Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Wewe ni muungwana sana. Barikiwa
Mkuu kama wanijua vile,ndo nipo hivo hata ktk maisha ya kila siku.
Ila namna ya mambo yanavoenda na uovu unaoendelea ni ngumu kuacha kumfokea mtu anayeonekana kuunga mkono unyama.Ndo maana hivi.
Barikiwa sn nawe,tuzidi kuomba pengine Mungu atatusaidia kutoka ktk mikono ya damu iliyopo.
 
Mkuu umesahau kuwa members wengi hawasomi wao wanajua umemtaja Makonda na wao wanamajibu tayari juu ya Makonda kumbe wanafanya wanayoyafany kama kawaida matusi tu ndo ngao

Kweli nilisoma mistari michache sana...Mungu aniondolee mtazamo mbaya juu ya Mh. Makonda maana sio vizuri kumchukia Mtumishi huyu wa Mungu, na neno la Mungu laniambia kuhubiri upendo zaidi.
 

Eeeeh nimekuelewa.. wakati ule nilisoma juu huna matusi.. sasa nimesoma hadi mwisho...
Usijisifie huku unawashwa washwa na wivu.
 

Nimeamini kuna watu hawasomi yaliyomo, wanasoma kichwa cha habari na kutoa maoni... Ona kaenda kulia, wewe kushoto...
 
Naungana na wewe Mkuu anajituma sana hata vipofu wanaona, wazee wakusoma title na kuja Ku comment wamepoteana vibaya mno hapa najifunza kumbe wakuu hawasomagi content Wanakurupuka tu
 
Mimi binafsi sijaona lolote bwana mdogo yule kafanya
(1) Vibaka hawajaisha ndo kwanza wanazidi
(2) swala la uchafu mungu wangu haliwezi na hatokaa aliweze. Haya hapa ni baadhi ya maeneo machafu vibaya mno mbagala rangi tatu tena na msimu wa mvua mavi yanatembeleana magomeni usalama (ishi kistaa) gongolamboto maeneo ya kampala university.
Kwa ufupi sehemu zote chafu
 
Hahahaha "eti IQ" una IQ gani wewe "mende" mlalwa hovyo??
Kazi kumsifia huyo ***** aitwaye bashite??
Bashite anachefua watu mno aisee na ulimi wake ule mkubwa usiotosha mdomoni. Watu wakikuta tu kaandikwa hawasomi content. Bashite atakufa kifo cha taabu sana
 
Mkuu ukija ki pasco mayala wachache watakuelewa maana mostly humu mtu anasoma kichwa cha thread then anachangua
 
Mkuu achana na hao ambao wameingia kwenye kundi la great thinkers wakati ni mbulula. Sie tumekuelewa, ni kweli kabisa Makonda ni aina ya RC ambaye haijapata kutokea hapa ulimwenguni kwa kuwa na vipaumbele makini.
Hasa hilo la wanawake walio achika! Kweli Dar itaendelea sanaaaa!
 
  1. Kati ya tatizo la bustani za kupumzikia kwenye mkoa wako na Wanawake kuachika na Kuzalishwa na Waume zao Kwa Makonda suala la Wanawake hao ndilo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  2. Kati ya tatizo la usafiri wa umma kwa raia wako na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  3. Kati ya tatizo la makelele kwenye makanisa uchwara na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  4. Kati ya tatizo la mafuriko kila mvua ikinyesha kwa Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  5. Kati ya tatizo la biashara pembezoni ya barabara badala ya masoko (BunjuB) katika Jiji la Dar es Salaam na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  6. Kati ya tatizo kubwa la Foleni katika Jiji la Dar es Salaam ambalo ' Kiuchumi ' linaigharimu sana nchi na Wanawake kuachika na kuzalishwa na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  7. Kati ya tatizo kubwa usafiri kwa watoto wako shule ya msingi na sekondari na Wanawake kuzalishwa na kuachika na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  8. Kati ya tatizo kubwa mifugo kuzurura mitaani hovyo na Wanawake kuzalishwa na kuachika na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  9. Kati ya tatizo kubwa la mahandaki barabarani na Wanawake kuzalishwa na kuachika na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  10. Kati ya tatizo kubwa la umeme usiokuwa wa uhakika na Wanawake kuzalishwa na kuachika na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  11. Kati ya tatizo kubwa huduma mbaya kwa raia wako kutoka kwenye taasisi, mashirika, vitengo na wizara mkoani mwako na Wanawake kuzalishwa na kuachika na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
  12. Kati ya tatizo kubwa la MALORI MABOVU yanayosababisha ajali kukicha na Wanawake kuzalishwa na kuachika na Waume zao kwa Makonda suala la Wanawake hao ndiyo Kipaumbele chake Kikuu kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…