Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Nipe mie hiyo nauli ntakuludishia nkijaliwa
 
Ushauri mkuu naona ingekuwa vizuri sana kwa wale ambao wako tayari kulipuka na njia ya pili ambayo iliyoelekezwa hapo ya kuhost wageni tufanye kujiregister na ifahamike wangapi wako tayari na kwa upande wa mkuu aliyesema atatusaidia kwa hili tuweze kumrahisishia na yeye mipango yake..
 
Mkuu hii option ya pili kama nilovyochangia hapo kwanza naona ni bora zaidi kwakuanzia kupata exposure kwa watu kama sisi tunaoanza Mimi nipo tayari kuwa host mkuu naimani utaniweka kwenye list yako nipate mgen mmoja.
Safi sana naona mwitikio ni mkubwa mkuu izzo njoo ujionee huku ndugu zako hatukuangushi kamwe.
 
Kwani wewe haupo.

Kuna watu wameongezeka hawana chochote zaidi ya utani. Ndiyo maana nimeacha nafikiri umenielewa.
Ni kweli mkuu jana nimekutext bila shaka ulikuwa kwenye mihangaiko vipi jamaa etu anaenda vyema siyo?
 
Kaka jeshini kunaumri wa kuingia na ukivuka ndo mwisho huwezi kuingia sasa vp huko malta umru gan unafaa kuingia jeshini maana bimeona hiyo ndo njia ila nlitaka nijipime kiumri kama nitafaa
 
Safi sana naona mwitikio ni mkubwa mkuu izzo njoo ujionee huku ndugu zako hatukuangushi kamwe.
Yaani Dr ..option ya pili ndiyo ya kukomalia kwanza tutengeneze connection tujue uhalisia wa kwao kwa nadharia kutoka kwao then nafikiri itakuwa tumejisogeza sehemi Fulani kwanza
 
Kaka jeshini kunaumri wa kuingia na ukivuka ndo mwisho huwezi kuingia sasa vp huko malta umru gan unafaa kuingia jeshini maana bimeona hiyo ndo njia ila nlitaka nijipime kiumri kama nitafaa
 
Yaani Dr ..option ya pili ndiyo ya kukomalia kwanza tutengeneze connection tujue uhalisia wa kwao kwa nadharia kutoka kwao then nafikiri itakuwa tumejisogeza sehemi Fulani kwanza
Ni kweli mkuu tumsubili mkuu izzo mwezi April awalete wageni hao tukomae naimani tutafanikiwa endapo tutakuwa na mshikamano.
 
Kaka jeshini kunaumri wa kuingia na ukivuka ndo mwisho huwezi kuingia sasa vp huko malta umru gan unafaa kuingia jeshini maana bimeona hiyo ndo njia ila nlitaka nijipime kiumri kama nitafaa
Mkuu malta umri kwa nchi ya malta mwisho 32 yrs
 
Ni kweli mkuu tumsubili mkuu izzo mwezi April awalete wageni hao tukomae naimani tutafanikiwa endapo tutakuwa na mshikamano.
Sasa mkuu tuombe tu Mungu amfanyie wepesi mwenzetu Izzo....halafu ingekuwa vema spate listi ya ambao wako tayari ili kwake na sisi kuweza kujipanga maana naimani hao wageni kuna vitu vya msingi sana wataviconsider kama vile
1: bedroom type
2:number of people in a house
3: neighborhood
4: transport za kuelekea town kama ni nje ya mji kidogo
5: cultural aspects
6: chakula if shared or not
7:sehemu za kutembelea maana hawaji kukaa ndani tyu
8: toiletries na bathroom so unajua mkuu aina za vyoo vyetu tunashare tyu mpaka na wapangaji

Mkuu Tumwombee wepesi Bwana izzo kwa ambao tumeamua kwanza na hii option ya pili jlya hosting
 
Hiyo 3500 CHF ni sawa na shilingi ngapi za kibongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…