Heshima ya mtu ni kitu kikubwa sana siwezi kukubali kupoteza heshima yangu hapa no siwezi mkuu neno tapeli ni kubwa sana wakati ujawai kuchukua hata sh 10 ya mtu si sawa hata kidogo mkuuBinafsi naona hata kumjibu ni najisi tu.... Hawa watu kujibizana nao ni kuwapa mileage tu...
Kuna watu zaidi ya 50 sijawajibu PMs zao so i know what i do....
Unakuta unajibizana na mtu anaemiliki smartphone tu hata passport haijui rangi yake....
Mkuu tunza heshima yako hao mbwa achana nao na wala usiache kusaidia wengine kwaajili yao... Usisalimu amri kwa wapumbavu hata siku moja.
Mkuu ktk maisha inategemea unatukanwa na nani.... Yaani mtu mjinga ana ku provoke simply hivyo?Heshima ya mtu ni kitu kikubwa sana siwezi kukubali kupoteza heshima yangu hapa no siwezi mkuu neno tapeli ni kubwa sana wakati ujawai kuchukua hata sh 10 ya mtu si sawa hata kidogo mkuu
izzo na lusungo kuna ishu naomba niseme kama mtakubaliana nayo.Binafsi naona hata kumjibu ni najisi tu.... Hawa watu kujibizana nao ni kuwapa mileage tu...
Kuna watu zaidi ya 50 sijawajibu PMs zao so i know what i do....
Unakuta unajibizana na mtu anaemiliki smartphone tu hata passport haijui rangi yake....
Mkuu tunza heshima yako hao mbwa achana nao na wala usiache kusaidia wengine kwaajili yao... Usisalimu amri kwa wapumbavu hata siku moja.
naomba uwasiliane na izzo au lusungu kwanza
ila ombi langu usiache kumsaidia kaveli mpka hapo mlipofikiaHeshima ya mtu ni kitu kikubwa sana siwezi kukubali kupoteza heshima yangu hapa no siwezi mkuu neno tapeli ni kubwa sana wakati ujawai kuchukua hata sh 10 ya mtu si sawa hata kidogo mkuu
Sawa yalikuwa maoni yangu tu.Mkuu Dabby tena huko kwenye kuwasiliana privately au watu kujua my contact zangu ndo kabisaaa huwa sipendelei thats why nipo free...
Mkuu uzi uko vizuri sana, na mimi nahtaji kuwa host wa mgeni ata mmoja. swala la lugha siyo tatizo kwangu itapendeza sana nikipata hii nafasi.Naomba kuwa Host wa mgeni 1 please kama utahitaji namba nitaku PM
Mimi naomba unijibu my brotherBinafsi naona hata kumjibu ni najisi tu.... Hawa watu kujibizana nao ni kuwapa mileage tu...
Kuna watu zaidi ya 50 sijawajibu PMs zao so i know what i do....
Unakuta unajibizana na mtu anaemiliki smartphone tu hata passport haijui rangi yake....
Mkuu tunza heshima yako hao mbwa achana nao na wala usiache kusaidia wengine kwaajili yao... Usisalimu amri kwa wapumbavu hata siku moja.
Embassy of Italy
P.O. Box 2106 - Lugalo Road, 316 - Upangas - Dar es Salaam
Tel. +255 22 2115935/36 - 2123010/11
Commercial Office - Tel / Fax +255 22 2117369
Emergency telephone: +255754 777 701 (emergency calls and after hours)
hours: Monday to Friday: from 08.00 to 15.10 - Wednesday: 08:00 to 16:10
certified Mail:
amb.daressalaam@cert.esteri.it
amb.daressalaam.cons@cert.esteri.it
amb.daressalaam. pass@cert.esteri.it
Ambassador
Roberto Mengoni
Email: segr.dar@esteri.it
Int. 102
chief hii ni full package ya contact zao, in case umekwama kwa website just call them on Hot line. likini mimi iko poa na nipo naifanyia kazi muda huu.
