Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

View attachment 408201

"HONGERA MAKONDA"

4-uvaaji wa kofia ngumu kwa abiria na. Bodaboda

NINGEFURAHI;Ningefurahi zaidi kuona Viongozi kama MAMEYA wanamuunga mkono ili wananchi wa Dar tupate maendeleo na kuwa na DSM mpya.

MAKONDA.JPG
 
Daah sio siri aise hakuna kitu kinakera kama mtu upande basi safari yenyewe ndefu kama nn afu ss unakuta old songz mwanzo mwisho hahahahahaha daah hii kitu inaboaa sana afu ile mmebakiza kama dkk 45 mfike unakuta konda anawawekea movie kali au ndio nyimbo kali anaanza kuweka hii kitu inakera sana aise maana unaweza kupanda yutong ukahisi upo kwenye scania tuu
 
Tunatofautiana sana mi natamanigi isiwashwe kabisa
 
Daah sio siri aise hakuna kitu kinakera kama mtu upande basi safari yenyewe ndefu kama nn afu ss unakuta old songz mwanzo mwisho hahahahahaha daah hii kitu inaboaa sana afu ile mmebakiza kama dkk 45 mfike unakuta konda anawawekea movie kali au ndio nyimbo kali anaanza kuweka hii kitu inakera sana aise maana unaweza kupanda yutong ukahisi upo kwenye scania tuu
Mzee huna radio nn kwako
 
1. Omba omba Dar,
2. Kuhamisha wamachinga kariakoo,
3. Kupaka rangi kila nyumba,
4. Kusaka watu wasio na ajira kila nyumba,
5. Kusaka wanaojiuza,
6. Kuwakamata mashoga wote,
7. Usafi Jijini Dar,
8. Walimu kupanda bure. n.k
 
Shisha amesema wauzaji walimwambia waziri mkuu ameruhusu, hayo mambo nadhani atasema mwigulu na IGP
 
Yote yamemshinda anamtafuta wa kumshushia rawama hamehanza na siro
 
Makonda alibindi awe mwalimu wa shule ya msingi ukuu wa Mkoa hauwezi
 
1. Omba omba Dar,
2. Kuhamisha wamachinga kariakoo,
3. Kupaka rangi kila nyumba,
4. Kusaka watu wasio na ajira kila nyumba,
5. Kusaka wanaojiuza,
6. Kuwakamata mashoga wote,
7. Usafi Jijini Dar,
8. Walimu kupanda bure. n.k
Hayo yote yanahitaji kamanda Sirro asaidie ambaye kamtuhum anapokea rushwa.
 
Mheshimiwa mwanaNzengo Paul Makonda...!

Nimeona hapa wanaNzengo wametupiamo magari kadhaaa wanayodai ni msafara wako (sina uhakika). Lakini kama ni kweli hilo wanalolisema, basi nikushauri safari nyingine unapofanya ziara kwetu sisi wanaNzengo huku mitaaaani kwetu, na ukaona kuna haja ya kuwa na idadi kadhaaa ya wasaidizi wako, basi kodi basi moja tu hata kutoka hapo URDAT uwadumbukize humo hao wasaidizi wote ili kubana matumizi kama wanavyodai wanaNzengo kuwa ulikuwa na msafara mrefu saaana wa magari (sina uhakika).

Ukifanya hivyo utakuwa umewaondolea wanaNzengo maneno ya kusema, maaana kwenye hilo bUs hata wewe utakuwemo. Na pia itakuondolea hali ya baaaadhi ya wanaNzengo kutaka kukuchafua kwa yale mazuri unayoyafanya.

Ni ushauri wa bure tu kutoka kwangu MwanaNzengo Miye...!
 
Habari za humu ndani wanajamvi......

Awali ya yote nimshukuru mungu kwa kutupa zawadi ya uhai,

Nimeona Mkuu wa Mkoa akifanya jitihada za kutatua kero za wananchi kwa kufanya mikutano mbalimbali na wananchi huku akiambatana na viongozi wake wa idara mbalimbali ili kuzijibu hizo kero hadharani...

Lakini namna ya kuendesha hizi mikutano kidogo inanipa kigugumizi kwa namna wananchi wanavyouliza/kuwasilisha kero zao kwa Mkuu wa Mkoa directly na kuelekeza hizo kero kwa viongozi wajibu hapo hapo,

Baadhi ya wananchi wametoa tuhuma mbalimbali kwa viongozi wao mbele ya Mkuu wa Mkoa

Je Mkuu wa Mkoa haoni kwamba hii itajenga uhasama Kati ya viongozi na wananchi??

Wananchi wanaongozwa na Viongozi,viongozi ndo wanaosimamia na kuhakikisha wanaleta maendeleo kwa wananchi wanaowasimamia,Je kwa style hii viongozi watakuwa na morali ya kusimamia na kuleta maendeleo kwa wananchi wanaowasimamia???

Viongozi ni binadamu kama binadamu wengine wana mapungufu yao tuwatreat officially not public,

Namshauri Mkuu wa Mkoa afanye mikutano na wananchi achukue kero zao then awaite ofisini viongozi wanaohusika kujibu hizo kero officially not public kama anavyofanyaaa Mkuu wa Mkoa,kila kiongozi ana heshima yake basi apewe heshima yake kama inavyostahili,

Mkuu wa Mkoa hii itaondoa uhasama Kati ya Viongozi na Wananchi,

Tujenge Dar yetu kwa kushirikiana hili jiji ni kubwa na lina changamoto zake......

Karibuni..........
 
Back
Top Bottom