Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

sio wewe tu... kupoteza nafasi mzee alafu kuja kuipata tena mziki...
God bless him,
Nimefurahi sana kuona Kaveli amekamilisha,
manake alivyokuwa anachelewa na izzo analalamika basi roho ilikuwa inanidunda kwa kuhofia kuipoteza nafasi,
Mungu mkubwa amekamilisha,
and now nina amani
 
Kwa mipango uliyonayo kwakweli Mungu akuongeze muda wa kuishi, gharama za wema huu pia utalipwa na Mungu mwenyewe. Naamini hawa watu wanaotegemea kuvutwa kwa hii kamba unaoturushia ni wengi na hii kazi unayoifanya imewashinda ndugu zetu wengi wa damu wenye uwezo mkubwa. Hata nisipofanikiwa mimi lakini nawaombea wengine wafanikiwe maana mvua ikinyesha kwa mkulima mfanyakazi atapunguziwa bei ya mazao. Mkuu [HASHTAG]#izzo[/HASHTAG] go on pave the way na Mungu akutangulie.
mimi najua ulaya marekani hata asia wapo wa tz wengi mno lakini hata kutuonesha njia kwa kutafuta taasisi zitakazo saidia wandugu bongo, kutusaidia wale tunaopenda kuandika maandiko ya miradi na hii ni kutuunganisha na taasisi husika kama kuna ugumu tujadiliane katika baadhi ya mambo ikiwezekana iundwe taasisi na kusajiliwa kisheria ili wanachama wake waweze kutambulika na kuwa rahisi hata kuwapata pale watendapo mambo kinyume na taratibu... hapa ni kufanya mambo yaende kwa kurasimishwa na sio kienyeji ndio maaana naisi mliopo majuu mnakuwa na hofu... na hata katika hili la kuhost kwanini kusisajiliwe taasisi ya kulink tz na wakina [HASHTAG]#izzo[/HASHTAG] ili mlio abroad mjue mnafanya kazi na watu wa aina gani

ni mawazo tu wadau... dunia inabadilika sio mmoja mmoja tena ni kushirikiana, tuelekee kale umoja ni nguvu...
 
Mkuu hii ndoto ya OZ nimekomaa nayo ni zaidi ya miaka 4 mpaka sasa lakini holla!
Nilichokuwa nahitaji nikupata host wa kumtembelea hata kwa muda wa mwezi mmoja tu unanitosha. Mengine ningejiongeza huko huko.
Uzoefu wangu mimi ni Mining, Esp. Drilling (Diamond Drilling) nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10. Training zao za kupata LICENSE zao mpaka ukiwa oz kwenyewe. Ila kibongo bongo ukiwa na magamba ya kwao huku bongo kupata kibarua kwa urahisi ni kufikia ukizingatia kuwa mpini wa Mining wameshikilia wao.

Mkuu Kupata host mbona ni easy tu jaribu kujiunga na hii site Help Exchange: free volunteer work exchange abroad Australia New Zealand Canada Europe utajiunga na account ya bure then baadae uta upgrade account yako kuwa premium kwa gharama ya kama Tsh 50K(20€)
Ukiwa na premium account utaweza kuwasiliana na hosts pamoja na kusoma reviews za hao hosts.

Kwenye hiyo site Australia kuna zaidi ya hosts 5K. Naamini itakuwa kazi rahisi kwako kupata host Australia kuliko Bashite kuonesha vyeti.

So far nimeona hii site ni bora kuliko Meet and Stay with Locals All Over the World ni mtazamo wangu lakini. Ningependekeza na wale wote ambao tunataka kufanya mission 1 kutoka kwa mkuu izzo ingekuwa vema tutafute hosts tufanye kweli... muda mzuri wa kuingia Malta ni summer time coz kunakuwa na tourists wengi so I hope kutakuwa na deiwaka za kutosha kwa hiyo tunaweza kutumia hosts wetu kama work placement.

I wish you Goodluck!
#Malengo#TukutaneMalta
 
Ndugu wana JF
Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na jinsi ya kuanza maisha huko nje.