Kabisa mkuu, binafsi nimeamua kutojibu PM kabisa!!Wakuu me naona Uzi uendelee Kama kawaida ,,Kama mpaka hapa tulipo fikia hakuna mtu aliyepigwa kwanini Uzi usiendelee,,wakuu mambo yaende hapa hapa mchana kweupe ,,kufatana pm ndo mbaya kuliko mnavozani ,mambo yaendee hapa hapa sebleni ,
NB; kushirikishana muhimu katika kila hatua kila jambo hapa hapa sio PM
[emoji121]View attachment 484337
Jamani anasema hivi kuhusu jinsi ya kuomba visa
Naomba nikuunganishe na mdau wangu wa makerere na university of Nairobi hope they will have something to share kuhusu hiyo course yakoGuyz labda niweke Wazi hapa Hope mnaweza Nisaidia sana Na ninashukuru wote nilo wafuata PM na mkanisaidia kunishauri!! THANKX sana Dada SEGITO wa SA kwa kunisaidia na Kuonesha nia ya kuendelea kunisaidia nitaendelea kuongea nawe kwa msaada zaidi
Lakini kupitia huu uzi nimeamua kuweka wazi ili watu wanisaidie Please nakuombeni sanaa msaada wenu!
Mm ninasoma RADIOLOGY hapa Tanzania na Hapa kwetu Radiology (MRI,PLAIN X-RAY,CT SCAN,ULTRASOUND,NEUCLEAR IMAGING,MAMMOGRAPHY,) HAPA Tanzania kwa wano Jua ni kuwa Hamna DEGREE ya hichi kitu.....hapa Tanzania kuna DIPLOMA tuuu! sasa wenye degree ya DIAGNOSTIC RADIOGRAPHY HAPA TANZANIA NI WA KUHESABU i mean ni wachache sanaaa tena sanaaaaa kuliko kozi nyingine yoyote hapa nchini!!
Wengi wanachukua Bachelor KENYA,UGANDA NA SA! sasa kupitia huu uzi huenda watu wakanisaidia nami Niweze kupata BACHELOR ya DIAGNOSTIC RADIOGRAPHY nchi nyingine yoyote ilee iwe SA,KENYA,UGANDA au nchi nyingine yoyote ile!!! Lengo niweze kufanikisha kupata Bachelor! ......Before nilijua SA ni gharama ndogo kusoma na Nigeweza lakini kadri siku zinavyokwenda na ninavyo haha kutafuta huku na kule naambiwa SA ni gharama sanaa!! Bado sijakata Tamaa naamini ndoto yangu itatimia kusoma nje ya Tanzania Kupita huu uzi!!
Mwezi wa 8 Ninamaliza hvyo ningependa kuunganisha either mwezi wa 9 hadi wa 12 au mwanzoni mwa mwaka 2018 sipendi sanaaaaaa kukaa mda mrefuuu mtaani naweza poteza ndoto zanguu!!!
So nipo hapa kuomba ushauri wenu wa Kimawazo,kimatendo hata kwa ushauri nini nifanye niweze kufanikisha ndotoo hiii iwe kwa sponsorship,scholarship au njia nyingine yoyote ilee kikubwaa Nisome Bachelor ya DIAGNOSTIC RADIOGRAPHY
kwa kuanza na kwa kutegemea makubwa katika huu uzi naomba nishie hapo na Ni SUBIRI HUOO MSAADAA please yeyote yule anaeweza nishauri chochote kitasaidia
Cc Daby,Izzo,lusungo na wengine pleaseee nategemea comment zenu katika hiliii please
Mkuu,Izzo binafsi nakuheshim xana,nakuomba tambua kuwa binadamu wote hatuzaliwa na akili ya kufanana ivo kutokea watu wakupinga jambo lenye manufaa kwa watu wengi huwa hawakosekan,ivo nkuomba bro endelea na moyo wa kuwasaidia watanzania wenzio,maana wewe ni miongon mwa watu wachache wnye moyo wa kuwasaidia wengine.Heshima ya mtu ni kitu kikubwa sana siwezi kukubali kupoteza heshima yangu hapa no siwezi mkuu neno tapeli ni kubwa sana wakati ujawai kuchukua hata sh 10 ya mtu si sawa hata kidogo mkuu