Kila tambarare lazima iwe na vijiwe vya kukufanya ujikwae, bahari japo imetulia lakini haikosi mawimbi. Hii ni changamoto tu hakuna sababu ya ku-give up......Najaribu kuwasiliana na Invisible aje kuufagia uchafu humu kisha tuendelee. So hao watu wapuuzeni.
Hamna yeyote alieombwa hela wala chochote zaidi ya kupewa ushauri ila naona kama kawaida yetu wabongo tunataka haribia wengine. Binafsi hata PMs sasa sisomi mpaka tuwafagie hawa wapuuzi.
Mkuu Izzo wawezaje kukata mkono kisa mtoto kanyea kiganja cha mkono?!Ndugu yangu nimeona maneno yako ambayo kwangu yalikuwa kama ni kashfa nimekaa kimya kwa kukuacha tu nadhani kama kukujibu kwa post zako zaidi ya 20 kwenye thread hii nimekujibu post mbili tu post number 2012 na post no 2044
Lakini kutokana na maneno yako ambayo watu wanaona kama yananilinda lakini kiukweli yananishutumu mm ww umetumia Codes tu kwenye post zako kwani codes zinasomeka kinyume kama unasema YES unakuwa na maana ya NO so ninajua unachomaanisha
Nimeanza kuchangia thread hii ktk post number 118 nikiwapa mbinu za kuingia malta then kuingia jeshini katika post number 367 ilikuwa ni Project number 1 ya kwenda Malta
mwisho wa post nikaandika mneno haya
NO PM (chumbani ) kwani siku zote mazungumzo yanafanyikia Sitting room au sehemu ya wazi chumbani(PM) yanafanyika mazungumzo ya wapenzi tu
Kwenye post no 869 nilikuwa natoa report ya fake agent ambae nilipewa namba yake na ndio maana niliomba namba ya huyo agent aliyempigia huyo dada niweze kupata taarifa za huyo agent na kuziweka mezani tena nikasisitiza kupatiwa namba ya huyo agent kwenye post number 2299
Na ktk post zangu nilisisitiza sana No PM
japo nimepata PM nying lakini nilikuwa sizijibu kama nilikubu basi sidhani kama zinatika 4 kama wapo niliowajibu waje waseme kama nilizungumzia mambo ya hela hata kuwagusia tu waje waseme kwani wanajijua
Niliandika maneno haya kwa sababu nilikuwa sitaki.maswala ya porini na sikutaka haya unayoyasema now nikaja tena na project number 2 yani Host kwenye post number 930 bado nikisisitiza no PM
Katika post number 1681 nilikuwa namwambia kaveli na post number 1673 post zote nilisisitiza kuwa huduma zote ni free
Nanukuu post 1673 nilisema
Pia ktk Project zote nilizo leta au zitakzo kuja hakuna hata mtu atakayeombwa hata sh 10 na kama itatokea njooni jukwaani mseme yote ni 100000% free kuanzia kuhost na msaada mwingine wowote kutoka kwangu
Tangazo la kazi nimelitangaza kwenye post number 2137 tena nikitoa na angalizo kwani
halikuwa verified na yule aliyelileta kwenye group na alitangaza kuwa bado ajali verify na mm nilipolileta hapa nilisema kabisa kwenye post number 2137 kuwa
Note usitoe fedha ya aina yeyote kuanzia visa vyote anashugulikia mama mwenyewe
Ndugu yangu mm napenda sana amani ya nafsi na mwili wengine tunaheshimika si hapa tu na sehemu zingine na watu wengine ninaoheshimiana nao kutokana na majukumu wanajuwa Id yangu leo wakiingia huku wakakuta naitwa tapeli itakuwa si sawa kabisa ww nimeshakuona huko hapa kwa mission maalumu
Mtu yeyote mwenye ufahamu ,weledi na mwenye kulinda heshima yake tuhuma tu zinatosha kumfanya akae pembeni so mm naona ni Withdraw kwenye thread hii nadhani mission yako itakuwa Complete so unaweza ku " Return to Base of Operations"
Nimetaja post number kama References kwa haya ninayosema hapa nenda kapitie post number zote nilizozitaja hapo
[emoji121]Nahisi ni matapeli angalieni email za hao ma agent full uongo
View attachment 484354View attachment 484355
[emoji121]
MKUU,
MBONA KAMA MWAJIRI MWENYEWE KIINGEREZA CHAKE KIBOVU KIASI FULANI!!!
ILA TUWE NA SUBIRA.
mgaka12 acha kumtia izzo hofu ya kusaidia watu wengine. Ni hakika anajua sana uwezekano Wa kuwa dissapointed upo (NI SEHEMU YA MAISHA) ila ameamua kutoa kile anachoweza na kila mmoja akichukue na kukitumia kadiri ya uhitaji na utashi wake.Bro stop na habari hii, utakuja kujishushia heshima huko ulipo trust me mimi yameshanikuta wabongo si watu utakuja juta kwa kile unachotaka kufanya ...