Kutokana na kutoa msaada kwa wengi (binafsi) kwa kutumia njia binafsi nimeona nifungue uzi huu ili kuweka mambo yote wazi kwa kadiri itakavyowezekana na kualika wengine pia waweze kutoka maoni yao.

Ndugu zangu nchi yetu ya Tanzania ki uwezo bado ni changa, fursa za kutoka ni chache na hata changamoto ni nyingi. Huko kwa wenzetu fursa ni nyingi ndio maana imekuwa chanzo cha kuvuta wahamiaji wengi sana toka mataifa masikini.

Nchi masikini wenzetu huko mbele raia wao wamejaa haswa kutokana na moyo wa kusaidiana na kuvutana.

Nimeamua nilete hoja hii kama ambavyo wenzetu hufanya huko Nairaland ya Nigeria ili kila mtu mwenye ujuzi au ufahamu juu ya namna ya kutoka (kujilipua) atoe msaada kwa wengine kwenda huko... si lazima wewe binafsi usaidie mtu binafsi NO, hata mbinu tu za jinsi ya kufika huko.

Kabla sijaingia kwenye kiini cha mada naomba nitoe faida na changamoto za kujilipua.

FAIDA
1. Fursa nzuri za kiuchumi na kujiinua hasa ukiwa na malengo.. Wakuu binafsi nimeishi Marekani kwa miaka nane. moja ya faida nilizopata huko ni kujiinua kiuchumi.... binafsi wakati naenda kusoma huko nilijiwekea malengo ya kujenga ghorofa nyumbani, kufungua mashine za kusaga na kukoboa nafaka pamoja na kumiliki fuso za mizigo...

kipato cha mfanyakazi wa kule ni kikubwa mno kushinda hata cha baadhi ya maboss wetu hapa... hivyo nilijitahidi nilipokuwa kule malengo yangu yaimie... ni kweli baada ya muda huo nilifanikiwa kutimiza yote.

2. Huduma nzuri za afya, Elimu, Sheria, miundombinu.

CHANGAMOTO
1. changamoto kubwa kwa kuwa kule ni upweke (ku feel home mara kwa mara japo wakati mwingine ukizoea hutoweka)

2. Xenophobia hii ni kwa baadhi ya nchi tu sio zote.

USHAURI WA WAPI UENDE NA NAMNA GANI UENDE
Kwa wale wahitaji wa masuala ya maisha kujijenga na kuchuma nashauri nchi hizi, USA, UK, NORDIC COUNTRIES, NA WESTERN EUROPE COUNTRIES. kwa Afrika nashauri SA.

Jinsi gani utaenda namna ni nyingi.... naorodhesha baadhi hapo chini...
1. kwenda kimasomo ambapo unaweza tafuta sponsors then ukapata scolarship itayokuwezesha kupata visa na kujilipua huko baada ya masomo...

2. Kutafuta mwenzi wa nje ambaye atakualika huko kisha mtaoana na kukuwezesha kupata resident permit na baadae uraia.

3. Kuhamisha mataji na biashara njia hii unakubaliwa popote alimradi uwe na biashara halali,

4. kwenda kwa shughuli za utamaduni

Wenzetu wakenya na wanigeria wameunda mfumo wa kualikana wao kwa wao, kwamba mtu anakutumia barua ya mwaliko, then unakwenda ukifika huko anakutafutia mtu mnaoana kisheria tu ili upate karatasi kisha kila mtu anasika hamsini zake....

Wapendwa mambo ni mengi siwezi andika yote ndio maana nimeanziasha uzi huu tutaendelea kujuzana kwa kairi michango ya watu itakavyokuwa na maswali yatayojitokeza.

