Mkuu kupata passport sio kazi kihivyo. Mimi niliwaambia naenda kuwatafuta watoto wa bro wangu hapo nchi jirani kwa M7 wakaniambia kalete living certificates za secondary ili wahakiki background yangu na yale niliyoojiwa na kujaza ktk form. Niliwapatia hizo doc kisha wakanihoji kidogo nikapata pass yangu ndani ya siku chache just 3 - 5 days. Sikutoa rushwa wala nini. Kutoa rushwa ni mapenzi yako tu na mazoea mabaya.Wangefanya hivyo.siku nyingi ningekuwa sauzi.walinipa form zao zile.zina maswali hatari.zikazichoma moto.
Sio kweli labda kama limeanza leo, nina deni la hao 15% lakini niko zangu bombey na nimeondoka mwezi ulopitaNaskia mtu ukiwa na deni la HELSB huwezi chomoka nchini Tz hii imekaaje?
Weka contact zake na km kuna mtu anamjua vizuri amuelezee km alivyofanya izzo ili watu wasije kutapeliwa.Kuna huyu jamaa naye ni mbogo yupo Dar anadai ni agents wa Canada na ulaya. Garama zake visa ya Canada ni 2500usd na ulaya ni 2000 usd.
Yupo wapi(anapatikana wapi) ili tumuibukie ofisini kwake au km vipi tuwekee contacts zake.Huyo mkuu ni agent wa visa pamoja na host. Anakutafutia visa then anakulink na mtu aliyepo nchi husika. ...sijafika ofisini kwake lkn
Bro naomba uniambie ulijuaje nami kesho au siku nyingine niweze kupima tapeli na Wa kweli mkuu. That's knowledge bossYah Host ni mbaya sana kama utakuwa ujafanikiwa kabla ya miezi 2 so utabaki kukimbizana na Police ukikamatwa kwaza ni jela ukitoka tu ndege ya kwaza kuja Africa na ww utakuwapo ndani yake Str8 kwa JPM empire
Kuhusu nimejuaje sidhani kama hapa naweza kwambia ila nimekwambia kama unataka utaniambia then nitakutumia
Kuhusu Agent wa kazi za mikono Tanganyika hakuna wapo wa Visa tu kwani ni ukweli usiofichika katika watu 10 waliokuwa na ndoto za kwenda nje kufanya kazi kwa Tanganyika ni 1 au 2 tu lakini toka Mr JPM kuingia na ajira kuwa ni swala la kufikirika ndio mwamko wa watu kukimbia Tanganyika umekuwa ni mkubwa ni juzi tu walikuwa wanaoitwa wabeba box walikuwa wanaonekana vibwengo na kukashifiwa sana lakini leo wao ndio wanaonekana kama wameteka kijiji
Kuhusu Agent msaada wangu unaishia pale niliposema kuwa mm nitakushauri bt siwezi kuingia in 4 Kwenye jambo hili am sorry 4 that dude
Tunaomba utusaidie (ushauri) njia nyepesi tunayoweza tumia kufika Malta au nchi yoyote kuhamia. Na pili hivi hizi visa free countries zilizopo America na Europe utaratibu wake unakuaje kuingia. Unakata tuu tiketi na kwenda au kuna process inabidi ufuate?Yah Host ni mbaya sana kama utakuwa ujafanikiwa kabla ya miezi 2 so utabaki kukimbizana na Police ukikamatwa kwaza ni jela ukitoka tu ndege ya kwaza kuja Africa na ww utakuwapo ndani yake Str8 kwa JPM empire
Kuhusu nimejuaje sidhani kama hapa naweza kwambia ila nimekwambia kama unataka utaniambia then nitakutumia
Kuhusu Agent wa kazi za mikono Tanganyika hakuna wapo wa Visa tu kwani ni ukweli usiofichika katika watu 10 waliokuwa na ndoto za kwenda nje kufanya kazi kwa Tanganyika ni 1 au 2 tu lakini toka Mr JPM kuingia na ajira kuwa ni swala la kufikirika ndio mwamko wa watu kukimbia Tanganyika umekuwa ni mkubwa ni juzi tu walikuwa wanaoitwa wabeba box walikuwa wanaonekana vibwengo na kukashifiwa sana lakini leo wao ndio wanaonekana kama wameteka kijiji
Kuhusu Agent msaada wangu unaishia pale niliposema kuwa mm nitakushauri bt siwezi kuingia in 4 Kwenye jambo hili am sorry 4 that dude
Nimesha zungumza sana juu ya Malta so nilichokuwa nategemea ni maswali kutoka kwenuTunaomba utusaidie (ushauri) njia nyepesi tunayoweza tumia kufika Malta au nchi yoyote kuhamia. Na pili hivi hizi visa free countries zilizopo America na Europe utaratibu wake unakuaje kuingia. Unakata tuu tiketi na kwenda au kuna process inabidi ufuate?
The Julius Nyerere Masters Scholarships | The University of Edinburgh
Hii ni scholarship kwa ajili ya Watanzania kwa heshima ya Mwalimu.
