Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ubarikiwe sana Mkuu, endelea na moyo huo huo
 


Mchele mixa pumba.

You sound conservative.... kama wale wazee wa long kitambo.

-Kaveli-
 
Mkuu heshima kwako... Umemaliza kitu kuhusu wabongo.


Binafsi mimi hizi roho nyeusi za wabongo ni moja wapo ya sababu kuu ni kwanini naona Tanzania sio mahala pazuri pakuendelea kuishi.


Mkuu wangu wa kazi, kwema?

Hahahaa mkuu umenichekesha. Bongo imejaa roho za korosho kila kona.

Mabeki kibao, ushindi inahitaji sala na kukomaa to the fullest.

Mambo mazuri yapo mbele, tuzidishe misele.

-Kaveli-
 
Ebana nichek 0657316399 tuongee
 
Utapelii huu nimesha umizwa mwenzenu hata msijaribu najuta na Bitcoin hakya Mungu utapel mtupu
 
Wezi wakubwa nyie nawatafuta nyie matapel kama nin yan
 
Dah nafikiri mkuu hii option uliyotoa imekaa vizur sana na nimeielewa uwezo wa kujitolea kuhost hawa wageni naona ni njia safi sana ni wewe tu kutengeneza mazingira na mgeni wako.

Sasa mkuu hapa utatusaidia vipi kupata hapo wageni maana nimetafakari sana na maamuzi niliyoona ni vema kupata exposure kwa kuanza kuhost hawa wageni nyumbani kwako
 
Reactions: Qj_
Poa mkuu tunasubiri mrejesho toka kwenu
Siwezi sema nimefikia hatua gani mkuu maana plans tend to change. But nafikiri nipo sehemu nzuri.

Nikiona njia nayotumia imenyooka nitakuwa na ujasiri wa kuiweka hapa na nyie muifuate ila kwasasa acheni ni take risk mwenyewe. [emoji4][emoji4]
 
Hahahah mkuu pole sana aisee.... Ilikuaje? Nimegundua wabongo ni wepesi mno kutapeliwa... Shida na msongo wa maisha zinawafanya watapeliwe kirahisi.
Nikiwa Uganda chuon kuna rafikiangu alikua bongo nakunijulisha kua kajiunga na hio Bitcoin na kapata mahela kibao, basi kwakua napenda pesa nakwakua nilikua na mwamin sana rafiangu nikamtumia kama laki 3 na nus ili aniunge kutokana na maelezo yake. Kweli baada ya kutuma ile pesa jamaa hakuchelewa akanitumia documents kwenye email address yangu na password kila kitu, nikimaanisha account alinifungulia yeye kwelii nikawa nikiingia kwenye mtandao hela inaonekana inaongezeka lakin ukwel nikwamba hio hela huwez itoa ikaingia kwenye sim yako kama wanavodai wala kumuuzia mtu yeyote kama wanavodai hata ukifanya transaction kwenda kuwauzia wao wenyewe utaambiwa network inasumbua mala lugha kibao mwishowe wanabadilisha mpaka lain za sim. Nahaija nikuta pekeangu nimekuta watu kibao wanalia na hizo biashara za pyramid scheme
 
Asante sawa mkuu Izzo Mungu akubalic ngoja nipitie hzo scholarship za masters Malta. Swali la nyongeza ukienda kimasomo si unaweza pata part time job kwa malta??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…