Wazo zuri sana ila na hawa wannye maduka wangeambiwa wawe wanafanya usafi kwenye mitaro iliyopo mbele ya maduka yao maana wao ndio wanaongoza kwa uchafu na kufungulia maji machafu kwenye hii mitaro,matakataka na michanga wanafagilia kwenye mitaro mitaro iliyo mbele ya maduka yao(mfano barabara ya shekilango )Dar ni moja kati ya miji michafu duniani!
Tiba ya usafi wa miji sio kufagia kila ya mwisho wa mwezi! Tiba yake ni kuwa na predictable and controlled sources za uchafu! Lkn pia kuwa na mifumo mizuri ya ukusanyaji na utupaji taka!
Kwa sasa Dar source za uchafu ni kila kona!
Ujenzi ambao haujazingatia mipango miji ndio shida namba moja!
Tuanze na haya:-
- Wanaojenga wote wafuate miongozo ya masterplans!
- Ujenzi uendane na matumizi sahihi ya eneo,haiwezakani kila nyumba iwe na duka lake, bar yake na saloon yake! Kila kituo cha bus kuwe kuna wauza njugu, wauza nguo, wauza mazao!
- Unawezaje kucontrol taka zinazozalishwa kila kichochoro! Hii haina maana watu wasifanye biashara, yatengwe maeneo maalum ambapo watu wataenda kununua bidhaa!
- Huu mji kuna kauzembe Fulani tumejiwekea, mfano daladala zina vituo vya msaada, just kutembea 20m kutoa ktk kituo halali mtu hataki analazimisha kupakia au kushuka katikati ya barabara! Tabia hizihizi ndizo zikizozua bar kila nyumba au duka kila kichochoro!
- Simamisha ujenzi wote wa Bar, Maduka na vibanda vyovyote vya biashara maeneo yasiyokuwa maalum!
- Kwa wafanyabiashara wadogo turuhusu Gulio "Sunday Markets" ambapo kuanzia Friday afternoon tufunge hata Samora avenue na Congo, Tandika, Mwenge, etc watu wakeshe wakifanya biashara hadi jumapili jioni barabara zisafishwe!
- Hawa walalahoi watakuwa na gulio lao, wainvest huko hii inakuwa win win! Vinginevyo hatuwezi kuwa na jiji safi ambalo bidhaa zake tu zatosha kuleta picha ya uchafu!
- Makampuni ya usafi yammilikiwe na jiji na wakazi wake, kupitia vikundi maalum! Ile milioni 50 unayotaka kuwapa wananchi usiwaambie wakauze vitumbua, watachafua tena! Mil 50 kwa mwaka mmoja ni mil 600 kwa kila serikali ya mtaa, unammaanisha mitaa 5 ikiungana inaweza kuwa na bil 3 ambapo wanaweza kuanzisha makampuni ya usafi ktk maeneo yao na watalipisha wakazi wa maeneo husika kama sehemu ya ajira kwao na kutatua tatizo la uchafu na wao shida yao ya ajira!
- Investment ktk mamilioni ya Magufuli kwa jiji lako naomba iwe ni ktk shughuli za pamoja za usafi tu! Mabilioni ya Kikwete hayakummsaidia mtanzania wala serikali! Hizi 50 kila mtaa kwa mwezi zilenge ktk kumkomboa mkazi na makazi yake!
- Ktk makazi mapya tujenge municipal sewage na water treatment systems, ili wananchi waache kuchimba vyoo na badala yake wawe wanalipia maji taka kama sehemu ya kuboresha mazingira! Ilivyo sasa wengi wana control kinyesi tu, uchafu mwingine wa ktk maji unaingia ktk vyanzo vyetu vya maji na kuathiri afya!
- Tuwe na dampo na vifaa bora vya kutenganisha taka, kusindika na kuteketeza taka mjini! Zipo taka zinazoweza kurejeshwa ktk matumizi, lkn hili lazima lisimamiwe isiwe ilivyo sasa! Watu wanaenda dampo kuokota taka wanazirudisha tena mtaani kama malighafi hasa chuma na plastics! Wale wanaotaka hiyo kazi wafanye na makampuni maalum ili taka zitengwe mapema na ziwe na usimamizi! Kwa sasa Hawa wanaouza taka nao wanachafua mji!
Mawazo mazuri sana. RC Makonda ajaribu kuyafanyia kazi.Dar ni moja kati ya miji michafu duniani!

Makonda ana kazi nyingi sana na mambo mengi ya kufanyia. Huu ushauri kuntu unahitaji mpango mkakati wa muda mrefu ili ile kazi ya usafi ya "mara moja kwa mwezi" iwe na tija na uendelevu. Ifike mahali pasiwe na haja ya kampeni ya usafi wa "mara moja kwa mwezi" kwa sababu usafi umekuwa ni tabia ya mtanzania.Ushauri kuntu.
Kuna wa kuutekeleza?
Hii jf usiandike Kama uko Facebook...Mawazo maxuri sana
Amekua anaishi kimachale kwani amebaini mashoga 150 wanamsaka wamuangamize.Hivi Makonda ametoa mrejesho wa michango ya madawati kwa Kinondoni na Dar au anajikausha ili watu wasahau? Watoto wetu bado wanateseka kwa kukaa chini na kwenye vitofali. Tumeona akipokea misaada kibao ya madawati hadi kutoka kwa Balozi wa Japan na wa China.
Serikali inakusanya kodi pale kuondoshwa wafanyabiashara sio rahisi kama unavotegemea. hio kodi ndio itakayoanzishwa Tanzania ya viwanda.