Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Hivi waalimu wa dar wameanza kuvaa sare ili wasilipe nauli?? Hembu tupeni mrejesho hapa
Zile mashine za maxmalipo Mwendo kasi hazisomi Barcode ya uniform za makondra, pale ni pesa tu!!!
 
Mtazamo wangu cheo kina mpyaa anashindwa kuendana nawana Dar es salaam kwakutambua au kwakutombua upinzani unanguvu Dar kivyotevyote itavyokuwa awezi kuzofisha upinzani Dar yeye afanye kazi Kama mkuu wa mkoa bila muhingiliano wote mameya atafanya vizuri ataonekana ila kiendelea hivi basi ataliemchugua ataona alipotea kwa sababu upepo wa kisiasa
 
Ahadi zake:

#Kutenga maeneo ya Walevi...

#Kurudisha maeneo ya wazi

#Waalimu kusafiri bure

#Kuwahamisha omba omba

#Kuwakamata mashoga na wanawaFollow ktk mitandao ya Kijamii.

#. Kukagua ofisi zote zisizoweka picha ya Raisi....



Nisaidieni nyingine
 
Anakurupuka tu. Misifa ndiyo inampa shida. Anaanza hili kabla hata halijaanza anaanzisha jingine. Hiyo ni mihemko au mizuka au kama alivyosema mbunge mmoja bungeni kuwa hiyo ni Ashki majinuni
 
Anakurupuka tu. Misifa ndiyo inampa shida. Anaanza hili kabla hata halijaanza anaanzisha jingine. Hiyo ni mihemko au mizuka au kama alivyosema mbunge mmoja bungeni kuwa hiyo ni Ashki majinuni
Hahaaaa Ishki majinuni ndo nini mkuu
 
Back
Top Bottom