Ushauri: Mdee na wenzake wafungue shauri waombe Mahakama Kuu izuie jaribio la kuwafuta Ubunge

unaweza kueleza jinsi walivyofukuzwa kinyume na taratibu?
 
Nimejizuia kukujibu huenda ningekuudhi mkuu
 
Hawa waliteliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CDM, na wakaapishwa, waende mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
Walipaswa kwenda Mahakamani kulizuia Baraza kuu kujadili uanachama wao..
Ubunge waliokuwa nao ni zao la wao kuwa Wanachama wa Chadema na sasa Uanachama huo hawana tena..
Ushauri unaowapa umechelewa.
 
Hawa waliteliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CDM, na wakaapishwa, waende mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
Aisee huoni hata aibu!
Kwa yote yaliyotokea mpk kupata huo ubunge,bado unakuja hapa kuongea ,eti waliteuliwa kwa barua halali?!![emoji848][emoji848]aisee mbinguni mbali sana!
Km watu wazima na akili zenu mnaweza andika ujinga wa hivi
 
Hawajafukuzwa Ubunge, Bali uanachama. Kama wanataka Ubunge waende bungeni waendelee na vikao vya bajeti maana chadema iliwadukuza uanachama, kuhusu Ubunge watajuana wao na spika wao. Mbona kamati kuu iliwafukuza lakini wakaendelea na Ubunge.
Hakika mkuu. Umemjibu vizuri sana huyu chinembe

Huo ubunge waendelee nao, kwa sababu CHADEMA haina nguvu huko kwenye ubunge. Wale waliowapa huo ubunge waliendelea kuwalinda hata baada ya kufukuzwa huo uanachama kinyume cha katiba ya nchi. Baraza kuu limefanya kubariki tu kufukuzwa kwao, walishafukuzwa kitambo na wakakata tu rufaa.

Sasa spika Akson aendelee nao huko bungeni kama alivyowapokea toka kwa Job Ndugai.

Kazi Iendelee.
 
Mkuu umekuwa amicus curiae wa cdm now
Vp wwe mbona hukwenda ku appeal against wajumbe au hakukuwa na irregularities by then
 
Hivi kuna mwanasiasa muadilifu? Samahani naomba kujua tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Una uahahidi gani kama waliteuliwa kwa vikao halali? naona mnaanza kutafuta majibu yenu binafsi kujiliwaza.

Tuambie hivyo vikao vya kuwateua vilikaa lini na wapi, na wajumbe walikuwa wakina nani, chini ya mwenyekiti gani?
Huyo jamaa anapata taabu sana na uamuzi huo. Asiwe na wasiwasi, watalindwa bungeni na spika Tulia Akson.
 
Na wakifungua shauri hilo wanashinda, sheria inawapa wao credit kwasababu CDM wameshindwa kuprove kama orodha hiyo imeghushiwa kwa namna gani.
Unafikiri halima mjinga kiasi huko,aende mahakamani?
Ana akili kuliko we uliyeoeta haya mawazo hapa!
Acha tusubiri
 
Naona Kama umemuattack mchangia mada personal, hata Kama iq yako ndogo jikite kwenye mada
 
baraza lenye wajumbe 400+ unapata kura 1% na wote 400 hawakutaki kwenye chama unatafuta tena haki gani?


Mchakato mzima wa uchaguzi uliingiliwa kwa madai yao na huo ndio wanauita "uhuni".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