bridalmask
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,195
- 1,169
Hajui kitu huyu anadhani anaongoza chama cha swisswism,na matamko buku jero yasiyo na tija kichwa wala miguu.
Anaitikia chorus kwenye kwaya ya Magu.Anamsubiri Rais atoe matamko Kisha yeye a bold
Ok lakini je kwa tabia na hulka yake ya "kimbele_front" kumfurahisha Mukulu anayo maono na hekima kama hiyo ya kujisahihisha?! Mie namuona ni " too self righteous and Egocentric" kama Baba yake kwamba 1. Ana majawabu yote ya matatizo ya Dar 2. Hawezi kukosea na 3. Hana decency ya kukiri anakosea kama binadamu wengineo sote, such vices hazitamuwezesha kufaulu kwa lolote lisilo na Godfather!! Poor him.Dawa ni kuyafuta maagizo yote na kuanza upya,upya ambao utalenga kuwashirikisha vijana wa dar katika kila hatua ya maendeleo.
Hana vision kbisa tangia amekuwa mkuu wa wilaya amefanya jambo gani nzuri zaidi ya misifa.tuone ataifanyia nn DSM yeye anapiga fitina ili aonekane anafanyakazi wakt hana mikakati anakurupuka tuu.Sio kwamba hana vision,anazo yule ni msomi ila zinavurugwa na mikakati ya sasa,isio kuwa na mwelekeo wa moja kwa moja na pengine nidhamu ya woga.
Kwa vyovyote,usipozingatia hali halisi ya mazingira yako na kuyakubali kuendana nayo,upo matatani.
Hiyo ibara imeitaja na UDART?(4) Bila ya kuathiri masharti ya ibara ndogo ya (5), kila Mkuu wa Mkoa, atakuwa na wajibu wa kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli zote za Serikali ya Jamhuri ya Muungano katika mkoa aliokabidhiwa.
Hivyo atashughulika na
Maendeleo ya elimu mkoani mwake, kujua idadi ya walimu, wanFunzi, matatizo yao, idadi ya walimu na mapungufu, kwani shule za Dar zinafanya vibaya hasa za serikali
Ataangalia matatizo ya usafiri unavo athiri ufahamu na elimu kwa ujumla
Maeneo ya shule kuwa sio rafiki kwa elimu
Jee shule za mkoa wake zina mapungufu gani katika miundo mninu ya ndani
Nk nk
Suala la maji atawajinika kushirikaina na mamlaka ya maji kuona jiji linapata hudu ya maji nila ya bughudga
Atahakikisha niashara zinazotumia maji yanapatikana ili kuzidisha uzalishaji
Awe na takwimu sahihi za mkoa wake ya maeneo ambayo kuna maji na wPi hakuna ili aweze kuyafikisha kunakohusika kupatiwa ufumbuzi
Usafiri.., jiji lina changamoto nyingi za barabara mbobu, foleni, na ujenzi holela wa bara bara ambazo zinajengwa kinyume na taratibu za majiji..kila mahala barabra kuna mitaro ya wazi..duniani..wala mkii wa zamani city zentre wazungu hawakuweka mitaro ya maji machaci pembeni..
Uboreshaji wa Dart...
Kuona usagiri wa train unakua na unaboreshwa
Afya...hili nali ni tatizo ukiwa mkuu wamkoa huna time na mambo ya mashoga au wauza madafu.
Kuna tatizo hospitali zote za wilaya. Hazitoshelezi...nguvu kubwa ingeongezwa huko..ili kupunguza foleni muhmbili..hata huku wanaweza kuwa na na MOI zao...mkoa inatakiwa washirikiane na wizara husika kuona huduma za afya zinaboreshwa, kujua kunahitajika madaktari wangapi kayika fani yofauti ili jiji kujitosheleza...
Kwa ufupi kila secta mkuu wa mkoa ndio mtekelzaji kuu wa sera na maagizo ya serikali kwa mujibu wa katiba
Kwenye viwanda
Ajira
Wajasiri mali
Kilimo
Biashara
Haya ni muhimu ili kilifanya jiji lijitegemee kw kodi...mkuu wa mkoa anatakiwa kuandaa utaratibu kuhakikisha biashara zinakua na wengi wanapata ajira ili walipe kodi na jiji liweze kutoa juduma
Mkuu wa mooa ukimuuliza jeee kwa wastani magari mangapi yanapaki kwa siku kayika jiji lake nakuhakikishia hajui...na kila kila gari linalipa wastani wa shs 2000 kwa siku...jee jiji linapata kiasi gami kwa katika hizo? Mie kw kukisi parking fees peke yake ingeweza kuziba mashimo yote ya Dar na kuziweka road zote katika hali nzuri..
Kuna suLa la mabango..anajua jiji linapata kiasi gani kwa mwaka ? Kwa ufupi bill boead moja wanalipa 10 million kwa mwezi. Sasa hesabu kuna billboard ngapi hapa dar? Na mabango mengi sana yaliyo tapakaa hapa jijini...
Hizi ndio kazi za kufanya..haya mamno ya kukutana na wasaniii na kwenda clouds hayatusaidii wakazi wa jiji hili...uhakikika ukifanya kaizi zako za mkuu w mkoa sawa sawa basi huna hio time ya kukutana na wasanii kama ndio wao kila kitu hapa Dar.
Tunayasema haya nina uhakika atayasoma kumsaidia ..jiji linataka maendelo..yeye ni kijana aoneshe ..haya ya kufagia mwishi wa mwezi yawe ya hiyari...na wananchi watatoka wenyewe wakiona mkuu wao wa moa anafanya jitihada hizi kuliendeleza jiji watatoka bila hata vitisho vya kupelkewa mahakani...
Nadhani utamtag Makonda asome
View attachment 377367
Nilimsikia akitoa hiyo kauli kuhusu maandamano ,mpaka nikaona aibu mimi ,kuna watu sasa hivi nakimbia kuwasikiliza ,juzi akiwa ukonga alisema wale polisi wa FFU ni ma trekta na jamaa wanapiga makofi pwa pwa pwaKasema hakuna nchi inayoendelea kwa sababu ya maandamano.. Anazidiwa akili na mashoga.. Hajui maendeleo ni akili mbili zikinzane na hajui maana ya wapinzani ni kupinga..
Hamna kitu kabisa huyu jamaa!Hamna kitu anafanyaView attachment 377284
Hiyo ibara imeitaja na UDART?
Mwendokasi ni hatari.
Na yule jamaa uchwara naye kutangazwa tu imekuwa nongwa mbichwa mkuuubwa mpaka alichoapa kukilinda keshakisahau!!!HILI DARASA LA AKILI KUBWA..TAFUTA JUKWAA LA CHAT CHAT