RC anayestahili kupongezwa ni Antony Mtaka wa Simiyu, hizi za akina Makonda ni blah blah za kuchota akili za wenye mitindio ya akili, period!Napenda kumpongeza Mkuu wa mkoa wa Dar kwa ubunifu anaozidi kuuonyesha kadri siku zinavyosonga, hakika anastahili sifa tungepata kama yeye kwenye mikoa mingine wananchi wangekuwa na imani kubwa na serikali ya awamu ya tano
Nchi hii imefurika wajinga!
Usipanic bro! Huyo mtu wako atawateka nyie ambao already mko brain washed!BORA WAJINGA KULIKO MASHETANI MLIOPANGANA KILAKONA
Usitoke povu jaribu kujibu hoja iliyopo usianze kutoa lugha isiyo na maadili toa mifano ya hoja yakoRC anayestahili kupongezwa ni Antony Mtaka wa Simiyu, hizi za akina Makonda ni blah blah za kuchota akili za wenye mitindio ya akili, period!
Kweli nimeamini njaa inaweza kumgeuza Mtu kuwa mtumwa, huyo Bashite ana ubunifu upi zaidi ya ule alioutumia kuiba vyeti vya watu na kumshawishi mama kairuki atamke uhakiki wa vyeti hauwahusu wanasiasa?Napenda kumpongeza Mkuu wa mkoa wa Dar kwa ubunifu anaozidi kuuonyesha kadri siku zinavyosonga, hakika anastahili sifa tungepata kama yeye kwenye mikoa mingine wananchi wangekuwa na imani kubwa na serikali ya awamu ya tano
Watu wanataka maendeleo. Vyeti kama ingekuwa big deal maprof wasingeleta hizi wanazoleta.na ubunifu huohuo ndo ameutumia kwenye vyetu, from bashite to madereva
Watu wanaongea pumba utafikiri wanaishi porini ambako hakuna mawasiliano yoyote wewe kama hujui kinachoendelea ulizia wananchi wa Dar maana mtu wa mkoani baadala ya kuangalia RC wake kafanya nn anatoa tu povu, watu wanataka mtu mbunifu wa kuwasaidia kutatua matatizo yao na sio kuleta mambo ya siasa. Jielekeze kwenye hojaWatu wanataka maendeleo. Vyeti kama ingekuwa big deal maprof wasingeleta hizi wanazoleta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda ana short comings zake...ila kuna mambo anayafanya vizuri. Tunagomea kwenye vyeti utafikiri hawa walio na vyeti ni super geniuses. Wengine have messed up beyond repairWatu wanaongea pumba utafikiri wanaishi porini ambako hakuna mawasiliano yoyote wewe kama hujui kinachoendelea ulizia wananchi wa Dar maana mtu wa mkoani baadala ya kuangalia RC wake kafanya nn anatoa tu povu, watu wanataka mtu mbunifu wa kuwasaidia kutatua matatizo yao na sio kuleta mambo ya siasa. Jielekeze kwenye hoja
Hakuna hoja hapa zaidi ya blah blah na ujinga!Usitoke povu jaribu kujibu hoja iliyopo usianze kutoa lugha isiyo na maadili toa mifano ya hoja yako
Dar es Salaam kinaendelea nini?Watu wanaongea pumba utafikiri wanaishi porini ambako hakuna mawasiliano yoyote wewe kama hujui kinachoendelea ulizia wananchi wa Dar maana mtu wa mkoani baadala ya kuangalia RC wake kafanya nn anatoa tu povu, watu wanataka mtu mbunifu wa kuwasaidia kutatua matatizo yao na sio kuleta mambo ya siasa. Jielekeze kwenye hoja
Hata sina muda wa kusoma huu upuuzi ulioletwa hapaHakuna mtu ''anapinga kila kitu", kwa hitimisho hilo uzi wako wote umeharibika, kajipange upya