Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Sio kwamba hana vision,anazo yule ni msomi ila zinavurugwa na mikakati ya sasa,isio kuwa na mwelekeo wa moja kwa moja na pengine nidhamu ya woga.

Kwa vyovyote,usipozingatia hali halisi ya mazingira yako na kuyakubali kuendana nayo,upo matatani.
 
Hajielewi, na anaongoza kwa misingi ya mizuka tu!

Anatumia style ya "hit and run" Viongozi wengi wa awamu hii maara baada ya kumsoma vyema Raisi, sasa wanasubiri atamke chochote kisha na wao wadandie hapohapo. Bila matamko ya Raisi, viongozi wengi akiwemo yeye ni weupe kama theruji!
 
Amesoma miaka 5 course ya miaka 3! Ikabidi wampitishe maana ilikuwa kero na aibu pale Muccobs! Aibu!! Sana hana uwezo wa darasani ila anaweza fitina na majungu kujipendekeza hapo humuwezi
Ndiyo maana linapenda kujipendekeza pendekeza na kupenda masifa yasiyostahili. Hapo kwenye fitina umenikumbusha marehemu mzee wetu mpendwa mzee W. Kabwe, RIP baba, tutakukumbuka daima.
 
Ndiyo maana linapenda kujipendekeza pendekeza na kupenda masifa yasiyostahili. Hapo kwenye fitina umenikumbusha marehemu mzee wetu mpendwa mzee W. Kabwe, RIP baba, tutakukumbuka daima.
Alipata ukuu wa wilaya kwa kujipendekeza kuwa houseboy wa mtoto wa kigogo..Hadi alikua anamfunga kamba za viatu. Kujipendekeza kazi sana ila kwa wengine rahisi sana
 
Kama aliyeleta mada hii hana mamlaka dhidi ya RC Makonda tuna kila sababu ya kutilia shaka umuhimu na matumizi ya takwimu za kura hizi.
Wenye mamlaka na RC Makonda wanaweza kutumia kura hizi wakakaa tena kupanga mikakati ya njia bora za kuendeleza Da es Salaam
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

anataka kuishi maisha ya kisanii isingekua jpm tungezipata skendo nyingi tu za kina wema na shilole

anaitaji semina elekezi
 
Ajirekebishe wapi ili wana Dar es Salaam wanufaike??