Nawakaribisha nyote. Na wote wenye maujuazi au mauzoefu ya huko mbele... karibuni tusaidiane tujenge taifa letu... Tuwasaidie vijana wakasake fursa.

mkuu Mimi Nina bahati sana ya kupata wapenzi wa kizungu na nimeshawalia pesa zao japo sio nyingi ila 200$ kawaida sana tatizo linakuja nikimuomba pesa nyingi ya kwenda ndo ananipiga calendar

ninao wawili mmoja yupo Tennessee mwingine yupo Michigan ni nurse Ila huyu wa Michigan ndo amenishikilia kupita kiasi mwingine wa tatu niliamua kumuacha sababu ya wivu huyu yupo Virginia ana wivu hadi kero me mwenyewe kapuku tu sina pesa ya kufika huko USA

Sasa naomba msaada nifanye nini ili nifanikiwe kufika huko Nipitie njia ipi ipi nijilipue huko USA
 
mkuu Mimi Nina bahati sana ya kupata wapenzi wa kizungu na nimeshawalia pesa zao japo sio nyingi ila 200$ kawaida sana tatizo linakuja nikimuomba pesa nyingi ya kwenda ndo ananipiga calendar

ninao wawili mmoja yupo Tennessee mwingine yupo Michigan ni nurse Ila huyu wa Michigan ndo amenishikilia kupita kiasi mwingine wa tatu niliamua kumuacha sababu ya wivu huyu yupo Virginia ana wivu hadi kero me mwenyewe kapuku tu sina pesa ya kufika huko USA

Sasa naomba msaada nifanye nini ili nifanikiwe kufika huko Nipitie njia ipi ipi nijilipue huko USA
Unawapatia wap
 
Mkuu tunasubir mrejesho wako kutoka ubaloz wa Italy

Nashukuru chief
nimefika isipokua hawaruhusu mtu kuingia mpaka ndani, pana mlizi ana information zote. siku ya kuingia ndani ni kwenda kuchukua visa tu! siku za kuchukua visa ni jumatatu, ijumaa na jumatano. wamenipatia website ambayo ina form za kudownload na kila kitu, so vitu vyako vyote unavifanyia huko, then wamenipa na e-mail yao ukimaliza unawatumia huko. lakini pia ukikwama kuna namba ya maulizo unawapigia wanakusaidia (amesisitiza simu zikipigwa basi yawe mambo ya msingi)

Website; www.ambdaressalaam.esteri.it
E-mail; dar.visti@esteri.it
Tel 0222115935-6
 
Nashukuru chief
nimefika isipokua hawaruhusu mtu kuingia mpaka ndani, pana mlizi ana information zote. siku ya kuingia ndani ni kwenda kuchukua visa tu! siku za kuchukua visa ni jumatatu, ijumaa na jumatano. wamenipatia website ambayo ina form za kudownload na kila kitu, so vitu vyako vyote unavifanyia huko, then wamenipa na e-mail yao ukimaliza unawatumia huko. lakini pia ukikwama kuna namba ya maulizo unawapigia wanakusaidia (amesisitiza simu zikipigwa basi yawe mambo ya msingi)

Website; www.ambdaressalaam.esteri.it
E-mail; dar.visti@esteri.it
Tel 0222115935-6
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Mkuu Kupata host mbona ni easy tu jaribu kujiunga na hii site Help Exchange: free volunteer work exchange abroad Australia New Zealand Canada Europe utajiunga na account ya bure then baadae uta upgrade account yako kuwa premium kwa gharama ya kama Tsh 50K(20€)
Ukiwa na premium account utaweza kuwasiliana na hosts pamoja na kusoma reviews za hao hosts.

Kwenye hiyo site Australia kuna zaidi ya hosts 5K. Naamini itakuwa kazi rahisi kwako kupata host Australia kuliko Bashite kuonesha vyeti.

So far nimeona hii site ni bora kuliko Meet and Stay with Locals All Over the World ni mtazamo wangu lakini. Ningependekeza na wale wote ambao tunataka kufanya mission 1 kutoka kwa mkuu izzo ingekuwa vema tutafute hosts tufanye kweli... muda mzuri wa kuingia Malta ni summer time coz kunakuwa na tourists wengi so I hope kutakuwa na deiwaka za kutosha kwa hiyo tunaweza kutumia hosts wetu kama work placement.

I wish you Goodluck!
#Malengo#TukutaneMalta

Mkuu ubarikiwe sana. Ngoja ni review nitatoa mrejesho.
 
Wakuu,

Since some years back, ndoto yangu ni kwenda UK kimasomo then najilipua to Scandinavia country.

