anaitwa Patrick Emmanuel meagie, ni mkazi wa Arusha
namba zake za simu +255758354393 na 0622596982
tulikutana ktk huu uzi alitoa wazo la kuanzisha wasup group ili tuweze kupeana fursa za kazi nje ya nchi
ilikuwa 2020 mwanzoni ktk majadiliano kupitia wasup akasema yeye ana fursa ya kazi ktk nchi ya poland inahitajika kulipia agent fees mil 2.5
nikaonana nae dar kwakuwa sikumuamini sana nilienda kwa mwanasheria tukaandikishana
2020 janga la Corona akadai mipaka imefungwa ,nikamwambia ikifika 2021 Sept sijaondoka nirudishie pesa zangu
ilipofika huo mwezi nikaanza kumdai pesa zangu alichoamua ni kuni block japo namba zake zipo hewani
nikaenda polisi kushtaki wakasema nikachukue Rb ktk mkoa niliojaza nae mkataba ambao ni dar mimi nipo mwanza.hadi sasa sijapata nafasi ya kwenda dar kuchukua Rb