(4) Bila ya kuathiri masharti ya ibara ndogo ya (5), kila Mkuu wa Mkoa, atakuwa na wajibu wa kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli zote za Serikali ya Jamhuri ya Muungano katika mkoa aliokabidhiwa.
Hivyo atashughulika na:-
  • Maendeleo ya elimu mkoani mwake, kujua idadi ya walimu, wanFunzi, matatizo yao, idadi ya walimu na mapungufu, kwani shule za Dar zinafanya vibaya hasa za serikali, jee Mkoa unakerwa na hilo ?
  • Ataangalia matatizo ya usafiri unavo athiri ufahamu na elimu kwa ujumla
  • Maeneo ya shule kuwa sio rafiki kwa elimu
  • Jee shule za mkoa wake zina mapungufu gani katika miundo mninu ya ndani Nk nk
  • Suala la maji atawajinika kushirikaina na mamlaka ya maji kuona jiji linapata hudu ya maji nila ya bughudga
Atahakikisha niashara zinazotumia maji yanapatikana ili kuzidisha uzalishaji
Awe na takwimu sahihi za mkoa wake ya maeneo ambayo kuna maji na wapi hakuna ili aweze kuyafikisha kunakohusika kupatiwa ufumbuzi
  • Usafiri.., jiji lina changamoto nyingi za barabara mbobu, foleni, na ujenzi holela wa bara bara ambazo zinajengwa kinyume na taratibu za majiji..kila mahala barabra kuna mitaro ya wazi..kwa nini majiji mengine hawajengi kwa style hii duniani maeneo ya kati zamani city centre wazungu hawakuweka mitaro ya maji machafu pembeni na hakuna tatizo la mafuriko. jee wapanga mji wetu hawajawahi kusafiri na kuona huko nje? haya umeyakuta lakini yanatakiwa kurekebishwa
  • Uboreshaji wa Dart...bado mradi huu una changamoto zake unataka ukaribu wako ili uweze kuleta tija
  • Kuona usafiri wa train unakua na unaboreshwa zaidi na kubuni njia za kuunganisha mikoa yote
  • Afya...hili nalo ni tatizo ukiwa mkuu wamkoa huna time na mambo ya madogo madogo ya wauza madafu.
  • Kuna tatizo hospitali zote za wilaya. Hazitoshelezi...nguvu kubwa ingeongezwa huko..ili kupunguza foleni muhmbili..hata huku wanaweza kuwa na na MOI zao...mkoa inatakiwa washirikiane na wizara husika kuona huduma za afya zinaboreshwa, kujua kunahitajika madaktari wangapi katika fani tofauti ili jiji kujitosheleza...
Kwa ufupi kila secta mkuu wa mkoa ndio mtekelezaji mkuu wa sera na maagizo ya serikali kwa mujibu wa katiba
Kwenye viwanda
Ajira
Wajasiri mali
Kilimo
Biashara
Haya ni muhimu ili kilifanya jiji lijitegemee kwa kodi...mkuu wa mkoa anatakiwa kuandaa utaratibu kuhakikisha biashara zinakua na wengi wanapata ajira ili walipe kodi na jiji liweze kutoa huduma
  • Mkuu wa mooa ukimuuliza jeee kwa wastani magari mangapi yanapaki kwa siku katika jiji lake nakuhakikishia hajui...na kila kila gari linalipa wastani wa shs 2000 kwa siku na parking ni shida kuanzia asubuhi hadi jioni ...jee jiji linapata kiasi gani kwa katika hizo? Mie kw kukisia parking fees peke yake ingeweza kuziba mashimo yote ya Dar na kuziweka road zote katika hali nzuri na mabustani na mataa kila pembe
  • kuna suala la 0.3% Service Charge inazotozwa biashara zote kwenye turnover zao...Bank , insurance , imports, exports, viwanda nk haya ni mabilioni ...jee amefuatilia jiji linapata kiasi gani katika kodi hizi?
Kuna suLa la mabango..anajua jiji linapata kiasi gani kwa mwaka ? Kwa ufupi bill boead moja wanalipa 10 million kwa mwezi. Sasa hesabu kuna billboard ngapi hapa dar? Na mabango mengi sana yaliyo tapakaa hapa jijini...
ukweli kodi hizi tu zikisimamiwa vizuri hakuna haja tena ya kuanzisha kodi nyengine..muhimu ni kuhakikisha zinapatikana na zinatumika sawa sawa
  • Hizi ndio kazi za kufanya..haya mambo ya kukutana na wasaniii na kwenda clouds hayatusaidii wakazi wa jiji hili...uhakikika ukifanya kazi zako za mkuu wa mkoa sawa sawa basi huna hio time ya kukutana na wasanii kama. Tumefanya kukutana na wasanii kama ndio wao kila ni kitu hapa Dar.
Tunayasema haya nina uhakika atayasoma kumsaidia ..jiji linataka maendelo..yeye ni kijana aoneshe ..haya ya kufagia mwisho wa mwezi yawe ya hiyari...na wananchi watatoka wenyewe wakiona mkuu wao wa mkoa anafanya jitihada hizi kuliendeleza jiji watatoka bila hata vitisho vya kupelkewa mahakani...
tunapenda jiji hili liwe zuri na la kuvutia viongozi ndio wanatuangusha...
Nadhani utamtag Makonda asome
ImageUploadedByJamiiForums1470570073.522624.jpg
 