To realize my such dream, the MASTER PLAN was to secure full scholarship for undergraduate studies in the UK. I even started making some correspondence with Aston University regarding Admission. Ila daaah nikaanza kuona chenga tu... financial constraint! Ninarent geto single room uswazini afu almost three months naamka lukwirii kumhepa faza hausi, then Aston Uni wananambia kuwa Admission application Fee ni Pound (£) kadhaa. Nikaona isiwe taabu, nikapiga chini huo mchakato.

Ofkoz kuna some calls for scholarship applications ambazo zinaruhusu ku-lodge application even before an Admission being granted.

Wahenga walinena: "TRY AGAIN Is Something That We Should always Do". However, despite all back n' forth trials in that regard, my endeavors were not fruitful. As such, I did quit Master Plan. Hence, Plan B jumped in to play.

PLAN B was/is to secure scholarship to study in home country for undergraduate level. Thus, nisome Bachelor Degree hapa hapa Bongoland, then I will fly abroad to pursue Masters, as scholarships for Masters seem plenty and on 'full' basis.

Hiyo plan B ndo nipo nayo kwa sasa. I'm currently maximizing desk research kuhusu hilo. So wadau kama kuna yeyote mwenye awareness kuhusu 'Scholarships to study in home country', naombeni link jamani. In case something cracks your mind like: Why can't he go for loans board (HESLB)?!! My sincere & genuine answer is: I am Not qualified for loan from Heslb! Bongo miyeyusho.

Sasa endapo na hiyo Plan B ikafeli, what would be the rescue move??? Je ni kutia 'cha uwani' nirudishe gari rivasi? Hapana! No retreat No surrender. The Back Up Plan for rescue ni: kukomaa mwenyewe kutafuta mkwanja ili EITHER nijisomeshe mwenyewe hiyo first Degree (approx Tsh 12 Million), OR iwe nauli kwenda mtoni kujilipua. I will raise such amount kutoka shambani, yes nitaanza kulima. Mkuu Lizarazu, naomba unipokee kwenye kilimo cha vitunguu, japo bado sina mtaji. Lol

Nimejipa time frame ya one year kwenye plan B. If things still unfold, I will urgently reimbark to the Back Up Plan.

In fast lane chasing for my dream. My DREAM remains intact: To set foot in scandnavia country, either as professional or unskilled hustler.

'If you want to be strong, learn to fight alone'. It ain't easy, but you gotta keep ya head up until end of time.

-Kaveli-
Mkuu Kaveli nimekusoma nimekupata and your write ups are very very interesting my bro.

I can deduce strong ambitiousness and potentiality in you that should never be wasted in whatever case.

I do salute this kinda spirit ambayo inaamsha mzuka hata wa mtu aliyekuwa kajisahau na kumkumbusha he has to keep his plans alive. Now what I can insist to you, is to keep fucused on your plans and never mind the distractions for the sake Of your endeavors.

Kihusu kusaka za madafu kupitia kilimo cha vitunguu hata usiwaze mkuu karibu sana, tutafanya hata fundraising ya kiujanja ujanja kama alivyofanya baba jeska kwenye maafa ya tetemeko na kwenda kujenga uwanja wa bombardier kijijini kwake chato...lol.
 
Wakuu Ni vyema tunaopewa ushauri tuutumie ikiwezekana haraka mafanikio yake yaonekane kwa haraka ili wanaotushauri wapate moyo na wajue watu wapo serious.
Swala la kuzingatia hili mkuu ila kwa sababu uzii utaendelea kuwepo swala la mrejesho haliitaji haraka sana.
 
Kuhusu Australia aka OZ ni bonge la chimbo kwa watu ambao wameshawahi fika au wako wanafahamu nisemacho,kiukweli sio wabongo wengi wanapazungumzia hata humu kwenye jukwaa sijaona mijadala ya kuhusu kufanya plan za OZ.

Kiufupi ni kuwa OZ ni moja ya nchi za ulimwengu wa kwanza ambapo wazungu wako 90% yawakaazi wote na wana uchumi mzuri. Kiufupi ukifanikiwa kupata PR na citizenship ya hii nchi bwana unakua umeshawin life sio mchezo.... am talking with experience.

