa kama ataendeleza tabia za kutuinishiana misuli na wapinzani hakuna kitakachoenda mbele.Angeweza kufanikiwa kama CCM ndio ingekuwa imeshika usukani wa Jiji lakini bahati mbaya hali haiko hivyo.
Mara 2020 hiyoooKifupi sioni tatizo kwake hivyo tumpe muda
Usilalie bahati ya mwenzio mlango waziMwenye Elimu ya Paul Makonda atupatie jmn angalau ata GPA yake ya chuo bsi!!!!! !!!!
Dawa ni kuyafuta maagizo yote na kuanza upya,upya ambao utalenga kuwashirikisha vijana wa dar katika kila hatua ya maendeleo.Tatizo lake ni kukosa kujipa vipaumbele, kila kukicha anaibuka na jipya! Hebu take time uchambue maagizo yake yote moja baada ya jingine kisha utwambie ni lipi alilofanikisha na kwa kiwango gani?!
Ajirekebishe wapi ili wana Dar es Salaam wanufaike??Worst RC tangu uhuru
Hatakiwi Hana sifa za kuwa mwenyekiti wa mtaa."Leaders are born and not made".Ajirekebishe wapi ili wana Dar es Salaam wanufaike??
Amesoma miaka 5 course ya miaka 3! Ikabidi wampitishe maana ilikuwa kero na aibu pale Muccobs! Aibu!! Sana hana uwezo wa darasani ila anaweza fitina na majungu kujipendekeza hapo humuweziMwenye Elimu ya Paul Makonda atupatie jmn angalau ata GPA yake ya chuo bsi!!!!! !!!!