Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

We jamaa huwa kuna threads zako unaniboa sana ila to be honest leo umeandika nondo ya nguvu sana , umeonesha Cahngamoto Kubwa zinazolikabili jiji letu hili lakini huyu bwana anakalia kufanya majukumu ya ustawi wa jamii ....................Big up sana
 
Ajabu ni pale inapogundulika zero brain + mbumbumbu ni wewe kiasi ambacho hujui hata kusoma andiko fupi tu na kuelewa mwandishi kaandika nini!

Msamehe Mkuu kwani ' Wapumbavu ' kama akina Mzee wa Masauti tunao wengi sana humu. Kuna Wenzake watatu hapo juu mwanzoni walifanana nae ' Kiupumbavu ' ila walipotuliza tu IQ's zao na Kuuelewa vizuri huu ' Uzi ' wamekuja na kuniomba radhi. Mkuu Werevu / Vipanga kama Wewe na wale baadhi waliouelewa huu ' Uzi ' mpo wachache sana amini haya maneno yangu. Angalau leo hii ' thread ' imenisaidia kujua uelewa na Members wa JamiiForums na majibu yake yatabaki kuwa ' Siri ' yangu ila niseme tu kwamba nasikitika na kuna Kazi kubwa mno inahiyajika kufanyika katika Sekta ya Elimu nchini Tanzania.
 
nilichogunduawengi hawasomi content huwa wanaishia kwenye title na kukimbilia kucomment.. Umeandika vyema sana huyu jamaa makonda anashupalia vitu visivyo igusa jamii yeye zake utasikia inshu za mashoga, inshu za makahaba, mara waliozulumiwa viwanja na blahblah nyingi ili hali kuna vyombo kusimamia hayo yote.
 
Mleta mada unataka kusema kwamba suala la haki za wanawake sio la muhimu kwa sasa?.

Mkuu uzi wako unawakejeli kinamama ambao wanatuzaa na kutulea kwa taabu. Sidhani kwamba hayo masuala mengine hayapewi kipaumbele katika uongozi wa huyu dogo RC.
 
mkuu ishu kama mfumuko wa bei na tatizo na foleni ndani ya jiji, kwa mtizamo wangu haya nao kama hayaihusu ofisi yake moja kwa moja, hivyo vingine tunaweza tukajadili, kwamba kwann vipo ili hali yeye anadeal na wanaume waliowatelekeza wake na watoto zao, NB: lakini yeye kama mtumishi katika eneo lake anahaki ya kuwafahimisha wananchi wake wapi pa kupata msaada kutokana na dhuluma kama hizo.
 

Umeeleweka Mkuu.

In Summary, kwa sasa, Priority kuu ya huyu jamaa ni Kufanya shughuli ya ustawi wa Jamii.
(Kusaida Wanawake Waliozalishwa na kuachika / Kutelekezwa na wanaume zao)
 
binafsi nimekuelewa vizuri, tatizo wengi wanasoma heading tu wanaacha contents
 
Mleta mada unataka kusema kwamba suala la haki za wanawake sio la muhimu kwa sasa?.

Mkuu uzi wako unawakejeli kinamama ambao wanatuzaa na kutulea kwa taabu. Sidhani kwamba hayo masuala mengine hayapewi kipaumbele katika uongozi wa huyu dogo RC.

Rudi kwa Wazazi wako walalamikie kwanini wamekuzaa huna ' akili ' hivyo kisha jibu watakalokupa rudi nalo hapa uniambie. Kuna Watu huwa mnanilazimisha niwatukane na niwadharau humu halafu mnaanza kulalamika na kuninunia. Labda nikuulize swali dogo tu hizo ' Changamoto ' nilizoziwekea rangi Nyekundu hapo zikitatuliwa vyema haziwezi pia kuwasaidia hao akina Mama kama uliowataja hapo? Hivi GENTAMYCINE sina Mama? Kuna Watu ni ' Wapumbavu ' chini ya Sayari hii sijapata kuona.

You're too ' illogical ' and ' senseless ' in arguments.
 

Kwa kweli jamaa "anapiga mzigo"... jana nimepanda daladala bure nikitumia kitambulisho cha ualimu, tulikuwa walimu wa4, askari jeshi 2 na polisu 2, sijui wanafunzi walikuwa wangapi...
He's A MAN OF THE PEOPLE.
 
Ila mkuu Mungu anakuona hivyo. Ndo nini kuwa kama panya (unang'ata na kupuliza)!! Yaani mtu anasikilizia raha ya kupulizwa kumbe ndo anang'atwa hivyo! Big up to you
 

[emoji2] kwa kujisifia tu, uko vizuri[emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…