Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Hao wenye masters unaweza kuwalinganisha na makonda? Mbona hatuwasikii? Hizo ndo chuki ambazo mwandishi ameelezea au hujasoma bandiko lote umerukia kwenye jina tu? Acha unafiki na chuki Dar ilioza jamaa kainyoosha.
niambie bashite wa kolomije daslam kanyoosha nini?
nyinyi mko mbinga huko mkiona kwenye tv mnadhani kuna kitu kimebadilika huku
tuulize sisi wa daslam tukwambie
 
Watu mliozoea kuongozwa na zero brain ndio kawaida yenu

Sijui elimu ya watanzania tunajivunia katika nini maana aliyeelimika kawa mpumbavu na asiyeelimika ana nguvu ya maamuzi juu ya elimu za watu

Tz my country.....!!!!
 
kwanza rekebisha jina
anaitwa daudi albert bashite
jina paul makonda ni la wizi,alifoji vyeti baada ya kupata zero form four pale pamba secondary mwanza
nafikiri nimeweka rekodi sawa
Wewe na vyeti vyako na majina yako orijino umeisaidia nini jamii,zaidi ya kuwa mpishi wa majungu humu,tena kwa woga kwa kutumia ID fake
 


Ni kweli haijawahi kutokea Mkuu wa Mkoa kubebwa kama huyu
 
Tatzo wengi mnaomsifia mnaishi kolomije akili zenu zimekaa kibashite hivyo hivyo
 
Tanzania will be free again
 
​

Hali hii hadi lini? Wanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Mikumi iliyopo jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, wakiwa wamekaa chini kutokana na uhaba wa madawati katika darasa hilo, wakati wa masomo. Tupe mtazamo wako kuhusu miundombinu ya elimu nchini mwako. Picha na Eric Boniphace.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…