Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Mungu huwa hakupi kila kitu, anaweza akakupa nguvu lakini akakunyima Akili
Proportion ya udongo tulioumbiwa ilikuwa ile ile, ila mgawanyo wake ulitofautiana. Wengine tulipata flat screen makalio lakini tulipewa big milk.
Wengine walipewa misamwanda sasa jiulize walichokosa.
 
Ai mnasemaga hana msaada pambaneni na hali zenu, hadi muwe na heshima
 
Hana huo uwezo huo Mkuu..

Wewe fikiria umezungukwa na washauri wa aina ya Le Mutuz, Jerry Muro, Musiba unaweza kuwa na akili gani??

Mambo anayoweza ni kubambikia watu kesi za madawa ya kulevya na hizi kesi za kuwachafua akina Mzee Lowassa kama alivyofanya kupitia Fatuma..

Huyu hawezi kamwe kutatua shida halisi za wananchi..

Apambane na mafuriko sasa.
 
Ni kubomoa tu
Ndio itasaidia mbeleni..

Walutaka haya mkapiga kelele uchwara za kisiasa..

Hata kesho aamue kitu.. mtapiga tu midomo..

Bomoa bomoa tu ndio mwendo.. kwa wanaouzuia maji kufata njia yake..
 
Niko bize kuwazalilisha wapinzani ili nije kugombea ubunge jimbp fulano
 
  1. Ulibuni Walimu kupanda bure daladala za Dar. Ukawaacha kwenye mataa.
  2. Ulibuni vipimo vya kiafya kwenye Meli. Ikabuma
  3. Ulibuni operesheni ondoa ombaomba. Bado wapo tele mjini hapa
  4. Ulibuni kupaka rangi nyumba zote hapa Dar. Ubunifu unabuma.
  5. Ulibuni vita ya madawa ya kulevya. Mbowe akakusambaratisha
  6. Ulibuni mikutano ya hadhara kuongea na wananchi hadi kupigiwa simu na Rais. Imezimika kama mshumaa.
  7. Ulibuni kusikiliza wenye migogoro ya ardhi. Ukimya ukafuata
  8. Ulibuni kuwasikiliza wanawake waliotelekezwa. Umeshagonga mwamba wa Lowassa na meli yako inayumba kwelikweli.
Ubunifu wako vipi Mkuu?

TLS si ya mchezomchezo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
He he he he
Nimekumbuka ile kauli ya Gwajima kuwa Poor Performance kwenye papers huakisi poor performance kwenye real life.

Nimekumbuka tena ila kauli ya fa fa fa.
Naona hizo fa fa fa zimejidhihirisha kwenye huo ubunifu wake
 
Dar es Salaam. Wakati baadhi ya wabunge na mawaziri wakiendelea kuhoji uhalali wa kampeni ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, mwanamke mmoja, Mary Masawe ameondoka kwenye ofisi za mkuu huyo wa mkoa akichekelea.

Mary ambaye anadai kutelekezwa kwa miaka tisa na mwenza wake aliyezaa naye watoto wawili ni miongoni mwa wanawake waliopata msaada wa kisheria.

Ameiambia MCL Digital kuwa mwanamume huyo amekubali kuhudumia watoto wake, jambo ambalo amekuwa akilikataa kwa muda mrefu.

Amesema mara kadhaa alikuwa akimpeleka kwenye vyombo vya sheria lakini alikuwa mgumu kuitikia wito.

"Sijui hata nifanyeje miaka mingi amekataa kuwahudumia watoto wake, nampelekea barua za wito anajibu hana muda,lakini hii ya Makonda kiboko mwenyewe amekuja," amesema.

Chanzo: Mwananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…