Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Bashite bwana unaanzisha thread kupima upepo pumbafu bashite huna maana trailer ya cinema imebuma kwamuambie mama yako huu ujinga
 
magamba endeleeni tu kunyofoana macho nchi yetu iweze ku sober up na kurudi kwenye mstari.
itapendeza zaidi mkitoana roho kabisa!!
 
Usifananishe makonda na vitu vya kijinga. Huyu jamaa ana kipaji cha uongozi. Na ni kijana mdogo sana anafanya mambo makubwa vijana sisi wa umri wake hatuwezifanya
Sio bure lazima utakuwa unamiminywa wewe..
Yani wewe mwenyewe tu unajidharau kwa kiwango hicho..
Ptuuuu takataka.
 
Team shonza povu linawatoka..
Kwani mkuu bashite akitumbuliwa utaumia???
 
Let them destroy each other.
Wao si wanajifanya PANZI sasa vita vyao ni furaha kwetu sisi KUNGURU!
 
Mtoto wa ngombe (ndama) anapokuwa mdogo mama yake anampenda sana, lakini kadri anavyokuwa mkubwa upendo kwa mama hupungua, mwishowe huyo mtoto anaweza mpanda mama yake na kumpatia mimba
Movie inaendelea yetu macho tutayaona
 
Nakuhakikishia alijualo alifanyalo mwana latoka kwa baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…