Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Kama unasema dar iko salama na vibaka hakuna.nakukaribisha uje huku kwetu kigogo mida ya saa sita au saba usiku ujionee mwenyewe
Saa saba usiku unakua unafanya nini labda mkuu, jaribu kuiangalia kigogo ya miaka miwili au mitatu nyuma na kigogo ya sasa majibu utakuwa nayo
 
Jaman bashite kapitia historia ngumu ya maisha mwacheni apumue kuna wakati alidai alikua kondakta ila dhambia yake kubwa ni kujipendekeza na kuchonganisha watu mambo yakiaribika linalia na kujiimbisha nyimbo za kuabudu
 
kwanza rekebisha jina
anaitwa daudi albert bashite
jina paul makonda ni la wizi,alifoji vyeti baada ya kupata zero form four pale pamba secondary mwanza
nafikiri nimeweka rekodi sawa
Punguza mihemko kijana.

Hao wenye vyeti wamefanya nini cha kumfikia Mh Makonda
 

Unamuongelea bashittte
 
Kama mtu hafuati misingi ya sheria huyo hawezi kutukuka hata kidogo..
Hitler amefanya mengi kwa Germans ...
Pol Pot amewasaidia Cambodia
Amin na Uganda
Lkn hawana uzuri wowote kwa kuwa hawakuongoza kwa misingi ya sheria.
Paul anakiuka sana taratibu, amekuwa akiufanya mji kama shamba lake, na hamuhusishi meya wala madiwani ni vile anavyojisikia ndio huwa...
Ajitazame kwanza kwenye masuala ya kufata sheria ndio mengine yaje...
Ukitaka kumpa zawadi mpe tu lkn hana ubora wowote
 
Mtu was kusoma thread yako na kuimaliza anhitaji kuwa na akili kama ya kwako na bashite. Naweza kusema kuwa dar hatujawahi kuwa na rc wa hovyo kama bashite tangu Uhuru, ni mhuni, mshamba, mjinga na muuaji
 
Mtu was kusoma thread yako na kuimaliza anhitaji kuwa na akili kama ya kwako na bashite. Naweza kusema kuwa dar hatujawahi kuwa na rc wa hovyo kama bashite tangu Uhuru, ni mhuni, mshamba, mjinga na muuaji
ulichokiandika kinaakisi ni jinsi gana ubongo wako umejaa matope
 
Ni kipi ameenda kinyume na sheria, na ni jambo gani alitakiwa kuwashirikisha madiwani na hakuwashirikisha, sio kila jambo analofanya mkuu wa mkoa anatakiwa kumshirikisha Meya au Madiwani unatakiwa kujua kabla hujaongea
 
kwanza rekebisha jina
anaitwa daudi albert bashite
jina paul makonda ni la wizi,alifoji vyeti baada ya kupata zero form four pale pamba secondary mwanza
nafikiri nimeweka rekodi sawa
Hao wenye masters unaweza kuwalinganisha na makonda? Mbona hatuwasikii? Hizo ndo chuki ambazo mwandishi ameelezea au hujasoma bandiko lote umerukia kwenye jina tu? Acha unafiki na chuki Dar ilioza jamaa kainyoosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…