Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Tusaidie kaka,
Tatizo kubwa Ni fare na pakufikia, Tusaidie Kwa haya
 
Reactions: SDG
Daaaaah tukiwafuata private message hamjibu then tukiuliza info hamtupi.... Plz don't do that
Kabla ya kulaumu pitia kurasa zote utakuta mambo mengi. Ila ukianzia katikati kwa jambo ambalo lilishazungumzwa halafu unatoa shutuma siyo vizuri. Siyo wote wenye kutumia pm. Hivyo usitake kujibiwa kitu ambacho mtu ameshasema hataki pm
 
Mkuu Izzo na Lusungo tambueni kuwa hii ni biashara ya watu, wametengeneza mazingira yakuwapiga watanzania kwa kutaka kuwatafutia maisha huko mbele, hapa wanaona dili lao limeingia mchanga na pengine katika watu waliotarajia kuwapiga wamejitambua kupitia uzi huu na wakaona waachane na hao jamaa wajikite humu wanaweza pata msaada bure kabisa.

Hili haliwafutahishi hao wajinga ndio ukaona humu wanaoandamwa na izzo na lusungo kwani wao ndio wamezima ndoto za matapeli wanaotaka kuwaumiza watu masikini wenye ghera yakutaka kwenda kutafuta maisha nje huko.

Naomba mkuu izzo nz lusungo na wengine wote msijibu chochote kutoka kwa hao watu, hata watukane, endeleeni kuwapuuza na tuendelee na agenda yetu
 


Noted
 
Mgaka12 ! kweli wewe kiboko umeingia huku kumua attack izzo na umefanikiwa Shikamoo Mgaka12. Basi nakakuomba hata unisaidie wewe uliesaidia waliokuangusha ili mimi niweze kurudisha imani tena kwako kwamba sio kila unaemsaidia ni mbaya nayo hutaki mmmmh kweli kuna watu...
 
Brother Tusaidie Hizo website Za Kufanya kazi Kwa kujitolea pls
 
Unaweza kuniunganishia niweze kupata kazi, moja ya izo nchi?
 
Mkuu hiyo 1.3m bora uitafute bongo tu maana hiyo ni around dollar 650 kwa mwezi hapo kutoboa ni kazi ndio maana wasomi wa china wanarudi bongo wakiwa hoi kiuchumi.
Mostly wakirud huwa hawana nuru usoni
 
Mostly wakirud huwa hawana nuru usoni
Mkuu huo ni mshahara wa wiki tu jaribu kufuatilia post za nyuma.

Hata kama ingekua ni kwa mwezi lakini kule kuna opportunities kibao.

Uwezi kufananisha na bongo kwa sasa.

-Chindo-
 
365 port Elizabeth wanajihusisha sana na kilimo na viwanda Mzunguko wa pesa sio mkubwa kama miji mingine na kama ni Fundi fundi wa kunyoosha magari labda huko kunakufaa magari yaliyopata ajali yapo bei ndogo ukikarabati Johannesburg au pretoria unauza bei nzuri katika yard wanazouza magari unalipwa cash sio mpaka wauze hakuna kufatiliana kule ni wewe na kazi tuu
 
74 visa-free countries for Tanzanians: These are mostly based in Africa, but there are some which are not. Some will grant you visa upon arrival for a little fee.

1. Antigua & Barbuda

2. Albania

3. Armenia

4. Azerbaijan

5. British virgins Island

6. Barbados

7. Bangladesh

8. Botswana

9. Burundi

10. Bahamas

11. Belize

12. Bermuda

13. Bolivia

14. Cambodia

15. Cayman Island

16. Cape Verde

17. Comoros

18. Cook Islands

19. Djibout

20. Dominica

21. Ethiopia

22. Ecuador

23. Egypt

24. Fiji

25. Grenada

26. Guinea

27. Georgia

28. Haiti

29. Hong Kong

30. Jamaica

31. Jordan

32. Kenya

33. Kosovo

34. Laos

35. Lebanon

36. Libya

37. Liberia

38. Macau

39. Malaysia

40. Madagascar

41. Maldives

42. Malawi

43. Mauritius

44. Micronesia

45. Mozambique

46. Monserrat

47. Mongolia

48. Nauru

49. Niue

50. Nepal

51. Namibia

52. Nicaragua

53. Palau

54. Philipines

55. Qatar

56. Rwanda

57. Samoa

58. Suriname

59. St. Kitts & Nevis

60. St. Vincent & Grenadines

61. St. Lucia

62. Sierra Leone

63. Singapore

64. South Africa

65. Swaziland

66. Tuvalu

67. Togo

68. Turkmenistan

69. Trinidad & Tobago

70. Timor-Leste

71. Uganda

72. Vanuatu

73. Zambia

74. Zimbabwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…