Bro izzo ntaumia xana na uamuz unaotaka kuuchkua,ni kwel inawezkana unaogopa kushusha heshima ako lkn wkat unaogopa kwa maneno ya mtu mmoja ambae kaamua kufungua akaunt JF kwa mission hyo,wadgo zako utakua umetuacha kwny mataa,kaka siktanii 2013 nmepata passport kwa lengo la kwnd kutafta maisha nje lkn nlikosa mtu mwny moyo kama wako wa kunisaidia,Heshima ya mtu ni kitu kikubwa sana siwezi kukubali kupoteza heshima yangu hapa no siwezi mkuu neno tapeli ni kubwa sana wakati ujawai kuchukua hata sh 10 ya mtu si sawa hata kidogo mkuu
Heshima ya mtu ni kitu kikubwa sana siwezi kukubali kupoteza heshima yangu hapa no siwezi mkuu neno tapeli ni kubwa sana wakati ujawai kuchukua hata sh 10 ya mtu si sawa hata kidogo mkuu
Nitashukuruu sanaa Mkuu kikubwa Nifanikiwe kusoma Bachelor mkuuNaomba nikuunganishe na mdau wangu wa makerere na university of Nairobi hope they will have something to share kuhusu hiyo course yako
Barikiwa.
Mungu akutangulie mkuu kwenye malengo yako.Nitashukuruu sanaa Mkuu kikubwa Nifanikiwe kusoma Bachelor mkuu
Mkuu mara nyingi kule facebook wapigaji ni wanaigeria aise.[emoji121]
WAKUU,
TUSIDANGANYANE,
WALA TUSIPEANE MOYO!!!
HII NI MIRADI YA UDUFUAJI,
YAANI NI ZAIDI YA UPIGAJI!
Ule usemi wa kudandia train kwa mbele unakuhusu. Ungekuwa umeanza na sisi tokea mwanzo ungeelewa. Hakuna mtu aliyeambiwa atoe hela. Hata tangazo la kazi/chuo linapotolewa onyo kutokutoa hela yoyote linawekwa. Je nani ameshatapeliwa? Au wewe nani amekutapeli au kukuomba hela? Acheni unafiki, majungu roho za choyo, chuki na ujuaji wewe pamoja na kundi lako mnalosapotiana na kupeana like kwa uzandiki wenu. Usifikiri watu wote huku wanafikiria utapeli kama nyie mlivyomatapeli.Wew umeona kwa jicho la tatu. Naiona kolabo ya matapeli humu,Yan kuna watu hapa wanapigwa kirahic mnooo.lol
Poleni sana izzo, lusungo pamoja na memba wenzangu tukioanza pamoja. Naimani huwezi kula muwa bila kukutana na fundo na ikiwa uko kwenye mteremko jua kuna mlima kabla.
Kweli izzo alijitoa kadri ya uwezo wake. Ana nia njema na watanzania kwa kushirikiana na sisi tunavyoonyesha moyo ndivyo tunavyompa hari zaidi. Lusungo asante kwa msaada wako tokea mwanzo. Daby siwezi kukusahau na wengine wote. Kila mmoja ana vision na mission katika maisha yake. Wengi katika maisha ni wakatisha tamaa na si wakupao moyo. Naombeni muendelee na moyo ambao tulianza nao nyuma. Si wote wenye kupenda pm na lengo ni kuepuka lawama na usumbufu usio na tija. Stunter ni mara nyingi umetuma kwa adm atuwekee jukwaa letu ila mpaka leo bado hawajafanya hivyo na sijui kwa nini. ADM: naomba kama mmeshindwa hilo basi naomba msiwezeshe wengine access ya mada yetu kama ilivyo prohibited kwenye mada zingine watu kuchangia. Naimani mnapitia kila kinachoandikwa na hakuna shaka yoyote kuwa kuna mtu ameshatapeliwa au alitaka kutapeliwa. Hakuna meseji hata moja iliyoihushia hadhi jf wala kuikashfu kuanzia hii mda imeanza hadi mda huu. Hakuna maneno ya kuudhi ambayo yametolewa zaidi ya intruders wenye nia ovu na mada yenu. Tunaomba utusaidie kwa hili dogo
Kuna mshkaji wangu yupo kule, ngoja nimuombe kama atakubali kukupa mawasiliano yakeMwenye Connection ya Qatar anisaidie!
Tusaidieni kwenye hili sio kwa doctor tu na fani nyengineOk naomben ushauriii mimi natafuta zile scholarship za kulipiwa then baadae nakuja kuingia nao mkataba... Coz nilipata scholarship china kusomea udaktari tatizo lilikuja kwenye pesa...