Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Kwahiyo unataka Makonda naye azibe mdomo? kama hiyo ni sifa ya Mh Mkuu sana basi anamatatizo makubwa sana.
 

Duh aisee ni laana kuzaliwa taifa moja wajinga huyo magufuli ni Mungu?? Mpaka atukuzwe???
 
Tuwaache watafunane wao kwa wao. Hiyo ndio furaha yetu sisi watanzania kwa sababu hao jamaa wanatuchosha tu.
Tuwaache tu?, sikubaliani na wewe mkuu, tunatakiwa kuongeza kuni na kumwagia petroli ili moto uwake na kukolea vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…