Mkuu ana utoto mwingi ili afanikiwe anatakiwa atulize kichwa apange mipango yake bila mbwembwe matamko ya kitoto aachane nayo ayatamsaidia kitu kila jambo analoanzisha hakuna hata moja anarofukisha mwisho punguza utoto mkuu miaka mitano ni muchache sana
Njoo huku tumalize ubishiAhadi zake:
#Kutenga maeneo ya Walevi...
#Kurudisha maeneo ya wazi
#Waalimu kusafiri bure
#Kuwahamisha omba omba
#Kuwakamata mashoga na wanawaFollow ktk mitandao ya Kijamii.
#. Kukagua ofisi zote zisizoweka picha ya Raisi....
Nisaidieni nyingine
Je, Mh Makonda anajua anachotakiwa kufanya kwa wana Dar es Salaam??
Alidisco mucoobs mwaka 2008Mwenye Elimu ya Paul Makonda atupatie jmn angalau ata GPA yake ya chuo bsi!!!!! !!!!
Riz akaamua kumbeba baada ya kudiscoAmesoma miaka 5 course ya miaka 3! Ikabidi wampitishe maana ilikuwa kero na aibu pale Muccobs! Aibu!! Sana hana uwezo wa darasani ila anaweza fitina na majungu kujipendekeza hapo humuwezi
Mkuu sio kwamba tunamchafua tatizo hajielewi anachofanya. Nahisi aliyemloga kafaLengo lenu ni kumchafua makonda kuna viongozi wangapi awajui wana cho fanya
Mhh?! Kazi kwelikweli!
Duh jamaa ana rehma hatari