Lakini wahi, kuna mstari mrefu sana.
kwanini usimuulize huyo mwenyeji wako au naye hana ufahamu na hiyo nchi.Nmepata mchongo wa kwenda japan na mwenyeji wangu kaniambia fursa za kazi kibao na nkifika natafutiwa mwanamke tunafunga ndoa napata kikaratas maisha mengine yataendela. Kwa mwenye uzoefu na inchi hiyo ningependa kujua mengi
Sasa brother hapo kwenye kuingia Malta hapo, maana nimetafuta kila possible way napaona kugumu. Mpaka najihisi sina swali kwakweli.Nimesha zungumza sana juu ya Malta so nilichokuwa nategemea ni maswali kutoka kwenu
Kuhusu free visa za EU na US kwa sasa mambo si mazuri zimesitishwa kwa muda kwani mamlaka nchini US inasema kuwa EU ndio limekuwa pango la magaidi kuingia US so wanadplomasia wanashugulikia ikishindikana nayo ulaya kupitia Bunge la Ulaya nao watapiga marufuku kwa free visa kwa raia wa US kuingia EU
Free visa ni kama vile ww unapokwenda S.A au Kenya
Bro nyie mlio njee tayari mnatusaidia vipi? Maana km vile njia zote msalaKuhusu kwenda nje na viza ya kutalii halafu usirudi nyumbani
Viza ya kutalii ni viza ya muda mfupi, mara nyingi huwa kati ya miezi 3 hadi 6. Viza hii haikuruhusu kufanya kazi wala kusoma. Unaweza kupata viza hii kwa kuwa na uwezo wa kifedha au kwa kupata mwaliko wa mkaazi halali wa nchi unayotaka kwenda.
Kuna mtindo wa watu kutumia viza hii kama njia ya kuingilia nchi za Ulaya na Marekani halafu baadae 'kujilipua' ama kuishi chini kwa chini.
Zoezi zima la kujilipua polisi na kuomba ukimbizi ni suala la bahati nasibu ambayo kwa asilimia kubwa huwa watu wanarudishwa nyumbani na kupigwa marufuku ya muda mrefu ya kutembelea nchi hiyo. Kutokana na wimbi la wakimbizi la miaka ya karibuni, imekuwa ni vigumu kupata hifadhi kama mkimbizi. Unaweza kuwa Msomali lakini ukanyimwa hifadhi sababu mji ulipotoka Somalia hakuna vita. Mchakato huu huwa unachukua miaka mingi na katika kipindi hiki nchi nyingi haziruhusu ufanye kazi.
Kuishi chini kwa chini. Hapa watu huwa wanaishi nchi fulani bila vibali (hawana makaratasi). Kutokana na nchi zote zilizoendelea kuwa na namba za utambulisho, huwezi kupata ajira rasmi wala kusafiri ukiwa katika hali hii. Unaweza ukapata kazi (maarufu kama black job) lakini mwajiri wako atakulipa mshahara mdogo mno ambao haukidhi mahitaji ya kila siku. Ukifanya kazi hizi, hulipi kodi, huchangii pensheni wala huna haki zozote kama wafanyakazi wengine halali. Watu wa aina hii ndio mara nyingi inapita miaka mingi bila kurudi nyumbani maana hawawezi kusafiri.
Katika kipindi hiki cha miezi 3 au 6 ya viza ya utalii, unaweza ukabahatika kupata mwanamke akakusaidia kupata makaratasi kwa njia ya ndoa. Pia, ni ngumu kwa mwajiri yeyote kukuajiri kama ukiwa na viza ya utalii, usitegemee kupata kazi ukiwa na viza hii.
Viza ya utalii ya Schengen
Hii viza inakuwezesha kutembelea nchi yoyote kati ya nchi wanachama wa makubaliano hayo. Viza hii haikuruhusu kufanya kazi wala kusoma. Unaweza ukaangalia orodha ya nchi za Schengen hapa Schengen Area Countries List - Schengen Zone
Mimi nilikuja kwa masomo miaka mingi iliyopita kwa kujilipia mwenyewe. Kwenda nje ni jambo la kutathmini kesi moja moja kutokana na mtu anayetaka kusafiri.Bro nyie mlio njee tayari mnatusaidia vipi? Maana km vile njia zote msala
Tuanze kwenye hizo kesiMimi nilikuja kwa masomo miaka mingi iliyopita kwa kujilipia mwenyewe. Kwenda nje ni jambo la kutathmini kesi moja moja kutokana na mtu anayetaka kusafiri.
Duh! Thumbs up, you are the best.Nimefanya utafiti ni kwamba huyu jamaa ndio alikuwa ni Agent lakin mtu wa mwisho kumpeleka ilikuwa mwaka 2015 na aliyempeleka anaitwa Hassan Baswale ambae alimfanyia mpango wa kwenda Spain bt jamaa hakufanikiwa kuingia alirudishwa airport palepale so toka mwaka huo jamaa ajapeleka mtu tena na leseni yake inaonyesha ameshapeleka watu 136 ni watu 56 tu ndo walifanikiwa kuingia wengi walirudishwa aidha airport au walikamatwa na kurudishwa na jamaa anamtandao Uturuki si nchi za ulaya sana na kumbuka Uturuki si mwanachama wa EU lakini pia kuna ukaribu sana na huyu jamaa na mtu aliyeanzisha thread hapa ambae anatumia id hizi
Britanicca ,DR RWEYENDERA, Katelelo so uamuzi ni wako Good luck kwa ushaidi au kujua kama ninachokisema ninauhakika nacho ukitaka ninaweza kukupatia kama utaiji coz siwez kuweka hapa jukwaani
Mkuu US ilikataa free visa kwa baadhi ya nchi tu za EU ikiwemo Romania na Poland.... Sababu kuu ni hali ya uchumi kwa nchi hizo....Nimesha zungumza sana juu ya Malta so nilichokuwa nategemea ni maswali kutoka kwenu
Kuhusu free visa za EU na US kwa sasa mambo si mazuri zimesitishwa kwa muda kwani mamlaka nchini US inasema kuwa EU ndio limekuwa pango la magaidi kuingia US so wanadplomasia wanashugulikia ikishindikana nayo ulaya kupitia Bunge la Ulaya nao watapiga marufuku kwa free visa kwa raia wa US kuingia EU
Free visa ni kama vile ww unapokwenda S.A au Kenya