(4) Bila ya kuathiri masharti ya ibara ndogo ya (5), kila Mkuu wa Mkoa, atakuwa na wajibu wa kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli zote za Serikali ya Jamhuri ya Muungano katika mkoa aliokabidhiwa.
Hivyo atashughulika na
Maendeleo ya elimu mkoani mwake, kujua idadi ya walimu, wanFunzi, matatizo yao, idadi ya walimu na mapungufu, kwani shule za Dar zinafanya vibaya hasa za serikali
Ataangalia matatizo ya usafiri unavo athiri ufahamu na elimu kwa ujumla
Maeneo ya shule kuwa sio rafiki kwa elimu
Jee shule za mkoa wake zina mapungufu gani katika miundo mninu ya ndani
Nk nk
Suala la maji atawajinika kushirikaina na mamlaka ya maji kuona jiji linapata hudu ya maji nila ya bughudga
Atahakikisha niashara zinazotumia maji yanapatikana ili kuzidisha uzalishaji
Awe na takwimu sahihi za mkoa wake ya maeneo ambayo kuna maji na wPi hakuna ili aweze kuyafikisha kunakohusika kupatiwa ufumbuzi
Usafiri.., jiji lina changamoto nyingi za barabara mbobu, foleni, na ujenzi holela wa bara bara ambazo zinajengwa kinyume na taratibu za majiji..kila mahala barabra kuna mitaro ya wazi..duniani..wala mkii wa zamani city zentre wazungu hawakuweka mitaro ya maji machaci pembeni..
Uboreshaji wa Dart...
Kuona usagiri wa train unakua na unaboreshwa
Afya...hili nali ni tatizo ukiwa mkuu wamkoa huna time na mambo ya mashoga au wauza madafu.
Kuna tatizo hospitali zote za wilaya. Hazitoshelezi...nguvu kubwa ingeongezwa huko..ili kupunguza foleni muhmbili..hata huku wanaweza kuwa na na MOI zao...mkoa inatakiwa washirikiane na wizara husika kuona huduma za afya zinaboreshwa, kujua kunahitajika madaktari wangapi kayika fani yofauti ili jiji kujitosheleza...
Kwa ufupi kila secta mkuu wa mkoa ndio mtekelzaji kuu wa sera na maagizo ya serikali kwa mujibu wa katiba
Kwenye viwanda
Ajira
Wajasiri mali
Kilimo
Biashara
Haya ni muhimu ili kilifanya jiji lijitegemee kw kodi...mkuu wa mkoa anatakiwa kuandaa utaratibu kuhakikisha biashara zinakua na wengi wanapata ajira ili walipe kodi na jiji liweze kutoa juduma
Mkuu wa mooa ukimuuliza jeee kwa wastani magari mangapi yanapaki kwa siku kayika jiji lake nakuhakikishia hajui...na kila kila gari linalipa wastani wa shs 2000 kwa siku...jee jiji linapata kiasi gami kwa katika hizo? Mie kw kukisi parking fees peke yake ingeweza kuziba mashimo yote ya Dar na kuziweka road zote katika hali nzuri..
Kuna suLa la mabango..anajua jiji linapata kiasi gani kwa mwaka ? Kwa ufupi bill boead moja wanalipa 10 million kwa mwezi. Sasa hesabu kuna billboard ngapi hapa dar? Na mabango mengi sana yaliyo tapakaa hapa jijini...
Hizi ndio kazi za kufanya..haya mamno ya kukutana na wasaniii na kwenda clouds hayatusaidii wakazi wa jiji hili...uhakikika ukifanya kaizi zako za mkuu w mkoa sawa sawa basi huna hio time ya kukutana na wasanii kama ndio wao kila kitu hapa Dar.
Tunayasema haya nina uhakika atayasoma kumsaidia ..jiji linataka maendelo..yeye ni kijana aoneshe ..haya ya kufagia mwishi wa mwezi yawe ya hiyari...na wananchi watatoka wenyewe wakiona mkuu wao wa moa anafanya jitihada hizi kuliendeleza jiji watatoka bila hata vitisho vya kupelkewa mahakani...
Nadhani utamtag Makonda asome
View attachment 377367
Well said mkuu..Nadhani atayafanyia kazi..
 
Back
Top Bottom