Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Yani mkuu umetoa 2.5m halafu unashindwa kupata weekend moja ukaweka 150k unaenda Dar kuchukua RB na kurudi?
 
Daaah mkuu pole Sana huyo jamaa ilibaki kidogo tu anipige lak 4 sema mungu mwenyewe aliweka mkono wake.
 
Daaah mkuu pole Sana huyo jamaa ilibaki kidogo tu anipige lak 4 sema mungu mwenyewe aliweka mkono wake.

Ulinusurika mkuu.

Huu uzi ulikuwa wa matapeli tupu! na yanateteana sana.

-Kaveli-
 
Jaman wadau, mchongo nchi yoyote uwezi kupata bila kua na vibali. Wanawaibia kiulaini sanaa
 
Watz ni wabinafsi kupeana connection nje ya nchi, tofauti na Wakenya wao wapo karibu nchi zote. Angalau huyu ni mbongo kajitolea kutoa elimu juu ya kusaka life nje, mfollow akupe guide ya kutosha. Kwa scholarship, masomo, Kazi, nk. Andika. EBM Mswahili utashiba takwa lako.





 
Moja Kati ya vitu vilivyonikimbiza Greece / Italy ni kutokupata vibali vya kuishi.
80% ya watu walikuwa wanaishi kiholela Tu,
Maana migrants ni wengi Sana.
Siku hizi vibali vya kuishi na hata kusafiri vinatoka bila shida.
Ni ufuatiliaji Tu.

Kwa passport sina hakika kwann hawatoi kwa migrants.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…