Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Asee jana tu nilikua pale mmoja wa niliekua nae akasema mbona hutoi tiket humo, akajibu tunatoa nyingi zikiisha tunatoa tena kumbe ni wizi
 

Nadhani ni muda wa kumuachia polepole mkoa hili wa daresalam wasonge mbele
swissme
 
Hili nalo neno. Nikiangalia hisia za wapiga kura nina wasiwasi huu uzi utafutwa fasta!
Sioni kama kuna sababh ya kuufuta..Watanzania wanatoa mawazo yao tu. Vyombo vya habari wanaweza kutumia huu utafiti kuwafikishia ujumbe watanzania na Makonda pia. Ni kwa nia nzuri tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…