Njia rahisi ya kuweza kupenya OZ ni kwa kupitia student visa (visa 572, 573 etc), tatizo linakuja how to rise $25,000 ili utumie kama mtaji wa kupenya. Wanachotaka wao ni rahisi tu utoe one semester ada kama $9,000 (zinachajiwa kwa module yaani kila somo lina bei yake na foreigner lazima usome module 4 kwa semester). Pia uwe na kama 18,100 kwenye A.C yako kuprove unaweza kuishi mwaka mzima bila kufanya kazi (hapa unaweza hata kuazima kwa mtu akaweka kwa ac yako alafu baada ya kupata mapepa unazirudisha) ndio hata majiran wetu huko Kenya ndio wanafanya. Cha mwisho ni bank statement ya mtu wa karibu (next of kin) ya miezi 3 ambayo inaweza kua na flow of income ya 30m-50m basi.

Kazi zinazolipa kwa sasaivi ni kazi za hospitality (nurses, carers,etc) kuna dada analipwa $56/hr na weekend kuna malipo ya penalties yaani kama unalipwa $20/hr siku za kawaida then jumamosi unalipwa (50% more) $30/hr na jumapili unalipwa (100%) $40/hr
Ukiweza tu we ingia Acacia | Immigration Australia uanze process za kujiripua,

Pia ingia hapo hapo utatakiwa kulipia $135 ili kupata consultation ya nusu saa (inalipa kwani unaambiwa option zote kwa ufasaha kabisa kabisa na unapewa na nafasi ya kuuliza maswali utakavyo) na baada ya maongezi utaprintiwa ile convo yote

Mkuu, asee nimekuwa nikiskia Australia ni ngumu sana kuingia kwa raia wa kigeni hasa kutoka kwenye hizi nchi zetu za giza sasa kupitia hili bandiko lako ndio nimepata sababu.

Kwanza imavyonekama kuingia kama raia tu job seeker ni ngumu hatari na kuingia kama mwanafunzi ndio hivyo INA hitaji uwe na mpunga wa maana sana kwa account yako kana kwamba ni ngumu kwa mbongo mwenye hiyo hela kushawishika kwenda kumake life pande hiyo...!!

Nataka kufahamu vipi kwa anaejitoa kutaka kuingia huko kama asylum seeker, kuna resistance gan!?
 
Mkuu tupo vijana wako hata wakija zaidi ya kumi uwezo wa kuwahost upo pls tuunganishee tuu kwa hilo usijali nipe hata kesho nipo tayari kufanya kazi hiyoo
 
MAXCENCE MELLO/INVISIBLE

NGOJA NIKURAHISISHIE KAZI KUHUSU JUKWAA LA DIASPORA (WENGINE MNAWEZA KUMTUMIA PM NA HII POST ILI ATUWEKEE SUBFORUM YETU)


Ndani yake kutakuwa na subforums 3 hivi

1. LIVING/MOVING ABROAD (sasa hiumu ndio kila mtu ataangalia wapi anaishi au anataka kwenda kujilipua etc then ataanzisha thread yake) at later stage tutakuwa na sticky ili maswali yasijirudie rudie

AUSTRALIA & NEW ZELAND

CANADA

EUROPE

FAR EAST & ASIA

MIDDLE EAST

USA

LATIN AMERICA

2. WORKING ABROAD
Hii itakuwa ni self explanatory na kutakuwa na sticky threads mbali mbali za profession hivyo hakutokuwa na haja ya kuchanganya maswali ya kazi sticky zitakuwepo za kazi za Accountants, Electricians, Information Technology, Nurses, Doctors, and other Medical/Healthcare occupations, Plumbers, Police, Teaching, Trucking Electrician

Pia kutakuwa na threads za Job offers

na thread maalum kwa watafutaji kazi yaani jobs wanted

3. THE LOUNGE GENERAL DISCUSSIONS
Hapa kutakuwa na threads za kinachoendelea ulipo kuanzia issue za kuoa ili kupata makaratasi, kesi za kuacha mke, kuficha pesa,meet up, connections za wana diaspora na bila kusahau kutakuwa na special thread ya KURUDI NYUMBANI NA CHALLENGES, diaspora wanauza bidhaa zao, nk
 
Back
Top Bottom