Tobito
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,308
- 4,165
Kuonyesha tu azma ya kudhibit suala flan lisilokubalika kijamii ni hatua ya awali na muhim sana. Kufanya utekelezaj sasa ni hatua nyingine inayohitaji nguvu ya pamoja wakiwemo wanaopinga. mi kinachonikera ni mfano mtu anamcritisize ooh mambo ya mashoga aachane nayo. Ooh omba omba wana haki kuwemo. Mtu aanze na kujijibu je suala flan kalileta makonda lina tija kwa jamii yetu?Ishu ni kwamba anaanzisha jambo hamalizi kadakia jingine hajamaliza kadakia jingine..Kiufupi hana mipango na hajui anatakiwa afanye nini