Mkuu bhanaaa! InatoshaaAmesoma miaka 5 course ya miaka 3! Ikabidi wampitishe maana ilikuwa kero na aibu pale Muccobs! Aibu!! Sana hana uwezo wa darasani ila anaweza fitina na majungu kujipendekeza hapo humuwezi
Mkuu bhanaaa! InatoshaaAmesoma miaka 5 course ya miaka 3! Ikabidi wampitishe maana ilikuwa kero na aibu pale Muccobs! Aibu!! Sana hana uwezo wa darasani ila anaweza fitina na majungu kujipendekeza hapo humuwezi
amwachie huyo? acheni masikhara huu mkoa unataka mtu makini sio hawa watuView attachment 377280
Nadhani ni muda wa kumuachia polepole mkoa hili wa daresalam wasonge mbele
swissme
Teh!!Nilimsikia akitoa hiyo kauli kuhusu maandamano ,mpaka nikaona aibu mimi ,kuna watu sasa hivi nakimbia kuwasikiliza ,juzi akiwa ukonga alisema wale polisi wa FFU ni ma trekta na jamaa wanapiga makofi pwa pwa pwa
Umeonaeeeeeeeeeeeee. HAPA KAZI TU.Makonda ni jembeeee
Mkuu anataka kick...Misifa haitamfikisha popoteAnaruka ruka, kwa nini asikomae tu issue moja ya usafi wa jini hilo tu linatosha kumpa sifa zote anazotaka
Tetea hoja yakoMakonda ni jembeeee
Ajirekebishe wapi ili ...
Hahaaaaa...Ubitozi sioAache kushindana na akina Diamond & Ali Kiba kuvaa miwani ya jua ofisini, usiku...
Kwa nini hujui Arie??Sijui
Ishu ni kwamba anaanzisha jambo hamalizi kadakia jingine hajamaliza kadakia jingine..Kiufupi hana mipango na hajui anatakiwa afanye niniMi naishi mikoan nimemjua makonda siku si nyingi. Ila nawashangaa huko kwanini mnampinga anapoonyesha nia ya kufanya jambo flan zuri hata hamsemi labda afanye hiv na si vile. Mf alitamka kuzuia mashoga, wazembe na wazururaji, makahaba, uchafu, walim na usafiri, stendi za mabas, omba omba. n.k.
Sasa mtu anapinga nia hiyo na hasemi kama hayo mambo ni muhim kufanyiwa kaz au la. Siasa za dar zinaharibu uwezo wa kufikir hatuwaelew. Mtu unapinga anayepania kupambana na ushoga. tukueleweje? Au dar mmeshaharibikiwa wengi
This cartoon says it all...Hamna kitu anafanyaView attachment 377284
Kana chezeachezea viatu wakati havikatoshi.Hamna kitu anafanyaView attachment 377284